Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

askari wetu ni maffaa*** la kweli .. Badala ya kupiga vita ili serikali iache kuingiza bidhaa fake hasa kutokea kenya wanakuja na mashairi ya ajabu ajabu hapa..
Sishangai kuwa wengi wao wana vyeti fake.
Huyu jamaa ni ***** tu,ni kwa nini apate ajali mara mbili mfululizo? Eti anasingizia vipuri,uzembe wa kwake.ona sasa ameua watu,fara sana.Aswekwe jela mara moja,hili lijinga kweli kweli!
 
Huyu jamaa ni ***** tu,ni kwa nini apate ajali mara mbili mfululizo? Eti anasingizia vipuri,uzembe wa kwake.ona sasa ameua watu,fara sana.Aswekwe jela mara moja,hili lijinga kweli kweli!

Punguza povu mkuu, ajali ajali tu, na kuhusu kumfikisha mahakamani ndo utaratibu/sheria lazima akasomewe mashtaka na kwa kesi za barabarani sijawahi ona/sikia dereva anashinda kesi, cjui why!
 
Kupelekwa mahakani ni jambo lingine, na tbs kuendelea kuthibitisha uingizaji wa bidhaa feki
Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.
 
Huyu jamaa ni ***** tu,ni kwa nini apate ajali mara mbili mfululizo? Eti anasingizia vipuri,uzembe wa kwake.ona sasa ameua watu,fara sana.Aswekwe jela mara moja,hili lijinga kweli kweli!
duh!hivi ndugu tayari ishathibitishwa beyond reasonable doubt kwamba ajali ilitokana na uzembe wake?mbona watu wengine mnapenda kukurupukia sana mambo?anyway,pole zake na wote walopatwa na misiba kutokana na ajali hiyo.ni matumaini yetu kuwa polisi watakuja na sababu za 'kitaalam' za chanzo cha ajali hiyo....ili in kuwa funzo la kuepuka kutokea tena kwa ajali za dizaini hiyo...!
 
Aidha kuna bidhaa feki ama la, tujitahidi kuwa makini tuwapo barabarani.. Ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Mbunge alikuwa anaendesha gari kwa spidi kubwa sana..!
 
....bora akamatwe tu kwani:
  1. Aliitukana JF bila sababu
  2. Ni mchoyo wa ajila (kulikuwa na sababu gani kuendesha yeye wakati anadereva?) alimbania per diem dereva
  3. Ni uzembe wake wa muda mrefu (inaonekana huwa anajifanya mjuaji, badala ya kumuachia gari dereva ili alishughulikie kila kitu mfano service na kujua ubora wa kila spare inayowekwa kwenye gari) yeye hufanya kila kitu na kuwadharau watu wengine na kazi zao
  4. Akamatwe tu na wamfikishe mahamani
  5. Gonga like kama unaunga mkono hoja!......
 
we sema uzembe na ww utakula mzinga tu!na maneno yako ya kishenzi ,kuna mtu anaomba apate ajali apoteze familia yake
 
Watu mnajiropokea tu kama walevi wa mataptap.tatizo n tatzo,hakuna anaeomba tatizo,likikukuta ndo pakujua wap urekebishe.
 
Haina tabu afikishwe tu huko mahakamani, na watamhukumu kama kulipa faini ya tsh 500000 kama mzee CHENGE aliyeua watu wawili.
 
Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.

kaka embu niambie maana ya ajali ni nini?halafu kupata ajali mara mbili si hoja je wewe huwezi kujing'ata hata mara 3 unapokula?huwezi kujikwaa mara 2?kuhusu kuendesha kwa fujo unaweza kueleza fujo ni nini?hata kama ni gari la mkopo umemkopesha shilingi ngapi hadi ikuume? Angalia chanzo ni nini cha ajali. Tairi kupasuka,kumkwepa mwendesha pikipiki, je kama angemgonga mwenye pikipiki ungesemaje tena?
 
Kwa nini Selasini anaendesha gari wakati analipwa posho ya kumlipa dereva mshahara? hana dereva? na pia wabunge wanapewa mkopo wa zaidi ya million 90 kununua gari kwa nn hakununua gari imara?
 
Kwanini sababu ni tatu? Hapo ni moja tu ya mwendo kasi iliyosababisha apoteze muelekeo na kugonga culvert. Tairi kupasuka ni matokeo ya kugonga kwa nguvu kubwa. Bidhaa feki au bodaboda wafunzwe ni utetezi tu wa visingizio. Na kwakuwa sisi ni wanafiki tutamkubalia ili siku ipite lakini moyoni mwake atajilaumu kwa kuendesha spidi na kusababisha vifo. Na hili litamsumbua kisaikolojia
 
Huyu mbunge anaonekana ni careless sana haiwezekani ukawa na ajali mbili mpigo, na inasemekana anaendesha kwa fujo sana haya magari ya mkopo.

Sidhani kama wewe ni driver au hata umewahi ku driver,thats why unasema hivyo!ndio maana ikaitwa ACCIDENT,kua na ajali mbili si kigezo cha u careless,na kufikishwa mahakamani ilo ni lazima kutokana na taratibu!mwisho kauli zako kama ya "inasemekana" anaendesha gari kwa fujo "haya magari ya mkopo" mimi naziona kama kauli iliyokosa mashiko ila imejaa wivu na chuki tu!kama una hadhi ya kukopa nawe nenda kakopa VX yako tu mkuu!
 
Usijekuta huyu mchaga hata hela anayolipwa kama mshahara wa dereva anameza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom