Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,563
Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo?

Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na CCM zingeweza kujenga mradi mkubwa wa maji katika wilaya nzima ya Tandahimba ambapo maji ya bomba yanaonekana ni luxury.

Rais Samia na CCM mnawajibika kwa upotevu huu wa fedha za maskini!
 
Hata waziri mkuu sidhani kama ana mdafara mkubwa vile!
Kuna kitu hakipo vyema mahali! ila ukimwona mbwa juu ya mti ujue "kapandishwa"
 
Back
Top Bottom