Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

Amie whitney

Member
May 21, 2023
78
183
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee

Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani ila mimi kiunafiki nikajifanya nalia na kumuomba msamaha sasa yaani imekuwa wimbo kila aiku mpaka nachoka na najuta kwanini nilimuoa huyu binti wa kinyantuzu

Hala yeye nimembadilisha dini na kuwa muislamu ila sasa bwana yeye kutwa kuimba na kusikiliza nyimbo za kisabato na kuangalia chaneli za akina mwamposa mpaka najuta ila sema uzuri sijazaa nae wala kumpa ujauzito

Naombeni ushauri jinsi.ya kumtoa hapa na kumpotezea mazima
 
Kweli wewe mwanaume suruali kwa akili hizi tena sio suruali mwanaume pensi nyanya
 
IMG_1225.jpg
 
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee

Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani ila mimi kiunafiki nikajifanya nalia na kumuomba msamaha sasa yaani imekuwa wimbo kila aiku mpaka nachoka na najuta kwanini nilimuoa huyu binti wa kinyantuzu

Hala yeye nimembadilisha dini na kuwa muislamu ila sasa bwana yeye kutwa kuimba na kusikiliza nyimbo za kisabato na kuangalia chaneli za akina mwamposa mpaka najuta ila sema uzuri sijazaa nae wala kumpa ujauzito

Naombeni ushauri jinsi.ya kumtoa hapa na kumpotezea mazima
Kwanza sishauri umuache mke wako.

Nakushauri badiri mfumo wako wa maisha ambao wewe mwenyewe ndio unaoujuwa...

WEWE NI MWANAUME ACHA UFALA.
 
Achana na mambo yake. Wewe zingatia mambo yako tu, usijipe muda wa kumuwaza wala kumuuliza
 
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee

Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani ila mimi kiunafiki nikajifanya nalia na kumuomba msamaha sasa yaani imekuwa wimbo kila aiku mpaka nachoka na najuta kwanini nilimuoa huyu binti wa kinyantuzu

Hala yeye nimembadilisha dini na kuwa muislamu ila sasa bwana yeye kutwa kuimba na kusikiliza nyimbo za kisabato na kuangalia chaneli za akina mwamposa mpaka najuta ila sema uzuri sijazaa nae wala kumpa ujauzito

Naombeni ushauri jinsi.ya kumtoa hapa na kumpotezea mazima
Naomba huyo binti aongeze vipigo na matusi Hadi akili zikukae sawa. Ikiwezekana akukalishe kwenye chupa kabisa.
 
Back
Top Bottom