KISAKA MORIS
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 372
- 33
No comment'
Aroo!Duh! Haiye mbee osefu selasinyi shyose nochiirima ndao? Ruwa nakutarame monama kanyi.
Duh! Haiye mbee osefu selasinyi shyose nochiirima ndao? Ruwa nakutarame monama kanyi.
Huyu jamaa ni ***** tu,ni kwa nini apate ajali mara mbili mfululizo? Eti anasingizia vipuri,uzembe wa kwake.ona sasa ameua watu,fara sana.Aswekwe jela mara moja,hili lijinga kweli kweli!askari wetu ni maffaa*** la kweli .. Badala ya kupiga vita ili serikali iache kuingiza bidhaa fake hasa kutokea kenya wanakuja na mashairi ya ajabu ajabu hapa..
Sishangai kuwa wengi wao wana vyeti fake.
Huyu jamaa ni ***** tu,ni kwa nini apate ajali mara mbili mfululizo? Eti anasingizia vipuri,uzembe wa kwake.ona sasa ameua watu,fara sana.Aswekwe jela mara moja,hili lijinga kweli kweli!
Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.
duh!hivi ndugu tayari ishathibitishwa beyond reasonable doubt kwamba ajali ilitokana na uzembe wake?mbona watu wengine mnapenda kukurupukia sana mambo?anyway,pole zake na wote walopatwa na misiba kutokana na ajali hiyo.ni matumaini yetu kuwa polisi watakuja na sababu za 'kitaalam' za chanzo cha ajali hiyo....ili in kuwa funzo la kuepuka kutokea tena kwa ajali za dizaini hiyo...!Huyu jamaa ni ***** tu,ni kwa nini apate ajali mara mbili mfululizo? Eti anasingizia vipuri,uzembe wa kwake.ona sasa ameua watu,fara sana.Aswekwe jela mara moja,hili lijinga kweli kweli!
Get well soon mbuge wangu
Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.
Aroo!
Acha kuongea lugha ya kichadema!
Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.