Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.
mnaend mbali bure what i know JK, Ni mpenzi wa Bongo fleva, huenda ana zi feel sana nyimbo za DIAMOND
 
kwa hiyo kama anazifeel hiyo gharama yote ya kuwasafirisha atatoa kwenye mshahara wakea au kodi zetu
 
This work could be easily done by waziri husika wa michezo,

Waziri wa michezo mbali kote huko? I thought this can be easily handled by Afisa wa Utamaduni na michezo wa wizara.
JK na mawaziri wake they never have been serious, badala ya kushughulikia mambo mazito ya nchi they start dealing with Nasib.............!
 
Stori: Sifael Paula


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na kumpa jukumu maalum, Ijumaa linairusha hewani.

Kwa mujibu wa Diamond, juzikati ‘prezidenti’ alimwita ikulu Magogoni, Dar es Salaam na kumpa shavu la kwenda kufanya shoo kwenye mkutano maalum utakaofanyika Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

“Yaa, rais aliniita akaniambia kuna shoo natakiwa kwenda kufanya Marekani. “Kwa mara ya kwanza nitasafiri nje ya nchi na madensa wangu wanne na msemaji mmoja. Sasa hivi hawataki kutembea na kupanda magari wasije wakakosa hiyo safari,” alisema Diamond na kuongeza kuwa baada ya kuumwa, mawazo aliyaweka kwenye mchongo huo hivyo mambo mengine yataendelea ikiwa ni pamoja na kufanya kolabo na mwanamuziki wa kimataifa wa Nigeria, J. Martins.[/F atakuwa anataka diamond amuoneshe mganga wake mpya maana nyota ya mkuu imefifia
 
kwa hiyo kama anazifeel hiyo gharama yote ya kuwasafirisha atatoa kwenye mshahara wakea au kodi zetu
Acheni Majungu yasio na msingi we angekuwa ni Mdogo wako ama Bro wako ubana hivyo hizo fitna binafsi, Prezidaa JK safi sana kwa kumpa Prezidaa Diamond kusafisha nyota zaidi majuu...Waliopita walichezea bahati kwa kuwaza starehe acha Dogo awakimbizeee...na ww ukiwemo unaemuonea wivu, Mtt anafanya mambo kubwaaaaa...Kama akinaaa...nadhani unawajua Bow Wow na wengine kibaoooo...Huu ndio umri wetu wakupambana Vijana sio kupigana Vijembe, Wazuu siku zote wanaogopa Fainali ya Uzeeni ndio wanambana kila kukichaa sio sisi.
 
Acheni Majungu yasio na msingi we angekuwa ni Mdogo wako ama Bro wako ubana hivyo hizo fitna binafsi, Prezidaa JK safi sana kwa kumpa Prezidaa Diamond kusafisha nyota zaidi majuu...Waliopita walichezea bahati kwa kuwaza starehe acha Dogo awakimbizeee...na ww ukiwemo unaemuonea wivu, Mtt anafanya mambo kubwaaaaa...Kama akinaaa...nadhani unawajua Bow Wow na wengine kibaoooo...Huu ndio umri wetu wakupambana Vijana sio kupigana Vijembe, Wazuu siku zote wanaogopa Fainali ya Uzeeni ndio wanambana kila kukichaa sio sisi.

wivu haujawi kuwa sehemu ya maisha yangu kuna mambo ya msingi na watu wanaoitaji huo msaada.we unajua mshahara wanfgu nakatwa kodi sh ngapi?
 
Big up diamond! do the best show ili siku nyingine ualikwe kwenye sherehe au mkutano mwingine.Na kwa juhudi zako utwaonyeshea njia hata wasanii wenzako wa bongo fleva!
 
Kikwete na CCM wanaliaibisha Taifa. Anatumia ikulu vibaya.

Iweje Rais atumwe na Mwanamke, ambaye siye mkewe kumuita msanii kwenda Marekani?

Mwezi wa sita mwaka huu, Mwanamke mmoja anayeitwa Loveness Mamuya, alikuja pale Bungeni Dodoma. Tukiwa wana CCM kadhaa, alituelezea jinsi Rais Kikwete alivyomteua kuwa mwenyekiti wa CCM-DMV huko Marekani. Vigezo, anajua yeye mwanamke na Kikwete. Mwanamke huyu aliendelea kuelezea ombi lake kwa Rais la kumlepeleka msanii Diamond marekani katika ufunguzi wa Tawi la CCM.

Mnakumbuka wiki jana, magazeti tofauti pamoja na ya UDAKU, yaliandika Rais alivyomwalika msanii huyo (Diamond) Ikulu na kumpa kazi maalum nje ya nchi. Je ni vibaya kuhoji ni kwanini Rais asifanye kazi za Kitaifa hadi kuingilia mambo mengine ya upromota? Mbona asingemwachia msaidizi wake? Kwani Waziri wa Michezo, Nape Nnauye wasifanye hizo kazi za U-promoter? Kwenda kufungua tawi la watu hamsini, wakati hata Matawi vijijini yenye watu 1000 na zaidi rais hahusiki?

Ikulu ni taasisi takatifu katika nchi. Ni taasisi inayostahili heshima zote. Ikulu yetu imegeuka kuwa pango la walanguzi, wanyang'anyi, wauaji wa Mabwepande, mapromoter, na wapokea suti. Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya kuuzia rasilimali zetu n.k. Mbona taasisi ya Rais imeshuka hadhi kiasi hiki?


Hon: Member of Parliament (CCM)
 
This president is a joke.

Sikuwahi kumfuatilia kabisa hata alipochaguliwa. Baada ya utumbo mwingi ie ufisadi kuanza kwa kasi. Nikaona humu watu wanavyoponda. Nikasema huyu ngoja nimfwatilie kidogo labda wanamwonea.

Matokeo yake yalinisikitisha sana. Nikajiuliza ilikuwaje akachaguliwa kuwa rais? Nikaja nikapata lile jibu la wanamtandao na alivyomwua muislam mwenzake Salim eti mwarabu wa Hizbu! Hakuingia kwa merits za uchapaji kazi ama atawafanyia nini watanzania zaidi ya slogan ya kitapeli ya "maisha bora kwakila mtanzania"

This president ni janga kubwa la Taifa na madhara ya utawala wake yatabaki for decades if not generations.
 
JK na Diamond wote ni WASANII, JK nchi imemshinda laana ya makundi inamtafuna. Diamond nae anajikomba kwa Mkuu, lakini 2015 Wanachi tutaamua
 
Huo ndio uzoefu wa SItta anoringia, huku akimwita Mbowe DJ,huku mwenyekiti wake ni Promoter.Hawa jamaa hajui kila sentensi waongeayo kua millions cylles za processes kabla hajamaliza kuelezea asichokijua tayari tunatamani mtu aje mowndoa ktk jukwaa na medai.
 
Ndio uzuri wa kuwa na Rais limbukeni akiwa amezungukwa na limbukeni wenzake. Ulimbukeni haumaliziki kwa shule au masomo ya darasani. When you are one, you stay one and no amount of education can change you. He gets paralyzed in-front of a white man and feels all Tanzanians are too stupid to see this.

Waliompigia kura wajifunze sasa. Miaka mitano ya kipindi cha kwanza tuliona jinsi ambavyo alitunza ahadi zake na tukamzawadia mingine mitano ili aweze kutumalizia raslimali zilizosalia. Learn from it.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom