Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Stori: Sifael Paula

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz' na kumpa jukumu maalum, Ijumaa linairusha hewani.

Kwa mujibu wa Diamond, juzikati ‘prezidenti' alimwita ikulu Magogoni, Dar es Salaam na kumpa shavu la kwenda kufanya shoo kwenye mkutano maalum utakaofanyika Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

"Yaa, rais aliniita akaniambia kuna shoo natakiwa kwenda kufanya Marekani. "Kwa mara ya kwanza nitasafiri nje ya nchi na madensa wangu wanne na msemaji mmoja. Sasa hivi hawataki kutembea na kupanda magari wasije wakakosa hiyo safari," alisema Diamond na kuongeza kuwa baada ya kuumwa, mawazo aliyaweka kwenye mchongo huo hivyo mambo mengine yataendelea ikiwa ni pamoja na kufanya kolabo na mwanamuziki wa kimataifa wa Nigeria, J. Martins.

globalpublishers.info

Madaktari na Waalimu sio lazima waende IKULU; Mastaa Yeah...
 
Ha ha ha,mzee wa "raha ya wali ni nazi,eeh!raha ya supu mandazi eeh!"lol!
 
I hope Obama ankielewa Kiswahili hivyo ataielewa vizuri hiyo "Tamu ya wali ni nazi................................................!."
 
Ni kweli,inategemea na tukio lenyewe.Kama kutakuwepo na wasanii mbali mbali maybe kutoka culture na nchi tofauti,basi si big deal.Yani it depends on the occassion.Kwasasa bado hatujajuwa huo "mkutano maalum" unahusu nini.Pengine inawezekana hata Obama asiwepo,yupo busy na kampeni...maybe kina fitty cent,again,it depends on the occassion.
 
Yaaani Tanzania, yaani nchi hiii, yaani inanifurahisha, yaani haki ya nani mbavu zimeniuma kicheko!!! Khaaaaah
 
Ni kweli,inategemea na tukio lenyewe.Kama kutakuwepo na wasanii mbali mbali maybe kutoka culture na nchi tofauti,basi si big deal.Yani it depends on the occassion.Kwasasa bado hatujajuwa huo "mkutano maalum" unahusu nini.Pengine inawezekana hata Obama asiwepo,yupo busy na kampeni...maybe kina fitty cent,again,it depends on the occassion.
Mkuu sidhani kama kuna Mila (CULTURE) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Culture wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.
 
correction!!

mila=tradition
utamaduni=culture
 
correction!!

mila=tradition
utamaduni=culture
Mkuu sidhani kama kuna Mila (TRADITION) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Tradition wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.

Nadhani hapo Mkuu matumbo umenisoma
 
Mkuu sidhani kama kuna Mila (CULTURE) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Culture wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.

Naaam!
 
Jamani hivi raisi wetu hana vipau mbele? Kwani waziri asingeweza kumwita na kumpa ujumbe?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom