Mbowe ni sikio la kufa ataingia katika orodha ya viongozi watakaoachia madaraka kwa aibu na fedheha

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Na,
Augustino Chiwinga.

Freeman Aikael Mbowe mtawala bwanyenye aliyekiongoza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama Mwenyekiti kwa miaka 20 mfululizo, anaweza kujikuta anachia nafasi hiyo kwa aibu.

Baada ya Mbowe kutawala kwa kipindi kirefu pasipo kuwepo kwa dalili za yeye kunga'tuka madarakani kwa hiyari yake mwenyewe, kukawepo na juhudi za ndani za kumfanya Mbowe akabidhi kijiti kwa mtu mwingine lakini wote waliojaribu kufanya juhudi hizo walikutana na mambo mabaya sana.

Wapo waliofukuzwa chamani kwa mizengwe wakiwemo akina Zitto Kabwe,Prof.Kitila Mkumbo,Said Arfi, Samson Mwigamba ,Juliana Shonza ,na wengineo wengi ambao hao wote walibatizwa majina ya wasaliti na wahaini wa Chadema eti kisa tu walitaka Demokrasia ichukue nafasi yake ndani ya chama hicho ,kwa kuruhusu Mbowe apate mshindani katika kugombea nafasi ya Uenyekiti na sio kumfanya Mbowe apite bila kupingwa.
Ndani ya Chadema ni usaliti na uhaini mkubwa kuhoji ni lini Mbowe ataachia madaraka

Aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe alijaribu kuanzisha vuguvugu la kugombea uenyekiti lakini kabla hajatimiza azma yake hiyo alipata ajali yenye utata na kufariki dunia mwaka 2008.

Mbowe tangu ashike nafasi hiyo kutoka kwa Marehemu Bob Makani amekua ni mbinafsi na mroho wa madaraka asiyetaka mwanachama yoyote wa chama hicho kuchukua fomu ya uwenyekiti
Mbowe anageuka kuwa mkali mithili ya mbwamwitu pale anaposikia fununu za mwanachama yoyote anayejaribu kunyemelea nafasi yake.

Ikumbukwe kwamba Chadema mwaka 2003 ilifanya marekebisho ya Katiba yake ambapo iliweka kikomo cha kuongoza katika nafasi ya Mwenyekiti kuwa ni miaka kumi ,lakini cha kustaajabisha wakati Katiba hiyo ikiwa inaelekea kuchapwa kiwandani kipengele hicho chenye ukomo wa muda kiliondolewa kinyemela.

Tabia ya Mbowe ya kuhodhi nafasi ya Uenyekiti huenda ikamgharimu na ikamfanya kumuingiza katika orodha ya viongozi watakaoachia madaraka kwa aibu na fedheha kama asipokubali kuacha kwa hiyari yake mwenyewe.

Viongozi kama Laurent Bagbo wa Ivory Coast na Yaya Jammeh wa Guniea ni miongoni wa viongozi walioacha madaraka kwa aibu na fedheha kutokana na tabia ya kuhodhi madaraka kwa muda mrefu bila ya kuachia kwa wengine kutawala kwa hiyari.

Itafika muda ambapo wanachama wa Chadema watachoka na uongozi mbaya wa Mbowe na watakua tayari kufanya lolote liwe la heri au la shari ili kulingo'a gugumaji hilo na hapo ndio atakapoondolewa madarakani kwa aibu na fedheha.

Mbowe ameishiwa mbinu za kuongoza chama hicho ili kiweze kuhimili vishindo vya chama tawala (CCM) ambayo tangu kifanye mageuzi makubwa mageuzi chini ya falsafa ya CCM Mpya kimezidi kuimarika na kuzidi kupendwa mijini na vijijini.
CCM Mpya inainyanyasa Chadema vile inavyotaka.

Chini ya Mbowe, Chadema imetumbukia katika matumizi mabaya ya madaraka,ubaguzi , ufisadi mkubwa ambapo makampuni yanayopata zabuni ndani ta chama hicho ni yale ya mashemeji, ndugu na jamaa zake Mbowe tu.
Pia kumekuwepo na ubadhirifu mkubwa wa pesa za chama zile za ruzuku na za michango mbalimbali ziluzotolewa na wahisani mbalimbali.
Mustafa Sabodo aliwahi kutoa pesa kwa ajili ya kuchimbia visima lakini mpaka leo hakuna hata shimo moja lililochimbwa.

Hama hama ya viongozi waandamizi ndani ya Chadema kama vile aliyekua Mwenyekiti wa Bavicha na Mjumbe wa Kamati kuu,Patrobas Katambi,Wabunge wa majimbo watatu,na madiwani wasio na idadi kuhamia Chama Cha Mapinduzi ni ishara mbaya kwamba uongozi wa Mbowe umetoboka una viraka na umechokwa.

Chadema haijawahi kushuhudia wimbi kubwa la viongozi na makumi elfu ya wanachama wake wa kawaida wakikihama chama hicho kama inavyoshuhudia sasa hivi ambapo Mbowe anaenda kumalizia mwaka wake wa 20 akiwa bado Mwenyekiti.

Kama Mbowe asipokubali kuachia madaraka kwa hiyari katika uchaguzi mkuu wa Chama hicho hapo mapema mwaka 2019 basi ajiandae kuachia madaraka hayo kwa aibu maana historia inatuonesha hivyo kwamba viongozi wote ving'anga'nizi na walafi wa madaraka mwisho wao huwa mbaya.

Lazima Mbowe awe kielelezo cha demokrasia ndani ya chama hicho, kama viongozi waliopita waliachiana iweje yeye anajigeuza kuwa Mwenyekiti wa maisha? Angalia kutoka Mtei, Bob Makani na sasa Mbowe, ni muda sasa Mbowe kupumzika,awe tu mzee wa Chama.
Umangimeza wa nini katika zama hizi??

Hayati Mwalimu Nyerere alipong'atuka madarakani baada ya miaka 23. Sio kwamba kipindi chote hicho nchi haikuwa na watu ambao wangeweza kumpokea kijiti.Ila alikuwa anaweka msingi wa utawala bora na Demokrasia.

Nahitimisha kwa kusema Mbowe ni sikio la kufa na iwapo atang'angan'ania kugombea tena kwa muhula wa sita basi asubiri kuaibika na kudhalilika.

Wasalaam,
Augustino Chiwinga.
0659438889.
 
Sasa namba ya simu umeweka ya kazi gani? Uchumia tumbo ni kazi gani
 
Je Jiwe ataachiaje uongozi? Umeona ya Mbowe? Kazana bado wilaya zina nafasi, who knows? It might be your turn! Mbowe is here to stay!
 
Hivi ni kwa nini ni mbowe tuu mbowe tuu kila siku alafu nashangaa wanao lalamika hata hawako chadema ni watu tuu baki..bona chadema wao hawaongelei hili
 
Nahitimisha kwa kusema Mbowe ni sikio la kufa na iwapo atang'angan'ania kugombea tena kwa muhula wa sita basi asubiri kuaibika na kudhalilika.

Wasalaam,
Augustino Chiwinga.
0659438889.
Ebu weka orodha ya aliogombea nao kwa mihula mitano iliyopita!
 
Rubbish
 
Mkuu Chiwinga uwezo wa Mbowe anaujua Magufuli , Muulize kati ya kura mil 3unusu na kura mil 10 zipi nyingi ?

Natambua kwamba unalindwa kwahiyo ukimuuliza bila shaka atakujibu .
 
Hashim Rungwe.......
Augustino Mrema ......
 
Siku CCM mkifanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama chenu, yaani mruhusu wanachama wachukue fomu za kugombea hiyo nafasi na Mbowe nae ataondoka CHADEMA.
 
Uteuzi umekwisha sasa tunafanya KAAZIIII
 
Back
Top Bottom