Kauli ya mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kuwa Chacha Wangwe aliuliwa imeibua upya mjadala wa mwaka 2008

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Mh Selasini amesema aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime, Marehemu Chacha Zakayo Wangwe ALIULIWA. Kauli ya Mbunge Selasini imeanzisha mjadala wa mwaka 2008, na sasa watu wameanza kuhoji utata wa kifo cha Marehemu Wangwe.

Itakumbukwa kuwa Wangwe alipoteza maisha kwa kile kilichoripotiwa kuwa ni ajari ya gari wiki kadhaa baada ya kuandamwa na kuvuliwa nyadhifa zake za uongozi ndani ya Chadema kwa kile alichokieleza kuwa ni kuhoji mapato na matumizi mabaya ya fedha za ruzuku, ukanda na ubaguzi, na baada ya yeye kuonyesha nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.

Ni wakati wa kujinasua katika hili kwa Chadema kuomba uchunguzi huru na wa haki wa kifo cha Chacha Wangwe
 
Ufahamu wangu unaonyesha kwamba JF ina watu ambao hawakumbuki miaka michache iliyopita ni nini kilitokea. Au ni vijana wazembe waliokuwa sekondari na hawakuwa na tabia ya kujua nje ya masomo ya darasani. Labda mziki.

Binafsi nimemponda huyu Selasini kwa kuzungumza jambo zito kama hilo wakati tukikumbuka utatata uliokuwepo. Wasiojiweza ndani ya JF wamenijia kwa vijisababu vya kizembe, wanataka kila mtu azungumzie ubaya wa serikali na maombi kwa Lissu, anayeitwa shujaa. Lissu ni shujaa wa kila aliyepigwa na maisha. KIla anyezuiliwa kuiba. Hili litampeleka pagumu ingawa hatakawia kujidai alikosea.
 
Mambo ya wangwe anayajua mwenyekti wa chadema hawa ndo anajua na zitto alisema chacha wangwe died i wont
 
Chama kile bana . tukiache tu kwakweli

Komenti isoeleweka
 
Hakuna ugumu wowote CCM ndiyo wanatakiwa kudhibitisha CHADEMA walimuua Chacha Wangwe.Selasini yuko sahihi kabisa.
 
Mh Selasini amesema aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime, Marehemu Chacha Zakayo Wangwe ALIULIWA. Kauli ya Mbunge Selasini imeanzisha mjadala wa mwaka 2008, na sasa watu wameanza kuhoji utata wa kifo cha Marehemu Wangwe.

Itakumbukwa kuwa Wangwe alipoteza maisha kwa kile kilichoripotiwa kuwa ni ajari ya gari wiki kadhaa baada ya kuandamwa na kuvuliwa nyadhifa zake za uongozi ndani ya Chadema kwa kile alichokieleza kuwa ni kuhoji mapato na matumizi mabaya ya fedha za ruzuku, ukanda na ubaguzi, na baada ya yeye kuonyesha nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.

Ni wakati wa kujinasua katika hili kwa Chadema kuomba uchunguzi huru na wa haki wa kifo cha Chacha Wangwe

Kwani unajisikia raha gani kuona kuna watu wanakamatwa kutokana na post za kipashkuna na za kijinga mnazoanzisha??
 
Chacha Wangwe aliuliwa na ccm kwa sababu ya Masilahi ya kisiasa "

Kwa watu wanaelewa mambo ya usalama watanilewa hapa mara nyingi maadui utumia mwanya wa mnyukano ya ndani ya wabaya wao ili kuwamaliza kisiasa !!
 
wao wanaelewa chadema ya kuzungusha mikono na kudeki lami
Tukikumbuka historia, watu wanapaswa kujiuliza maswali haya :-
1- Aliemuua mchungaji mtikila ni nani
2- Aliemuua chacha wangwe ni nani?
3- Aliemtia sumu mwakyembe mpaka akawa anatoa unga ni nani?
4- Aliemtia sumu zitto kabwe kule bagamoyo mpaka kukimbizwa nje ni nani?
5- Aliemuua Ditopile kwa sumu utumbo ukaoza ni nani?
6- Alietaka kumuua swahiba wa zitto kwa kukata kamba za lift ikaporomoka toka juu mpaka chini na kumvunja miguu ni nani?
7- Dr slaa akiwa bungen akisumbuana na govt, aliemtishia kumuua na kumuwekea baadhi ya vifaa room kwake ni nani?
8- Nani alie mtishia kumuua Kaboor akiwa CDM kigoma?

Sasa kwann Lissu tu ndo tuseme Serikali/CCM?
 
Mkuu wakija wakakupa haya majibu ni tag ndugu yangu
 
Mambo ya wangwe anayajua mwenyekti wa chadema hawa ndo anajua na zitto alisema chacha wangwe died i wont

Kama aliuliwa na CDM nadhani ingekua kete muhimu ya Ccm kuimaliza CDM kwa kufanya uchunguzi wa huru na haki.
Hili CDM ijulikane kuwa ilimuua kada wake, kama Ccm na serikali walishindwa kufanya huo uchunguzi na kudhihirishia ulimwengu kuwa Chacha Wangee aliuliwa na CDM basi huu utata utabaki hivihivi mpaka siku uchunguzi huru utakapofanyika.
Ingekua mimi ni kiongozi wa Serikali/Ccm ningefanya uchunguzi huru hili dunia ijue dhuluma ya CDM kwa Chacha Wangwe, ningetumia hii kete kummaliza Mbowe na CHADEMA yake.
 
Back
Top Bottom