Polisi waweke hadharani tathmini ajali msafara wa Makonda

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,801
71,224
Tunataka uwazi na hatutaki longolongo. Magari 13 yamepata ajali katika msafara wa Makonda huko Masasi.

1. Wamiliki wa hayo magari ni nani? Maana kuna taarifa zisizo rasmi kuwa yapo magari ya serikali ambayo yamebandikwa namba za bandia ili yasijulikane.

2. Kubandika namba za bandia kwenye gari na kuliingiza barabarani ni kosa la usalama barabarani jee wamechukua hatua gani?

3. Kama kuna magari ya serikali, jee gharama za matengenezo zitabebwa na nani?

Acha upotoshaji

Ajali ni ajali yaweza tokea au kumpata yeyeto popote wakat wowote 🐒

ni lini magari ya serikali ilitengwa kutokupata ajali?

Ajali imetokea,
viongozi waandamizi wa chama na serikali wamehusika katika kadhia hiyo. Hilo liko wazi 🐒

Ashukuriwe Mungu hapakutokea vifo bali majeruhi na uharibifu wa magari.
Tunawaombea majuruhi wote ahueweni na uponyaji wa mapema 🐒

R .I. P Laigwanan comrade EL
 
acha upotoshaji,

Gari za serikali zinahusika vipi na misafara ya kichama, mbona hatuzioni kwenye misafara ya chadema.......tumia akili japo kidogo.
 
Aliyotunga nyimbo hii anajuta huko alupo kwa aliyofanyiwa na Fisiemu na kuletea kifo chake.
Jamaa Kwakweli huwa hawanaga Shukran!
Hata uwafanyie nini ipo siku watakugeuka na kukufanyia ubaya kwa sababu ya tofauti ndogo tu itakayotokea baina yao humo Chamani !
Mahasimu Chamani watatengeneza zengwe kubwa kummaliza mwenzao kisiasa au mazima !
Rejea Maneno ya Kikwete kwamba wana Ccm hawaachiani glass mezani !
This is for real ! Wala usidhani ni utani !
Na Mwalimu Nyerere alisemaga ukila nyama ya mtu huwezi kuacha !!
 
Tunataka uwazi na hatutaki longolongo. Magari 13 yamepata ajali katika msafara wa Makonda huko Masasi.
1. Wamiliki wa hayo magari ni nani? Maana kuna taarifa zisizo rasmi kuwa yapo magari ya serikali ambayo yamebandikwa namba za bandia ili yasijulikane.
2. Kubandika namba za bandia kwenye gari na kuliingiza barabarani ni kosa la usalama barabarani jee wamechukua hatua gani?
3. Kama kuna magari ya serikali, jee gharama za matengenezo zitabebwa na nani?

View: https://youtu.be/V1qhqyGfpWQ?si=nqCLxmzyUaDpAI76

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Lucas mwashambwa njoo ujibu huku.

Wananchi TUNATETEMEKA kwa hasira ya mali yetu kuharibiwa kipuuzi
 
acha upotoshaji,
Ajali ni ajali yaweza tokea au kumpata yeyeto popote wakat wowote 🐒
Pole kwako unayeamini kuwa hiyo ni ajali tu maana hata mission ya Makonda ililenga kuwaaminisha wajinga kwamba anasakwa ili auwawe, katoka nyanda za juu kusini akiimba "hawamuwezi" 😂😂😂

Baadae kidogo kafika Ntwara akayabamiza magari yaliyonunuliwa kwa kodi za wananchi yakapondeka na kuleta hasara nyingine, huku wanatangaza 'ni ajali tu' na tayari mazwazwa wameamini ni ajali tu 😂 😂 😂

Dogo kabamiza hayo magari ili awathibitishie mazwazwa kuwa kina Nape na Makamba hawamuwezi.

Mkuu hiyo siyo ajali ni igizo tu.
 
Pole kwako unayeamini kuwa hiyo ni ajali tu maana hata mission ya Makonda ililenga kuwaaminisha wajinga kwamba anasakwa ili auwawe, katoka nyanda za juu kusini akiimba "hawamuwezi" 😂😂😂

Baadae kidogo kafika Ntwara akayabamiza magari yaliyonunuliwa kwa kodi za wananchi yakapondeka na kuleta hasara nyingine, huku wanatangaza 'ni ajali tu' na tayari mazwazwa wameamini ni ajali tu 😂 😂 😂

Dogo kabamiza hayo magari ili awadhibitishie mazwazwa kuwa kina Nape na Makamba hawamuwezi.

Mkuu hiyo siyo ajali ni igizo tu.
Kwahiyo yule makalio anaamini kupitia hili igizo atapata credit ya kumfanya awe Rais?
 
Pole kwako unayeamini kuwa hiyo ni ajali tu maana hata mission ya Makonda ililenga kuwaaminisha wajinga kwamba anasakwa ili auwawe, katoka nyanda za juu kusini akiimba "hawamuwezi" 😂😂😂

Baadae kidogo kafika Ntwara akayabamiza magari yaliyonunuliwa kwa kodi za wananchi yakapondeka na kuleta hasara nyingine, huku wanatangaza 'ni ajali tu' na tayari mazwazwa wameamini ni ajali tu 😂 😂 😂

Dogo kabamiza hayo magari ili awadhibitishie mazwazwa kuwa kina Nape na Makamba hawamuwezi.

Mkuu hiyo siyo ajali ni igizo tu.
mathalani,
kwamba wew ndio dereva, una familia yako nyumbani mke mrembo na watoto,
kwasabb yeyote ile mathalani umeahidiwa fedha, mali au cheo, unatumwa endesha gari hili kimbiza kwa kasi kayabamize yele magari mengine paaleeee 🐒
Na unaenda 🤣

🤣 Lazima dishi litakua limecheza sio kuyumba

R I P Laigwanan comrade EL
 
Gari za serikali zinahusika vipi na misafara ya kichama, mbona hatuzioni kwenye misafara ya chadema.......tumia akili japo kidogo.
unazungumza serikali ya CCM kutumia magari ya serikali yake sio 🐒

completely uko confused 🤣

R I P Laigwanan comrade EL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom