Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo rais anatakiwa kudeal na maprofesa tu? Wanamuziki hawatakiwi ikulu!!! Nimeona watu mnalalamika hata kitendo cha rais kushirikia mazishi ya kanumba. Kumbukeni kuwa urais haumfanyi mtu aache kuwa binadamu wa kawaida. Mmenikumbusha wafanyakazi wa white house ya marekani wanavyomlalamikia michelle obama kuwa tangu ameingia ikulu kuna wageni wa hali ya chini wengi wanakuja, wakati wamezoea kuona white hause wanaalikwa "watu bora".

Huyo loveness kama kila kitu alichowaambia mmemwamini hamuwezi kuweka lawama kwa jk. Ni jukumu lenu wenyewe kutafuta ukweli.

Ili kufahamu zaidi tamaduni za kualika watu mbalimbali ikulu za nchi mbalimbali tazama hapa:
barack obama invites damian lewis, idris elba to white house dinner for david cameron (video, photos)

michelle obama invites tv host jimmy fallon in for a white house gym session | mail online

carla bruni welcomes russian president to state dinner in a daringly tight dress ~ beauty care

Angela Merkel would like to dine with Vicente del Bosque

kuna tofauti kubwa kati ya malengo ya ulichokopi na kazi aliyotumwa huyo jamaa.......... Jk alishawahi kualika wasanii kibao ikulu, yanga nk. Lakini hii ya sasa ni assignment, tena siyo official na public ila ime-leak baada ya wema kuona wasikae kimya
 
Yalitoka mdomoni mwa diamond tena kwa furaha sana baada ya kupata promota mpya Wa uhakika ambaye habeep

Hayo ya promota utayamalize wewe na Diamond ninachokueleza Diamond hayupo US hivi sasa kwa promotion ya mh. Jakaya wala CCM waliomleta na watu wengine kama wakikubali naweza kuwataja majina yao miongoni mwao kuna wanaccm, wanachadema na wasio na vyama hizi porojo zenu zipelekeni kwingine.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Simu ingetosha kabisa.Ama hatamjumbe,mifano iliyotolewa ya white house wala si relevant.Wale hawajaitwa ikulu eti wakapewe mwaliko.Hivi ni vituko only in Tz where seriousness ni msamiati kwa mkuu wa nchi.
 
Hayo ya promota utayamalize wewe na Diamond ninachokueleza Diamond hayupo US hivi sasa kwa promotion ya mh. Jakaya wala CCM waliomleta na watu wengine kama wakikubali naweza kuwataja majina yao miongoni mwao kuna wanaccm, wanachadema na wasio na vyama hizi porojo zenu zipelekeni kwingine.

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu mbona unabisha kitu ambacho kipo wazi naona sasa unataka kumsemea diamond ni kuulize wewe ni msemaji wake?
 
kuna tofauti kubwa kati ya malengo ya ulichokopi na kazi aliyotumwa huyo jamaa.......... Jk alishawahi kualika wasanii kibao ikulu, yanga nk. Lakini hii ya sasa ni assignment, tena siyo official na public ila ime-leak baada ya wema kuona wasikae kimya

Very interesting, watanzania wamekuwa wepesi sana kuamini habari nyepesinyepesi siku hizi...
 
Ahaaa haa wewe mwandishi wa article hii kama kweli ni mbunge basi utakuwa ni wabunge la vichaa! Umekosa cha kusema JK na Loveness wapi kwa wapi; hizi dhana zenu wakati mwingine zifungieni kwenye chupi; basi kila kukicha hamkosi utumbo wa kusema?

Chama
Gongo la mboto DSM

Kwahiyo umeishia kupinga tu bila kueleza ukweli unaojua juu ya promoter Jk na mwanamki Diamond kwa safari ya ikulu na USA?
 
Ukiwa mzushi mwongo mnafki ni mbaya zaidi ya Mchawi.Kwani usiwe mwanaume wa kuachana na mambo ya ki...mnatuboa.Mpelekee shigongo mahadithi yako ya kipuuzi.Labda umemfananisha na club owner
 
Mkuu mbona unabisha kitu ambacho kipo wazi naona sasa unataka kumsemea diamond ni kuulize wewe ni msemaji wake?

Kipo kwa wewe unayesoma porojo za JF? Nadhani unataka kunilazimisha ila bahati mbaya sana nafahamu ni watu gani waliomleta Diamond.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwahiyo umeishia kupinga tu bila kueleza ukweli unaojua juu ya promoter Jk na mwanamki Diamond kwa safari ya ikulu na USA?

Hilo ni kwa wewe unayetaka kulazimisha watu kula pumba! wahusika wa safari ya Diamond ni watu wengine na nawafahamu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
......
Hata hivyo watu mnaopingana na Rais kwa kila analofanya siwashangai kwa sababu hata katika hicho unachoona ni sawa kwa Obama kumpandisha ndege ya Rais Bon Jovi, wapinzani wake wamemshambulia. Kwahiyo, endeleeni kumshambulia Kikwete, lakini mnatakiwa kufahamu kuwa mnafanya hivyo just because you choose to not because there is a reason to.....

Kila mtu mwenye akili timamu anataka kila kitu na kila mtu anacho/anayehusiana nacho/naye kiwe/awe ki/mzuri kimatendo na kadhalika. Hiyo ndiyo hulka ya mtu mwenye akili timamu na utashi.

Mimi rais wa nchi ananihusu, ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT). Mimi ni mtanzania, naishi katika nchi ambayo Rais wa JMT ana tawala.

Rais "anapoteleza katika utendaji" wake, hii inanihusu maana sitaki Rais wa nchi yangu ateleze ktk utendaji wake. Nataka na kupenda Rais afanye mambo mazuri. Na nitahakikisha najitahidi kumsaidia asiteleze, au asirudie kuteleza katika utendaji wake. Zipo mbinu nyingi za kumsaidia Rais asiteleze tena, mimi nimechagua ya kumkosoa anapoteleza, maana nataka afanye vizuri ili tusonge mbele.

Kama ZeMarcopolo unaona kumkosoa kwangu Rais, ili afanye vizuri,ni kumpinga kwa kila jambo analolifanya ZeMarcopolo una lako jambo. Jambo lenyewe si zuri, ZeMarcopolo unataka Rais wa JMT aendelee kuteleza ili mimi anayenihusu niendelee kuumia.Na hili sitakubali uendelee kulifanya, nita piga kelele niwaamshe watu wakushuudie jinsi usivyomtakia mema Rais wa JMT !!.
ZeMarcopolo nasikitika kukuweka katika list yangu ya mashaka ya wale wanaomshauri vibaya Rais wa JMT ili ateleze katika utendaji wake.
 
Last edited by a moderator:
Kipo kwa wewe unayesoma porojo za JF? Nadhani unataka kunilazimisha ila bahati mbaya sana nafahamu ni watu gani waliomleta Diamond.

Chama
Gongo la mboto DSM
Kama JF pana porojo kilichokufanya ukalogin hapa nini? Wewe upo ugaibuni huna source nyingine ya habari za Huku zaidi ya hapa. Kwanza 2015 utakuwa mwisho wa kuzurura na kodi zetu
 
Diamond amehojiwa na media na kusema hayo

au kwasbabu we muongo basi kila mtu awe kama wewe?

Sawa endelea kuamini kuwa Kikwete kafanya udalali agawane pesa na Diamond. Hata babu wa Loliondo aliaminiwa watu wakafunga safari ndefu kumfuata...
 
Kila mtu mwenye akili timamu anataka kila kitu na kila mtu anacho/anayehusiana nacho/naye kiwe/awe ki/mzuri kimatendo na kadhalika. Hiyo ndiyo hulka ya mtu mwenye akili timamu na utashi.

Mimi rais wa nchi ananihusu, ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT). Mimi ni mtanzania, naishi katika nchi ambayo Rais wa JMT ana tawala.

Rais "anapoteleza katika utendaji" wake, hii inanihusu maana sitaki Rais wa nchi yangu ateleze ktk utendaji wake. Nataka na kupenda Rais afanye mambo mazuri. Na nitahakikisha najitahidi kumsaidia asiteleze, au asirudie kuteleza katika utendaji wake. Zipo mbinu nyingi za kumsaidia Rais asiteleze tena, mimi nimechagua ya kumkosoa anapoteleza, maana nataka afanye vizuri ili tusonge mbele.

Kama ZeMarcopolo unaona kumkosoa kwangu Rais, ili afanye vizuri,ni kumpinga kwa kila jambo analolifanya ZeMarcopolo una lako jambo. Jambo lenyewe si zuri, ZeMarcopolo unataka Rais wa JMT aendelee kuteleza ili mimi anayenihusu niendelee kuumia.Na hili sitakubali uendelee kulifanya, nita piga kelele niwaamshe watu wakushuudie jinsi usivyomtakia mema Rais wa JMT !!.
ZeMarcopolo nasikitika kukuweka katika list yangu ya mashaka ya wale wanaomshauri vibaya Rais wa JMT ili ateleze katika utendaji wake.

Post yako nzuri na inatia moyo. Sasa jukumu lako la kwanza ni kuzifanyia verification taarifa unazopata kuhusu Rais. Taarifa kuwa Rais kafanya udalali kwa Diamond ili wagawane pesa ya kiingilio ichuje tena uone credibility yake.
 
Umekosa cha kusema JK na Loveness wapi kwa wapi; hizi dhana zenu wakati mwingine zifungieni kwenye chupi; basi kila kukicha hamkosi utumbo wa kusema?
Chama
Gongo la mboto DSM

images
images
411114_10150952304684016_639734015_9985961_1532000628_o.jpg

Kwa taarifa yako chama!

Last edited by a moderator:
walinzi wameacha kazi Yao wanapiga picha na loveness kweli hawa jamaa wanapenda malovee

Hamuishi uzushi hizi picha Loveness hakuwa peke mh. Raisi alipiga picha mojamoja na wajumbe wote ziweke na hizo nyingine ili udhihirishe uzushi wako; hivi ikitokea mama yako kapiga picha na mh. Raisi utasema naye katambaliwa?

Nyie mnakula bata huko kwa kodi zetu lazima mtumie nguvu kubwa sana kumtetea lakini mwisho unakaribia hata mfanyeje wabinafsi wakubwa! Ukipita Dodoma ukiona hizo nyumba utalia miaka 50 wananufaika wachache Kama wewe halafu unataka kuleta jeuri ohooo!!!!! Huo usultani utaisha tuu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom