Mke wangu

muulize kwa nini anacheat? je humridhishi au ni hulka yake? kama kuna mambo ulikua hufanyi umfanyie(i hope sio mambo ya mtandao) la kama ni tabia yake amua kusuka au kunyoa
 
kutotesheka kimapenzi(kutofikishwa)
migogoro mingi ndani ya nyumba -mtu uamua kutafuta faraja/freshment nje
tamaa-ya pesa au tamaa tu ya kufunua kila sket
raha /hulka tu ya mtu ya kuwa na wengi wengi nje uko

Senkyuu very mno! I love to hear from you. Hapo kwenye Red napata shida kidogo maana tunamzungumzia mwanamke.!!
 
Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu

1. Bora umekuja maana kitendo cha wewe kuanzisha thread na kuingia mitini kilitufanya sisi wengine tuendeleze ya kwetu baada ya kukossa ufafnuzi wa msingi . Juu ya yote sijui kama mna ndoa nadhani pia ninyi ni Wakristu (umesema aliapa kw bibble...)
2. Sikushauri ulipize kisasi
3. Sikushauri pia muachane.... Kaa nae chini umuonye na umfuatilie kwa ukaribu kama hatobadilika..... Tua mzigo...
 
Jamani wa jamii, naombeni ushauri wa bure

Mke wangu kanicheat kwa wanaume mbalimbali, nilipomwuliza mara ya kwanza ilkataa na kutaka kuapa through bible, baadaye baada ya kumbana na kuleta vithibiti kakubali kuwa kweli alikuwa ananicheat nifanyaje? je na mie nilipize kisasi?

Duuh...both you and her need an intercessory prayer also.
 
Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu
Pumbafu zake! Toa talaka atakuua huyo! Shetani gani anampitia kila siku? Tena kwa wanaume tofauti?.. Fanya maamuzi magumu..aende akajifunze huyo..
 
Msamehe tu,jitahidi uwe unamfikisha kileleni,pia mpe muda mwingi wa kuwa nawe,kaa nae mzungumze.Jitahidi mkeo asikuogope,awe huru kwako mara nyingine akiwa na hamu aweze kukufahamisha,usimfokee mkeo ongea naye kwa ukarimu na upole.Mnunulie zawadi,toka nae out.Jitahidi kutabasamu unapazungumza na mkeo,mwambie unampenda wakati mwingine mpige busu.Ukifanya hayo yote basi mkeo hatoki nje tena labda kwa sababu nyingine sio za kimapenzi.
 
Msamehe tu bt hebu mkalize chini akupe sababu zilizoshib c bure kutembea na wanaume wengi hvyo wajameni!
 
Mwanamke kucheat mara nyingi huwa kuna sababu sio kama wanaume wao ni taamaa tu

Unajua hili mimi ndiyo huwa sipendi kabisa kusikia kwa sababu ni upuuzi wa daraja la kwanza kabisa. Eti mwanamke akicheat huwa kuna sababu...what the fcuk? Yaani ni kama vile mnahalalisha kucheat. Kwani mwanamme akicheat yeye anakuwa hana sababu? Kwani tamaa si sababu?

Halafu huu upuuzi unausikia sana kutoka kwa wanawake. Hakuna mtu anayecheat bila sababu. Hata tamaa nayo ni sababu vile vile. I'm sick and tired of hearing women justify their cheating ways by offering lame excuses such as this one. Cheating is cheating no matter what the reason is. Get real and own up to it.
 
1. Ni kama zipi mshikiwangu?
2. Aliyecheat ni mwanamke sasa mimi huwa napenda sana kusikia toka kwa "muhusika" sasa ndo nakuulizeni ninyi Sababu za msingi za mwanamke kucheat.

Mwamamke aki-cheat ni kweli kuna sababu.
1.Ikiwa mwanamme amecheat na akija ndani kutokana na kwamba ameshajitosheleza huko nje anakua hampi Mkewe haki yake ya ndoa.
2.Maumivu ya maisha ya ndoa kutokana na kutodhaminiwa na mume au ndugu wa mume, anatafuta faraja kwa mtu/watu wengine ambapo mahusiano yao yakiendelea kwa mda mrefu, anajikuta ametumbukia kwenye mapenzi na alikokua anatafuta faraja/campan.
3.Kutokua wawazi ndani ya ndoa kati yenu wawili, inachangia kusalitiana.
4.Kutomfikisha mkeo kileleni pia ni tatizo kubwa. Tunafahamu sio rahisi mke kufika kileleni haraka kutokana na kwamba hisia zake zinakua mbali compared to mwamamme, ila kinachoumiza na kumfanya mwanamke kushindwa kuvumilia ni pale Mme anapokataa/mvivu kuonesha jitihada zozote za kumridhisha mkewe. Anapata haja yake, anageuza mgongo analala/ au anaendelea na shughuli zake nyingine. Mfano mimi mume wangu hua anageuza mgongo na kuanza kuchat/ku-browse kwenye Simu yake wakati nikitamani hata anikumbatie nipate faraja.
5.Kutosameheana mnapokoseana na kuweka kisasi, kutokua na tabia ya kujadili na kusulihisha pale mnapokoseana.
6. nk nk...
 
Anaweza akasamehe,ila mkumbuke kuwa unapomwamini mtu na baadae ukaja kugundua yule uliekuwa unamwamini si mwaminifu tena,hata kama ukasamehe na akajirekebisha. Ile athari ya kutokumwamini bado itaendelea kuwepo. Kama ningekuwa mimi, ningempa hamsini zake.7bu nisingependa kuishi kwa mashaka kwa jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wangu. Kwani kosa kubwa katika ndoa ni mke au mume kuwa na mahusiano mengine nnje ya ndoa. Mtu wa namna hii ni sawa na mtu anaeudhihaki uhai wako.
 
Mwamamke aki-cheat ni kweli kuna sababu.
1.Ikiwa mwanamme amecheat na akija ndani kutokana na kwamba ameshajitosheleza huko nje anakua hampi Mkewe haki yake ya ndoa.
2.Maumivu ya maisha ya ndoa kutokana na kutodhaminiwa na mume au ndugu wa mume, anatafuta faraja kwa mtu/watu wengine ambapo mahusiano yao yakiendelea kwa mda mrefu, anajikuta ametumbukia kwenye mapenzi na alikokua anatafuta faraja/campan.
3.Kutokua wawazi ndani ya ndoa kati yenu wawili, inachangia kusalitiana.
4.Kutomfikisha mkeo kileleni pia ni tatizo kubwa. Tunafahamu sio rahisi mke kufika kileleni haraka kutokana na kwamba hisia zake zinakua mbali compared to mwamamme, ila kinachoumiza na kumfanya mwanamke kushindwa kuvumilia ni pale Mme anapokataa/mvivu kuonesha jitihada zozote za kumridhisha mkewe. Anapata haja yake, anageuza mgongo analala/ au anaendelea na shughuli zake nyingine. Mfano mimi mume wangu hua anageuza mgongo na kuanza kuchat/ku-browse kwenye Simu yake wakati nikitamani hata anikumbatie nipate faraja.
5.Kutosameheana mnapokoseana na kuweka kisasi, kutokua na tabia ya kujadili na kusulihisha pale mnapokoseana.
6. nk nk...

Du? Haya mambo bana! Inanikumbusha conclusion moja alowahi kuitoa Mtume mmojawapo wa Yesu baada ya majadiliano akasema ..... Kama mambo ya mke na mume ni hivi haifai kuoa!.....
 
Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu

Confirmed. Haumridhishi...
Big up anazokupa si kigezo... inawezekana ni danganya toto...

Inawezekana aliolewa na wewe kwa sababu ya pesa zako au kwa sababu tu ya kutaka mume.

Nikuulize kitu kimoja, una uhakika gani kuwa unamridhisha? Maana kumfikisha kileleni sio kigezo. Inawezekana mnakutana kindoa once in a week wakati yeye anataka kila siku. Inawezekana mmepishana sana kiumri, ndo maana anaenda tafuta 'vijana' wenzake... Inawezekana unamuudhi sana anaamua kulipiza kisasi. Kubwa zaidi inawezekana ni mtu hatosheki tu na mwanaume mmoja. Jiangalie na mwangalie bana...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom