Nimemjua kijana anayemdanganya Mke wangu

agonalile

Member
Jan 29, 2023
45
177
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
 
Du umemujuaa ?
 
Utashangaa watu wakisema tunawasema vibaya wanyakyusa ....
Wanyakyusa wenyewe sasa
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Waku.bwa nawatu wazimawezagu,ivi nikimupiga lisasi kija.ha uyunakuwa nagoseya?jitaki nifikeehuko ira nalazimishwa. Nanimetuma vijanawagu wamupe wonyo kishawaje kunipamulejesho

Wakubwa wezagu.naombamunishauli kwairi.kabla kijanawagu ajaondoka.akiondoka siitawe.za kuigiya jamifolam
Huyu kijana mupige lisasi ya gwenye kibichwa yake,umupoteze hapaDuniani mahana hizo zalau kabisa haiwezehekani amudanganye shemu wetuh ikiwa sisi bado tunamupendaa sana muke wetu.
 
Habari,

Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.

Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi nikimpiga risasi huyu nitakuwa nakosea? Sitaki nifike huko ila nalazimishwa. Nimetuma vijana wangu wampe onyo kisha waje kunipa mrejesho.

Wakubwa wenzangu, naombeni ushauri kwa hili kabla kijana wangu hajaondoka kwani akiondoka sitaweza kuingia tena JamiiForums.
mods wamejarbu ku edit lakini wapi?
 
Onyo? Tafuta kujua kwa nini mkeo anadanganywa, achana na kijana wa watu. Mke anayetoka kwenye ndoa ni wa kuacha.
 
Back
Top Bottom