Mke wangu

ingia mkataba na bujibuji akusaidie nyumba isiende mrama tangu kale yapo haya.:twitch:
 
Mkuu huyo wife wako hataweza kuacha hiyo tabia na eventually atakuu na Ukimwi. Yaani sasa hivi wewe ni kama mwanajeshi aliyeko Iraq au Afghanistan unaweza kufa siku yoyote.

Kama unajipenda na unapenda watoto wako achana na huyo dada immediately ili upate maisha mengi duniani na kulea watoto. Usipomuacha you will soon be history na sisi tutasoma eulogy yako. Do you know what it mean to cheat with lots of men yaani jamaa kibao wanam***olea mdomoni kama choo alafu wewe unamuita wife. iiiiiuuuuuuu!

Sorry 4 bad language but i had to go there to show you the magnitude of her actions!
 
Jamani wa jamii, naombeni ushauri wa bure Mke wangu kanicheat kwa wanaume mbalimbali, nilipomwuliza mara ya kwanza ilkataa na kutaka kuapa through bible, baadaye baada ya kumbana na kuleta vithibiti kakubali kuwa kweli alikuwa ananicheat nifanyaje? je na mie nilipize kisasi?

naomba kufahamu ni kabila gani huyo mkeo.... I had the same experience once.
 
Mkuu huyo wife wako hataweza kuacha hiyo tabia na eventually atakuu na Ukimwi. Yaani sasa hivi wewe ni kama mwanajeshi aliyeko Iraq au Afghanistan unaweza kufa siku yoyote.

Kama unajipenda na unapenda watoto wako achana na huyo dada immediately ili upate maisha mengi duniani na kulea watoto. Usipomuacha you will soon be history na sisi tutasoma eulogy yako. Do you know what it mean to cheat with lots of men yaani jamaa kibao wanam***olea mdomoni kama choo alafu wewe unamuita wife. iiiiiuuuuuuu!

Sorry 4 bad language but i had to go there to show you the magnitude of her actions!

OMG...!!!! duh
 
Msamehe tu,jitahidi uwe unamfikisha kileleni,pia mpe muda mwingi wa kuwa nawe,kaa nae mzungumze.Jitahidi mkeo asikuogope,awe huru kwako mara nyingine akiwa na hamu aweze kukufahamisha,usimfokee mkeo ongea naye kwa ukarimu na upole.Mnunulie zawadi,toka nae out.Jitahidi kutabasamu unapazungumza na mkeo,mwambie unampenda wakati mwingine mpige busu.Ukifanya hayo yote basi mkeo hatoki nje tena labda kwa sababu nyingine sio za kimapenzi.

Its not going to work huyu wife wa jamaa ni repeat offender anaonekana yuko edicted to sex. she is an addict!
 
Anaweza akasamehe,ila mkumbuke kuwa unapomwamini mtu na baadae ukaja kugundua yule uliekuwa unamwamini si mwaminifu tena,hata kama ukasamehe na akajirekebisha. Ile athari ya kutokumwamini bado itaendelea kuwepo. Kama ningekuwa mimi, ningempa hamsini zake.7bu nisingependa kuishi kwa mashaka kwa jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wangu. Kwani kosa kubwa katika ndoa ni mke au mume kuwa na mahusiano mengine nnje ya ndoa. Mtu wa namna hii ni sawa na mtu anaeudhihaki uhai wako.

Umenena!
 
kama anawapata kwanye internet chatting,inaonyesha yupo addicted na internet,alivyonogewa na mmoja,ameona bora aendeleze na wengine.amua maamuzi sahihi,anaweza akaacha kwa kuwa amekubali makosa na anaweza asiache.ndoa siku hizi ni kama maigizo tu.kwa upande wangu mtu akini cheat jamani ni good bye for good,mara moja nitasema bahati mbaya,ila zaidi ya mara moja si bahati mbaya tena

Umenena mama. Thank u!
 
Msamehe kama unampenda kumbuka binadamu hua hajakamilika,ongea nae muliza kila unachotaka kumiliza,inawezekana ww ulikua huna time nae,
Umeshughulika na kazi hana wakumliwaza,juu yakua hiyo sio sababu ya msingi lakini still mpe nafasi kama unampenda kweli.
 
Kaa nae muongee vizuri muulize maswali ya maana akikujibu vizuri na ukaona unaweza samehe samehe,wanawake huwa tunaweza kusamehe na nyie mjifunze kusamehe, ila ukiona hawezekaniki unaweza waza mawazo mengine
 
Mbona asilimia kubwa mnaweka lawama kwa bint? je mna uhakika gani na huyu jamaa yetu kama kazi anaiweza? sasa kama alikuwa au ana matatizo msheku anaikuka kwa tabu, na hajawahi kumfikisha hivi kweli dada wa watu aendelee kukaa tu?
 
Na kama aliona mume hawezi kazi si ngemwambia aongeze maujuzi kuliko kusubiria kufumaniwa /kukutwa na vithibitishi
 
hata mimi nakushauri achana naye hata kama mnawatoto wangapi hilo usijali UKIMWI upo tena unatisha hawezi singizia shetani. shetani wa mtu ni yeye mwenyewe
 
Mwache! Katika maisha si ujinga kuanza upya. Anza upya. Pole sana Mkuu.
 
Unajua hili mimi ndiyo huwa sipendi kabisa kusikia kwa sababu ni upuuzi wa daraja la kwanza kabisa. Eti mwanamke akicheat huwa kuna sababu...what the fcuk? Yaani ni kama vile mnahalalisha kucheat. Kwani mwanamme akicheat yeye anakuwa hana sababu? Kwani tamaa si sababu?

Halafu huu upuuzi unausikia sana kutoka kwa wanawake. Hakuna mtu anayecheat bila sababu. Hata tamaa nayo ni sababu vile vile. I'm sick and tired of hearing women justify their cheating ways by offering lame excuses such as this one. Cheating is cheating no matter what the reason is. Get real and own up to it.

Via Mobile punguza munkari............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom