johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,845
- 145,860
Zile Toyota Kadi zote ziko Siaradibii 😂😂CDM ndio yenye magari zile Toyota hardtop, CCM inaungaunga😀
Zile Toyota Kadi zote ziko Siaradibii 😂😂CDM ndio yenye magari zile Toyota hardtop, CCM inaungaunga😀
Hapo mpaka sasa hivi kuna vigogo wamesha chagua V8 zao tayari. Nchi hii ngumu sana.Unataka kutuambia kuna mgogoro wa kiutendaji kati ya CCM na serikali yake?
Kwani ni mara ya kwanza magari ya serikali kutumika kwenye shughuli za chama chenu?
Kama sio mara ya kwanza, kwanini Makonda apate kigugumizi kuwajibu hao wanaomuuliza hayo maswali?
Hayo magari yameachwa hapo TEMESA kwa sababu maalum, wanatafuta gap waje kutupiga mbele ya safari, wao watachota pesa za umma wakanunue magari mengine mapya muda wao ukifika.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kuna mifumo ya kusikiliza kero serikalini.... Sidhani kuambatana na kiongozi wa siasa ni sahihiMleta mada muongo chama hakiwezi jieleza kwa sababu ya magari ya serikali wale waliongozana kwenda kwenye
mkutano kusikiliza kero za wananchi na kuzipa majibu
Kiongozi wa serikali kusikiliza.kero za wananchi ni moja ya majukumu yake
Nchi hii Bwana.Mengi yatakaa hapo kama muda wa miaka 2 then wanajiuzia kwa milioni moja moja, maintenance zitatumika fedha za umma na mwisho watajiuzia
Nchi imejaa majangili tupuNchi hii Bwana.
Mfumo gani wa kusikiliza kero ulioko serikaliniKuna mifumo ya kusikiliza kero serikalini.... Sidhani kuambatana na kiongozi wa siasa ni sahihi
Gari za Gavoo hazina bima wala hazilipiwi kodi pindi zinapotoka huko zilikoagizwaKwani hayo magari hayana Bima?
magari ya serikali hayana bima?Acha ulanzi bwashee kumekucha
Tangu lini gari ya Serikali ikawa na bima?
Yaani Serikali ijikatie bima, ilhali bima imo humo serikalini kama mtoto?
Bima ni Kwa walalahoi na sekta binafsi!!!
Hujaona gari za Serikali zenye Bima? 😀😀😀Gari za Gavoo hazina bima wala hazilipiwi kodi pindi zinapotoka huko zilikoagizwa
Hulijui Hilo?magari ya serikali hayana bima?
Labda lipo lingine"tuone Sasa"Hakuna taasisi yenye jeuri ya kuhoji CCM mtoa mada anajifurahisha
Sahihi kabisa. Mtoa mada ni CHAWA wa ChongoloNa hapo ndio utajua uongo wa mtoa mada yani anajaribu kutuambia kuwa magari hayo yalikwenda kwenye msafara wa Makonda bila ruhusa? Huu ndio uongo mkubwa! Yani CCM na serikali walumbane kukarabati magari?
Yani hapa ni sawa kutuambia CCM na CCM wana lumbana!
Kiufupi huu ni uongo kwani CCM ni wale wale na tamesa hawana uwezo wa kupingana na CCM maana wanalipwa na CCM…
Mtoa mada huwa hampendi Makonda sema sasa ndio yupo pale na sasa ana jifariji……
Duh 🙄 !Mengi yatakaa hapo kama muda wa miaka 2 then wanajiuzia kwa milioni moja moja, maintenance zitatumika fedha za umma na mwisho watajiuzia
Mleta mada ni tapeli anayeutumia ujuzi wake wa uandishi ili kuwapotosha wenye akili ndogo!!Nadhani mleta mada ni mbumbumbu wa mambo mengi sana, Ajali aliyepata ni dereva unadanganya watu eti maelezo yanatakiwa kutolewa na mkuu wa msafara, Huu ni ulongo wa hali ya juu. Hivi ni nani anayejua chanzo cha ajali zaidi ya dereva aliyepatwa na ajali husika?
Ulongo mwingine ni kuhusu kukwama kwa matengenezo ya gari etuli kwa sababu idara za Serikali zinahoji kwanini magari husika yalikuwa kwenye ziara ya Makonda!!
Ifahamike kuwa ziara ya kiongozi yeyote wa CCM ni ziara ya kukagua utendaji wa Chama na Serikali, kwa upande wa Serikali wanaokaguliwa ni Watumishi wa Serikali wanaotekeleza Ilani ya Chama kilichoko madarakani, sasa kwa akili yako ulitarajia kwenye msafara wasiwepo wanaokaguliwa? Hapa huna hoja zaidi ya chuki binafsi kwa Makonda. Bahati mbaya sana unakuja kuposti utumbo kwenye ukrasa wa Jamiiforum sehemu ambayo tunaamini wamejaa intellectuals jitahidi ukumbi huu uwe unauposti Facebook, TikTok au Instagram kule.
Umesema Kweli, mtoa HOJA ana Chuki na kijana,Mleta mada ni tapeli anayeutumia ujuzi wake wa uandishi ili kuwapotosha wenye akili ndogo!!
Anataka kutuambia siku gari la RAIS likipata ajali basi Samia ndo akatoe maelezo?
Bottom line ni kwamba mtoa mada ana chuki iliyopitiliza kwa Makonda!! Na hoja ni ndogo tu, Makonda anawabana wezi wanaomlisha huyu Mzee asiyetaka kufanya kazi.
Kumfananisha mwenezi wa chama na Rais ni ujinga wa hali ya juu sanaMleta mada ni tapeli anayeutumia ujuzi wake wa uandishi ili kuwapotosha wenye akili ndogo!!
Anataka kutuambia siku gari la RAIS likipata ajali basi Samia ndo akatoe maelezo?
Bottom line ni kwamba mtoa mada ana chuki iliyopitiliza kwa Makonda!! Na hoja ni ndogo tu, Makonda anawabana wezi wanaomlisha huyu Mzee asiyetaka kufanya kazi.
Hakuna wa kuigomea CCM ila wanaweza kuwepo wa kumgomea aliyekuwa akiyatumia maana alikuwa akiwazingua wengi huko Chamani !!Hakuna wakuwahoji na hakuna wa kugoma kutengeneza magari hayo…yani wewe unafikiri kuna taasisi yenye uwezo wa kuigomea CCM?