Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.

Kikwete na CCM wanaliaibisha Taifa. Anatumia ikulu vibaya. Iweje Rais atumwe na Mwanamke, ambaye siye mkewe kumuita msanii kwenda Marekani? Mwezi wa sita mwaka huu, Mwanamke mmoja anayeitwa Loveness Mamuya, alikuja pale Bungeni Dodoma. Tukiwa wana CCM kadhaa, alituelezea jinsi Rais Kikwete alivyomteua kuwa mwenyekiti wa CCM-DMV huko Marekani. Vigezo, anajua yeye mwanamke na Kikwete. Mwanamke huyu aliendelea kuelezea ombi lake kwa Rais la kumlepeleka msanii Diamond marekani katika ufunguzi wa Tawi la CCM.

Mnakumbuka wiki jana, magazeti tofauti pamoja na ya UDAKU, yaliandika Rais alivyomwalika msanii huyo(Diamond) Ikulu na kumpa kazi maalum nje ya nchi. Je ni vibaya kuhoji ni kwa nini Rais asifanye kazi za Kitaifa hadi kuingilia mambo mengine ya upromota? Mbona asingemwachia msaidizi wake? Kwani Waziri wa Michezo, Nape Nnauye wasifanye hizo kazi za U-promoter? Kwenda kufungua tawi la watu hamsini, wakati hata Matawi vijijini yenye watu 1000 na zaidi rais hausiki?

Ikulu ni taasisi takatifu katika nchi. Ni taasisi inayostahili heshima zote. Ikulu letu imegeuka kuwa pango la walanguzi, wanyang’anyi, wauaji wa Mabwepande, mapromoter ("JK Promotions"), na wapokea suti. Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya kuuzia rasilimali zetu na kugawa vyeo kwa ma hawara. Mbona taasisi ya Rais imeshuka hadhi kiasi hiki?

Honorable : Member of Parliament
If speaking the Truth will be my Source of death, so be it. I am ready to Die. TISS Come for me in Dodoma.
 
Did you expect anything different from this pathetic govt?we are being lead by somone who vied for the position merely by fame and not for what he could do for this country.Shame
 
HonorableMP
Nakushauri kama ni kweli unataka kujitoa mhanga njoo ID yenye jina lako kamili; tunahitaji mashujaa safari hii watoke ndani JF; si unaona shujaa wetu Dr. Ulimboka alivyorudi mkimya? Ile kazi aliyoianza inahitaji mtu wa kuimaliza; nimefurahi sana kuona amejitokeza shujaa mwingine; weka jina mkuu usiwapotezee watu muda.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tunakuomba toa ukweli usituletee unafki wako wewe maana habari za kuaminika mamuya hakwenda bugeni mamuya hajaomba msaada wa diomond ongea ukweli wacha majungu tumeshakuona tupe ukweli kama mamuya alikuja dodoma ?na je ulikuwepo akiomba msaada au majungu ?Yasiyo nakichwa wala miguu watanzania muongee vitu vya ukweli wacheni kupotesha majungu ni aibu kubwa kwa Tanzania .... Nakama alikwenda dodoma tunaomba utuekee wazi
 
kwani dimond hafai kwenda ikulu? wacheni ujinga kwani nyie watu msio na kazi wapotoshaji wa jamii kwanza siko sure kama raisi kampa kazi na kama kampa kazi ya kuja basi ndiyo jambo zuri kabisa kwani anatakiwa awa suport vijana wa music maana watakiwa kusaidiwa siku zote wanatumika kwenye kampeni why not now??nadhani ni jambo la busara sana raisi wetu usio kuwa na upendeleo vijana wanataka suport yako tena watume wengi zaidi duniani mlete na huku london tuna chama cha ccm tuweze kumsaidia hata kimichezo ccm inaweza bwana vijana wa music wanahitaji kukumbukwa ni vizuri sana mimi naona hapa ni chuki tuu hamna zaidi ya huyu mjinga kama mbunge kweli mtoeni mpumbavu sana hataki nini mjinga huyu anachoongea ni mjinga sana vijana wanatakiwa kusaidiwa Raisi pongezi kubwa watanzania tumepata
 
Rais kesha acha kazi yake aliyochakachulia kura amekuwa promota nasikia anabeep kichizi
 
kwani dimond hafai kwenda ikulu? wacheni ujinga kwani nyie watu msio na kazi wapotoshaji wa jamii kwanza siko sure kama raisi kampa kazi na kama kampa kazi ya kuja basi ndiyo jambo zuri kabisa kwani anatakiwa awa suport vijana wa music maana watakiwa kusaidiwa siku zote wanatumika kwenye kampeni why not now??nadhani ni jambo la busara sana raisi wetu usio kuwa na upendeleo vijana wanataka suport yako tena watume wengi zaidi duniani mlete na huku london tuna chama cha ccm tuweze kumsaidia hata kimichezo ccm inaweza bwana vijana wa music wanahitaji kukumbukwa ni vizuri sana mimi naona hapa ni chuki tuu hamna zaidi ya huyu mjinga kama mbunge kweli mtoeni mpumbavu sana hataki nini mjinga huyu anachoongea ni mjinga sana vijana wanatakiwa kusaidiwa Raisi pongezi kubwa watanzania tumepata
Waziri wa michezo kazi yake nini? Mpaka Rais ajikite kwenye upromota?
 
Tunakuomba toa ukweli usituletee unafki wako wewe maana habari za kuaminika mamuya hakwenda bugeni mamuya hajaomba msaada wa diomond ongea ukweli wacha majungu tumeshakuona tupe ukweli kama mamuya alikuja dodoma ?na je ulikuwepo akiomba msaada au majungu ?Yasiyo nakichwa wala miguu watanzania muongee vitu vya ukweli wacheni kupotesha majungu ni aibu kubwa kwa Tanzania .... Nakama alikwenda dodoma tunaomba utuekee wazi
Kuna picha ambazo mamuya kapiga na promota na zipo humu jamvin sijui ndio alikuwa anampa deal
 
Kikwete na CCM wanaliaibisha Taifa. Anatumia ikulu vibaya. Iweje Rais atumwe na Mwanamke, ambaye siye mkewe kumuita msanii kwenda Marekani?

Mwezi wa sita mwaka huu, Mwanamke mmoja anayeitwa Loveness Mamuya, alikuja pale Bungeni Dodoma. Tukiwa wana CCM kadhaa, alituelezea jinsi Rais Kikwete alivyomteua kuwa mwenyekiti wa CCM-DMV huko Marekani. Vigezo, anajua yeye mwanamke na Kikwete. Mwanamke huyu aliendelea kuelezea ombi lake kwa Rais la kumlepeleka msanii Diamond marekani katika ufunguzi wa Tawi la CCM.

Mnakumbuka wiki jana, magazeti tofauti pamoja na ya UDAKU, yaliandika Rais alivyomwalika msanii huyo (Diamond) Ikulu na kumpa kazi maalum nje ya nchi. Je ni vibaya kuhoji ni kwanini Rais asifanye kazi za Kitaifa hadi kuingilia mambo mengine ya upromota? Mbona asingemwachia msaidizi wake? Kwani Waziri wa Michezo, Nape Nnauye wasifanye hizo kazi za U-promoter? Kwenda kufungua tawi la watu hamsini, wakati hata Matawi vijijini yenye watu 1000 na zaidi rais hahusiki?

Ikulu ni taasisi takatifu katika nchi. Ni taasisi inayostahili heshima zote. Ikulu yetu imegeuka kuwa pango la walanguzi, wanyang'anyi, wauaji wa Mabwepande, mapromoter, na wapokea suti. Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya kuuzia rasilimali zetu n.k. Mbona taasisi ya Rais imeshuka hadhi kiasi hiki?
411114_10150952304684016_639734015_9985961_1532000628_o.jpg

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom