Mke wangu

wanaume huwa wanasababu za msingi zinazowafanya wacheat.

1. Ni kama zipi mshikiwangu?
2. Aliyecheat ni mwanamke sasa mimi huwa napenda sana kusikia toka kwa "muhusika" sasa ndo nakuulizeni ninyi Sababu za msingi za mwanamke kucheat.
 
Mwadhibu...akapumzike kwao afikirie kama hiyo ndoa anaitaka au la!

Msamehe mwendelee ila usisahau kumkanya asiendelee na tabia yake hiyo maana siku ya siku kidhibiti kingine utakachopata ni cheti cha hosp na ushauri wa jinsibya kuishi kwa matumaini.

Mwache hapa ni kama huwezi kumvumilia tena.

Muhimu ni uzingatie kufanya maamuzi ambayo utakua tayari kuishi nayo.Kila la kheri....
 
Mkirua unakaba mpaka penalt ngoja nikupe moja basi mwanamke anacheat kwa kulipiza kisasi kama mwanaume amecheat

D.A Hapo umenena... Nasubiria nipate nyinginezo toka kwenu....ili nichukue tahadhari yasije kunikuta!
 
Kabla ya ushauri wangu nipatie taarifa zifuatazo
  1. Mlifunga ndoa au la na dini gani?
  2. Wewe umewahi ku-cheat ukiwa naye au la?
  3. Kwa upande wa kipato na elimu mnalingana au nani yuko juu ya mwingine?
  4. Mna watoto? Wangapi?
  5. Tabia yake ya ku-cheat nduguze wanaijua au ni wewe peke yako?
  6. Kuna kipindi hukuweza kumtimizia mahitaji yake ya kitandani?
Ukinisaidia hayo nitajua nikushauri vipi!
  1. Je una uhakika unamridhisha kwa tendo la ndoa?
 
Labda umechanganywa na nlivyosema 'za msingi' hata kama ni sababu za kijinga inabidi huyu mume azijue ili ajue atamsaidiaje huyo my wife wake. Kusema analipa kisasi haitamsaidia yeye wala huyo mke wake.. Mi naamini huyo mke kuna kitu kimemsukuma kumcheat mume wake so ni vizuri kabla mume hajachukua maamuzi magumu akijue kwanza... Inaonekana bado anamhitaji mke wake dats why amekuja huku kuomba ushauri, vinginevyo angeamua kumfukuza kimya kimya... Wakae kama walivyokaa mke akakiri, kukiri peke yake haitoshi, ampe na sababu za yeye kutoka nje ya ndoa yake.. Zipo Mkirua..
Sweetlady... Ivi huwa kuna sababbu za msingi zinazomfanya mtu acheat? Ni kama zipi labda?
 
Mkuu hata wewe hujui kuwa kuna sababu
au umekaa sana mndenyi mpaka umesahau
Mkuu kulipiza kisasi sio suluhisho utakuwa unaongeza matatizo juu ya mengine
Hebu jaribu kukaa nae ujue sababu za kufanya hivo

Amekuwa mno brief na nikionacho amekazia sana maarifa hapo kwenye Sababu za msingi bila kuzitaja. Ili tujue kuwa ni za msingi ni bora akatutajia according to her!
 
Today 10:46 AM
sweetlady
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
JF Senior Expert Member

[h=2]This message has been deleted by sweetlady. [/h]Sweetlady ulimtukana nani hapa?? Ha ha ha ha ha joke
Hahaha.. Sijamtukana ndugu yangu nilikosea spelng afu nika edit ikagoma, nikaamua kudelete!.
 
Unataka ujipange sawasawa sio pata hii nyingine basi usipomrisha kitandani................

Mh! D.A Lakini si unaniambia tu kuwa nakuboa hapa na pale ili nijirekebishe? sasa usipokuwa wazi na mimi nisipogundua hilo mapema si huoni hata huko unakokwenda utalazimika Wakati mwingine kumwambia mimi mzuka wangu uko hapa au pale? Sikatai kuwa napaswa kutumia ujuzi wangu kugundua lakini some times inabidi tushirikishane
 
Amekuwa mno brief na nikionacho amekazia sana maarifa hapo kwenye Sababu za msingi bila kuzitaja. Ili tujue kuwa ni za msingi ni bora akatutajia according to her!

kweli mkuu na kwa kuwa hakutaja inabidi atuambie ni zipi
 
Amekuwa mno brief na nikionacho amekazia sana maarifa hapo kwenye Sababu za msingi bila kuzitaja. Ili tujue kuwa ni za msingi ni bora akatutajia according to her!
Afu sababu zinatofautiana kati ya mtu na mtu...inawezekana sababu zangu zisifanane na sababu za mke wako.. Sorry simaanishi, ni mfano tu!
 
Mh! D.A Lakini si unaniambia tu kuwa nakuboa hapa na pale ili nijirekebishe? sasa usipokuwa wazi na mimi nisipogundua hilo mapema si huoni hata huko unakokwenda utalazimika Wakati mwingine kumwambia mimi mzuka wangu uko hapa au pale? Sikatai kuwa napaswa kutumia ujuzi wangu kugundua lakini some times inabidi tushirikishane
Ndo maana mleta mada ameshauriwa arudi kwa mkewe akamuulize sababu za kumcheat!..
 
kutotesheka kimapenzi(kutofikishwa)
migogoro mingi ndani ya nyumba -mtu uamua kutafuta faraja/freshment nje
tamaa-ya pesa au tamaa tu ya kufunua kila sket
raha /hulka tu ya mtu ya kuwa na wengi wengi nje uko

Naongezea;
Vyeo makazini, nafasi za kisiasa
wanafunzi wa kike wafaulu mitihani
kuoana na mtu ambaye humpendi
kupitiwa na shetani
 
Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na kwenda kulipia hotel. Wanaume wotw hao kawapata through internet charting, nifanyaje mwenzenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom