Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.
Yani alimwita ikulu kumpa mwaliko?si angempigia simu?sijui kwanini aligombea urais.Angeuchuna tu kuwapisha watanzania hiki kikombe.
 
Ndio uzuri wa kuwa na Rais limbukeni akiwa amezungukwa na limbukeni wenzake. Ulimbukeni haumaliziki kwa shule au masomo ya darasani. When you are one, you stay one and no amount of education can change you. He gets paralyzed in-front of a white man and feels all Tanzanians are too stupid to see this.

Waliompigia kura wajifunze sasa. Miaka mitano ya kipindi cha kwanza tuliona jinsi ambavyo alitunza ahadi zake na tukamzawadia mingine mitano ili aweze kutumalizia raslimali zilizosalia. Learn from it.
Nakubaliana na wewe kabisa.Common sense haipatikani shule. Kama huna, huna no matter what. Kumbe ndo maana Bush alimpenda kiasi hiki?
 
Kikwete ni raisi pekee aliye iharibu nchii hii,, laana ya kuponda hela za walipa kodi maskini itamtafuna popote atakapokua. Anaeniunga mkono aseme ameni.
 
Huo ndio uzoefu wa SItta anoringia, huku akimwita Mbowe DJ,huku mwenyekiti wake ni Promoter.Hawa jamaa hajui kila sentensi waongeayo kua millions cylles za processes kabla hajamaliza kuelezea asichokijua tayari tunatamani mtu aje mowndoa ktk jukwaa na medai.
 
Yani alimwita ikulu kumpa mwaliko?si angempigia simu?sijui kwanini aligombea urais.Angeuchuna tu kuwapisha watanzania hiki kikombe.
Ampigie simu? Wakati alikuwa anataka apige nae picha! Umesahau akienda marekani kutwa kiguu na njia akiwatafuta wakina 50 cent na boys two men apige nao picha?
 
Ampigie simu? Wakati alikuwa anataka apige nae picha! Umesahau akienda marekani kutwa kiguu na njia akiwatafuta wakina 50 cent na boys two men apige nao picha?

Mkuu nilikuwa nikidhani huyu jamaa anaonewa lakini nimechoka!sijui tulaumu watanzania ama ni nani?there's no way huyu jamaa ni rais bana!Hivi hakujawahi kufanyika maandamano ya kumtaka ajipumzikie?maana kwa utaratibu huu,2015 ni mbali mnoo!jamaa na urais mbalimbali kabisaa!
 
Kwa hiyo Rais anatakiwa kudeal na maprofesa tu? Wanamuziki hawatakiwi Ikulu!!! Nimeona watu mnalalamika hata kitendo cha Rais kushirikia mazishi ya Kanumba. Kumbukeni kuwa Urais haumfanyi mtu aache kuwa binadamu wa kawaida. Mmenikumbusha wafanyakazi wa White house ya Marekani wanavyomlalamikia Michelle Obama kuwa tangu ameingia Ikulu kuna wageni wa hali ya chini wengi wanakuja, wakati wamezoea kuona White hause wanaalikwa "watu bora".

Huyo Loveness kama kila kitu alichowaambia mmemwamini hamuwezi kuweka lawama kwa JK. Ni jukumu lenu wenyewe kutafuta ukweli.

Ili kufahamu zaidi tamaduni za kualika watu mbalimbali Ikulu za nchi mbalimbali tazama hapa:
Barack Obama Invites Damian Lewis, Idris Elba To White House Dinner For David Cameron (VIDEO, PHOTOS)

Michelle Obama invites TV host Jimmy Fallon in for a White House gym session | Mail Online

Carla Bruni welcomes Russian president to state dinner in a daringly tight dress ~ Beauty Care

http://www.deltaworld.org/gossip/Angela-Merkel-would-like-to-dine-with-Vicente-del-Bosque/
 
Yaani utamaduni wa USA na UK ndiyo unataka tuige.. Zamarcopolo !!? Umesahau mara hii kwa sio kila jambo toka USA au U.K halitufai ??
 
Last edited by a moderator:
Ali Mwinyi, Rais mstaafu alishasema, "kila zama ina mambo yake"

Nyerere, azimio la Arusha, vijiji vya ujamaa na kukosa kujitegemea.masikini jeuri na njaa kali.

Ali Mwinyi, ruksa/ruhsa kula vyura, kutorosha dhahabu, ruksa,ruksa

Mkapa, ukapa, ubinafsishaji, tunduwazi(utandawazi), uwazi na kutokusema ukweli.

Kikwete, mgao wa umeme utakuwa ni historia (yanii mgao utajirudia rudia), wasanii kupata studio, tutaleta Baca na Real M, kigoma itakuwa Dubai, tutawafanyia usanii wanaofanya ufisadi, kiini macho cha katiba mpya, tutatengeneza maplastiki kutokana na gesi, maisha bora kwa kila mtanzania bila ya ubora wa maisha!

Atakayekuja zama inayofuta nafikiri ataizamisha nchi kama mwenendo/ utendaji kazi ndio wa mlolongo huu tuliouona hapo juu.
 
Kwa hiyo Rais anatakiwa kudeal na maprofesa tu? Wanamuziki hawatakiwi Ikulu!!! Nimeona watu mnalalamika hata kitendo cha Rais kushirikia mazishi ya Kanumba. Kumbukeni kuwa Urais haumfanyi mtu aache kuwa binadamu wa kawaida. Mmenikumbusha wafanyakazi wa White house ya Marekani wanavyomlalamikia Michelle Obama kuwa tangu ameingia Ikulu kuna wageni wa hali ya chini wengi wanakuja, wakati wamezoea kuona White hause wanaalikwa "watu bora".

Huyo Loveness kama kila kitu alichowaambia mmemwamini hamuwezi kuweka lawama kwa JK. Ni jukumu lenu wenyewe kutafuta ukweli.

Ili kufahamu zaidi tamaduni za kualika watu mbalimbali Ikulu za nchi mbalimbali tazama hapa:
Barack Obama Invites Damian Lewis, Idris Elba To White House Dinner For David Cameron (VIDEO, PHOTOS)

Michelle Obama invites TV host Jimmy Fallon in for a White House gym session | Mail Online

Carla Bruni welcomes Russian president to state dinner in a daringly tight dress ~ Beauty Care

Angela Merkel would like to dine with Vicente del Bosque
Mkuu tofautisha kualika na kumtafuatia mtu deal kwenye hizo link zako ambazo hazihusiani na thread hao walialikwa. Alichokifanya kikwete ni upromota ambao Obama hafanyi hivyo
 
Tatizo kubwa la kikwete ni kitendo chake cha kukimbilia ikulu huku hajui akifika huko atafanya nini? urais bila malengo ni tatizo kubwa na ndio maana anapata free time kubwa ya kusafiri kila kukicha ni kwa sababu ya urais usio na malengo.
 
Ni kweli mkuu Nakubaliana na wewe tena kwenye term ya pili hii ambayo alishindwa alifanya kampeni za kifamilia kwa kumhusisha mke na mtoto tu
 
Hana la kufanya, nje ya nchi hakuna mkutano wa kuhudhuria, ndani ya nchi M4C inamwumiza kichwa, akikaa ofisini wakina nepi hawa na virungu visivyokwisha
Mwacheni bana promota M.kwere aka dhaifu afurahie pepo na vidosho wake.
 
Mkuu tofautisha kualika na kumtafuatia mtu deal kwenye hizo link zako ambazo hazihusiani na thread hao walialikwa. Alichokifanya kikwete ni upromota ambao Obama hafanyi hivyo

Kwa hiyo Rais wa Tanzania kumtafutia mtanzania deal ni tatizo?!
Rais anavyoongozana na wawakilishi wa makampuni mbalimbali kwenye DICOTA na kwengineko hamuoni inafaa? au NSSF na Exim bank peke yao ndio wana haki ya kutafutiwa deal na Kikwete?
 
Hana la kufanya, nje ya nchi hakuna mkutano wa kuhudhuria, ndani ya nchi M4C inamwumiza kichwa, akikaa ofisini wakina nepi hawa na virungu visivyokwisha
Mwacheni bana promota M.kwere aka dhaifu afurahie pepo na vidosho wake.
Rais muoga wa midahalo aangalie wenzake wakina Obama wanavyoshiriki bila woga yeye anapenda kuanguka majukwaani tuu basi ili apate huruma ya wananchi
 
Yaani utamaduni wa USA na UK ndiyo unataka tuige.. Zamarcopolo !!? Umesahau mara hii kwa sio kila jambo toka USA au U.K halitufai ??

Nini kisichofaa iwapo msanii ataalikwa ikulu?
Marijani Rajabu au Saadan Kandoro akienda Ikulu kula chakula na Rais ina ubaya gani?
 
Kwa hiyo Rais wa Tanzania kumtafutia mtanzania deal ni tatizo?!
Rais anavyoongozana na wawakilishi wa makampuni mbalimbali kwenye DICOTA na kwengineko hamuoni inafaa? au NSSF na Exim bank peke yao ndio wana haki ya kutafutiwa deal na Kikwete?
Mkuu jikite kwenye hoja! Rais alimwita diamond akampa deal ya kwenda kupiga muziki marekani kwani kazi ya waziri ya michezo nini? Ndio maana anaenda kwenye washa za family planning wakati kuna waziri Afya. Onyesha kwenye hizo link ulizoweka hapo juu viongozi hao walipowapa deal hao waliowaalika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom