Madai ya mgomo Chuo kikuu Dar hayana upeo mkubwa

Du hapana kabisa kuwalipa 330,000/= kwa mwezi wakati hatuna hakika watafaulu wote na kuanza kazi ni unafiki. Kazi wajitafutie wenyewe km wengine tulivyofanya na vyumba ni jukumu lao km mabibo pamejaa. Hivi hiyo hela itatoka wapi? kila mwaka wanaongezeka na Watanzania ndio wanaowakopesha kwanini JKT isingerudi ? wajifunze Uzalendo kula kulala kusoma wangevijua iko siku tutashindwa wadhibiti hawa vijana

what is your point?
 
Ni kweli nimesoma miaka ya 80 na 90 nchini mwangu Tanzania na matatizo ya maisha shuleni siku hizo yalikuwa magumu zaidi kuliko siku hizi. Tulitembea kwa miguu na usafiri tutokapo likizoni kwenda chuoni tulitembea kwenye malori yaliyojaza magunia. Shuleni tulisoma kwa vibatari. Hakuna mama ntilie ilibidi tuchukua chakula tuwapo safarini kujikimu kabla hatujafika shuleni. Cha msingi tulijua tunataabika kwa muda na tukishahitimu tunaanza tengeneza maisha yetu.
Mazingira ya leo huwezi linganisha na ile ya miakia ya 80 na 90. Leo unapata sukari lakini wakati ule ni kwa mgao, na kwa mwanafunzi sahau neema ikunyeshee. Bulger ya mmarekani ndo iliyotupa nguvu ya kuzungusha matufe ya kutuelimisha jiografia, lakini wanachuo wa leo wanataka wakale McDonalds restaurant.

Vijana wengi siku hizi ni mafundi wa kulaumu zaidi kuliko kufikiria namna gani kutafuta mbinu ya kujitegemea kuongeza kipato. Siku hizi mwanafunzi anafikiria kupata pesa za kustarehe weekend badala ya kufikiria kununua vitabu vya kiada. Wanachuo siku hizi wanafikira computer kwa ajili ya kuchati mambo yao ya urafiki wanayofahamiana badala ya kufikiria kutumia online kwa ajili ya kupanua elimu yao. Wanachuo siku hizi ndio wanaojaa kwenye madisco na nyumba nyingi za starehe siku za weekend badala ya kutulia na kufanya homework au kufanya vibarua kujijpatia pesa za matumizi.
Tukubali tuko wavivu wa kufikiria njia bora ya kujiongezea kipato na tunapenda tu dezo.

Ni miaka mitatu tu iliyopita nimetoka kuhitimu chuo nchi mojawapo iliyoendelea, hakuna dezo ni kuchakalika usiku na mchana hadi nahitimu. Nasoma na huku nafanyakazi ili kulipia karo, kununua vitabu, chakula na rent ya nyumba ninayoishi. Raia wenyewe wa nchi niliyosoma walinafanya vivyo hivyo, sikuona anayelalamika au kuandamana eti serikali inawapunja.

Kama ni mkopo nilifanikiwa kupata lakini ni nusu ya ada ya chuo, ikabidi nusu nilipie mwenyewe kwa awamu kidogo kidogo kila mwenzi hadi namaliza chuo tokana na kazi.
Tusidanganyane, Watanzania tunapenda njia ya mkato, na kwa maandamano ya chuo cha mlimani hapana.

Hahahaha,na unatamani kweli na sisi tuteseke kama wewe eti?
wazazi wengine bwana,bora sina mzazi mwenye mawazo kama yako
 
Kwa mwanachuo ningetazamia anakuwa na mtazamo mpana wa kuona mbalia na wa kina zaidi katika kutafuta madai ya nyongeza ya posho kwa siku. Source za kupata pesa za mikopo hiyo ina limit na kama tunataka zaidi watakaoumia ni walipa kodi ambao ni wazazi, walezi, ndugu na wadogo zetu wanaosoma shule za msingi na sekondari. Na si kiongozi fulani atakayeamua posho hiyo iongezwe kwa sasa hivi mpaka taratibu wa vyombo husika vya kuidhinisha vikubaliane na inakotoka source ya pesa hizo.

Ukifikiria pesa ambayo mwanachuo anapata 5000 kwa siku, basi nenda kwenye hospitali uwaone wagonjwa wanavyolala katika mazingira ya kutisha na ya kukatisha tamaa. Akina mama wajawazito wanazalia sakafuni, sasa katika priority hapo nani kwanza afikiriwe kupata huduma? Nenda sekondari za Kata hata hawana maabara, hakuna madawati, vitabu vya kiada ndo sahau. Nenda shule za msingi wanasomea chini ya vivuli vya miti. Miundo mbinu hapo dar angalia Kigamboni wanavyohangaika na usafiri daraja miaka nenda rudi daraja halijengeki. Mishahara serikalini inazidi umiza vichwa na wanaoumia ndio wazazi na walezi wenu. Na mengine mengi tu.

Nawashauri wanachuo wasifikiri nyongeza ya posho kupata kiurahisi hivyo, ila wawe wabunifu katika kutafuta njia nyingine za kupata ahueni. Mfano wangeomba serikali kurudisha utaratibu wa zamani kwamba wanachuo wawe na muda wa kusaidia kuziba pengo la tatizo la walimu, kwa maana hiyo wangeweza fundisha part time kwenye shule za sekondari, na kabisa dar kula madarasa ya majira ya jioni na asubuhi. Afadhali wangekuwa wanashinikiza uongozi wa chuo kupanga ratiba inayowapa mwanya wa kufanya shughuli zao nyingine badala ya ratiba ya kuwakaba siku nzima. Nimeona shule nyingi hapa dar zinamikondo mingi na ratiba ya siku nzima na wanahitaji walimu sana tu. Mfano mie nilipokuwa chuo fulani, baada ya mwaka wa kwanza nikaomba kuwa part time instructor, nikakubaliwa na ikanisaidia kuzipa ufa ulionisumbua kulipa college fee per credit hour.

Wanavyuo kwa mtazamo wa kina wangekuwa wanawaunga mkono wafanyakazi nyongeza ya mishahara na maslahi bora kwa wakulima ili ongezeko la pato lao lingesaidia wao kuboreka zaidi kuliko kudai pesa bila kuangalia vyanzo vyake kama vitakidhi madai yao. Kwama wazazi na wafanyakazi pato likiongezeka litasaidia wanachuo kupata matumizi kifamilia. Wanachuo ningetazamia kudai serikali kutumia vema rasilimali, kudai kodi ili iwe na pato la kutosha badala ya kutegemea misaada ambayo taifa linatwishwa mzigo mkubwa wa mapato yote kuelekezwa kulipa madeni kwa nchi wahisani.

Vijana wanachuo wawe wanafanya chemsha bongo ya kufikiria mbinu zinazosaidia kupata pesa badala ya kufikiria tu njia ya mkato kuongezewa pesa ndio maana nasema watanzania pengine tunakuwa wavivu kufikiri. Hata leo ukiitisha kura ya maoni kwa wanaoelewa watakuambia ongezeko la posho kwa siku kwa mwanachuo liwe asilimia mia moja (100%) yaani Sh.10000 kura za hapana zitashinda.

Kuna madai ya msingi kama waliyokuwa nayo wanachuo wa Dodoma na madai mengine ya kucheleweshewa kupata pesa kutoka kwenye mikopo ya wanachuo hayo nayaunga mkono kwa asilimia mia moja, lakini la kuongezewa kufikia 10000 kwa siku HAPANA
 
Nawashauri wanachuo wasifikiri nyongeza ya posho kupata kiurahisi hivyo, ila wawe wabunifu katika kutafuta njia nyingine za kupata ahueni. Mfano wangeomba serikali kurudisha utaratibu wa zamani kwamba wanachuo wawe na muda wa kusaidia kuziba pengo la tatizo la walimu, kwa maana hiyo wangeweza fundisha part time kwenye shule za sekondari, na kabisa dar kula madarasa ya majira ya jioni na asubuhi. Afadhali wangekuwa wanashinikiza uongozi wa chuo kupanga ratiba inayowapa mwanya wa kufanya shughuli zao nyingine badala ya ratiba ya kuwakaba siku nzima. Nimeona shule nyingi hapa dar zinamikondo mingi na ratiba ya siku nzima na wanahitaji walimu sana tu. Mfano mie nilipokuwa chuo fulani, baada ya mwaka wa kwanza nikaomba kuwa part time instructor, nikakubaliwa na ikanisaidia kuzipa ufa ulionisumbua kulipa college fee per credit per hour.

Wanavyuo kwa mtazamo wa kina wangekuwa wanawaunga mkono wafanyakazi nyongeza ya mishahara na maslahi bora kwa wakulima ili ongezeko la pato lao lingesaidia wao kuboreka zaidi kuliko kudai pesa bila kuangalia vyanzo vyake kama vitakidhi madai yao. Kwama wazazi na wafanyakazi pato likiongezeka litasaidia wanachuo kupata matumizi kifamilia. Wanachuo ningetazamia kudai serikali kutumia vema rasilimali, kudai kodi ili iwe na pato la kutosha badala ya kutegemea misaada ambayo taifa linatwishwa mzigo mkubwa wa mapato yote kuelekezwa kulipa madeni kwa nchi wahisani.

Vijana wanachuo wawe wanafanya chemsha bongo ya kufikiria mbinu zinazosaidia kupata pesa badala ya kufikiria tu njia ya mkato kuongezewa pesa ndio maana nasema watanzania pengine tunakuwa wavivu kufikiri. Hata leo ukiitisha kura ya maoni kwa wanaoelewa watakuambia ongezeko la posho kwa siku kwa mwanachuo liwe asilimia mia moja (100%) yaani Sh.10000 kura za hapana zitashinda.

Kuna madai ya msingi kama waliyokuwa nayo wanachuo wa Dodoma na madai mengine ya kucheleweshewa kupata pesa kutoka kwenye mikopo ya wanachuo hayo nayaunga mkono kwa asilimia mia moja, lakini la kuongezewa kufikia 10000 kwa siku HAPANA

Wewe usie mvivu wa kufikiri mbona hutoi suggestion ni nini wafanye tofauti na kugoma?
 
Kwa mwanachuo ningetazamia anakuwa na mtazamo mpana wa kuona mbalia na wa kina zaidi katika kutafuta madai ya nyongeza ya posho kwa siku. Source za kupata pesa za mikopo hiyo ina limit na kama tunataka zaidi watakaoumia ni walipa kodi ambao ni wazazi, walezi, ndugu na wadogo zetu wanaosoma shule za msingi na sekondari. Na si kiongozi fulani atakayeamua posho hiyo iongezwe kwa sasa hivi mpaka taratibu wa vyombo husika vya kuidhinisha vikubaliane na inakotoka source ya pesa hizo.

Ukifikiria pesa ambayo mwanachuo anapata 5000 kwa siku, basi nenda kwenye hospitali uwaone wagonjwa wanavyolala katika mazingira ya kutisha na ya kukatisha tamaa. Akina mama wajawazito wanazalia sakafuni, sasa katika priority hapo nani kwanza afikiriwe kupata huduma? Nenda sekondari za Kata hata hawana maabara, hakuna madawati, vitabu vya kiada ndo sahau. Nenda shule za msingi wanasomea chini ya vivuli vya miti. Miundo mbinu hapo dar angalia Kigamboni wanavyohangaika na usafiri daraja miaka nenda rudi daraja halijengeki. Mishahara serikalini inazidi umiza vichwa na wanaoumia ndio wazazi na walezi wenu. Na mengine mengi tu.

Nawashauri wanachuo wasifikiri nyongeza ya posho kupata kiurahisi hivyo, ila wawe wabunifu katika kutafuta njia nyingine za kupata ahueni. Mfano wangeomba serikali kurudisha utaratibu wa zamani kwamba wanachuo wawe na muda wa kusaidia kuziba pengo la tatizo la walimu, kwa maana hiyo wangeweza fundisha part time kwenye shule za sekondari, na kabisa dar kula madarasa ya majira ya jioni na asubuhi. Afadhali wangekuwa wanashinikiza uongozi wa chuo kupanga ratiba inayowapa mwanya wa kufanya shughuli zao nyingine badala ya ratiba ya kuwakaba siku nzima. Nimeona shule nyingi hapa dar zinamikondo mingi na ratiba ya siku nzima na wanahitaji walimu sana tu. Mfano mie nilipokuwa chuo fulani, baada ya mwaka wa kwanza nikaomba kuwa part time instructor, nikakubaliwa na ikanisaidia kuzipa ufa ulionisumbua kulipa college fee per credit hour.

Wanavyuo kwa mtazamo wa kina wangekuwa wanawaunga mkono wafanyakazi nyongeza ya mishahara na maslahi bora kwa wakulima ili ongezeko la pato lao lingesaidia wao kuboreka zaidi kuliko kudai pesa bila kuangalia vyanzo vyake kama vitakidhi madai yao. Kwama wazazi na wafanyakazi pato likiongezeka litasaidia wanachuo kupata matumizi kifamilia. Wanachuo ningetazamia kudai serikali kutumia vema rasilimali, kudai kodi ili iwe na pato la kutosha badala ya kutegemea misaada ambayo taifa linatwishwa mzigo mkubwa wa mapato yote kuelekezwa kulipa madeni kwa nchi wahisani.

Vijana wanachuo wawe wanafanya chemsha bongo ya kufikiria mbinu zinazosaidia kupata pesa badala ya kufikiria tu njia ya mkato kuongezewa pesa ndio maana nasema watanzania pengine tunakuwa wavivu kufikiri. Hata leo ukiitisha kura ya maoni kwa wanaoelewa watakuambia ongezeko la posho kwa siku kwa mwanachuo liwe asilimia mia moja (100%) yaani Sh.10000 kura za hapana zitashinda.

Kuna madai ya msingi kama waliyokuwa nayo wanachuo wa Dodoma na madai mengine ya kucheleweshewa kupata pesa kutoka kwenye mikopo ya wanachuo hayo nayaunga mkono kwa asilimia mia moja, lakini la kuongezewa kufikia 10000 kwa siku HAPANA

nyie ndo wazee mabwege mliofikisha nchi pabaya.badala ya kuiambia serikali ichukue say 10% ya mapato ya makampuni ya madini ili kuchangia elimu wewe unasuggest wanafunzi wale mlo mmoja.do you think utazalisha manpower yenye uwezo wa kushindana kwenye soko la ajira E.A.C.
Chukua ushauri huu ili mnapokaa kwenye semina zenu muweze kupata ufumbuzi wa migomo vyuoni.
 
Ombeni wakuu wenu wa chuo warekebidhe ratiba mmuweze kuwa na muda wa kuchangia mapato kwa kusaidia kufundisha part time shule za sekondari na msingi ili kupata pesa.
 
:popcorn:Lakini kwamba mtapata ongezeko hilo la asilimia mia moja na hakika hakuna na hakupa atakayepatoa pesa hizo. Hakuna vyanzo vya kutoa pesa zote hozo.
Hata walioendelea ziada toka kwa familia zenu si kila kitu serikali
 
unakula zaidi ya 4500 kwa siku. Tuko Tanzania jamani, kudai hiyo fedha ni anasa.

sidhani kama uko serious.umejiuliza mbunge anapewa fedha ya mafuta kiasi gani kwa siku?je mtumishi wa bodi ya mikopo anapoenda semina?au labda tume ya kuchunguza matatizo ya migomo vyuoni.ina maana hawa wote 4500/- haiwatoshi kwa siku?
Jiulize kati ya kijana mwanafunzi na mbunge john komba nani anatakiwa kula sana.

TUSIWE WABINAFSI JAMANI KAMA KUFUNGA MKANDA IWE KWA WOTE SIO WANACHUO,WAHADHIRI,MADAKTARI,WALIMU na WAKULIMA PEKEE.
 
Kiwango cha posho ya Tsh 5000 kwa siku kwa mwanachuo kwa mazingira ya sasa kwa Tanzania, ni kiwango kinachoweza msaidia kama anaakili ya kupanga vizuri bajeti yake. Kama wanachuo wanataka kuishi kwenye hoteli za gharama au kifahari ni jukumu lao na wazazi wao kuongeza pesa za kujikimu kifahari. Kiwango cha Sh laki moja na nusu kwa mwezi kama yuko makini na kufikiria zaidi future yake anaweza panga vizuri bajeti na akaishi bila tatizo kubwa. Ila kama anataka awe anakwenda kula Hamburgers McDonalds ni juu yake na familia yako kuongeza matumizi.

Tumepitia vyuo vya Tanzania na tumepitia vyuo vya mataifa makubwa, kwa ulinganifu katika masuala ya posho naweza sema kumbe Tanzania ni bora mwanafunzi anaweza pata posho hiyo kuliko vyuo vya nchi tajiri. Watu hatukulala usingizi ni darasa na kazi. Uwapo kazini wakati wa mapumziko ndo unafanya homework, hakuna kulaza damu.

Tusiwe watu wa kulaumu serikali katika kila kitu, tulaumu yale ya msingi lakini katika hili mimi binafsi nasema hapana.

Watanzania tuko wavivu mno wa kujituma na kufikiri. Mazingira yako huru mno kujishughulisha Tanzania kuliko mataifa yaliyoendelea.

Utakuta walimu wanakimbilia kufundisha shule za mijini, kumbe shule za vijijini zina nafasi zaidi kwa kujiongezea pato kwa kujishughulisha na kilimo au kufungua biashara ndogo ndogo kusaidia wanavijiji kupata bidhaa ambazo wanapata taabu kuzifuata mbali. Mshahara wake ungezalisha zaidi kuliko mijini anamalizia kwenye starehe na gharama kubwa ya maisha.

Athari wanazopata wanachuo katika migomo yao ni kubwa kwao wanafunzi kuliko viongozi wanaowanyooshea vidole wakati wanaishi maisha ya starehe, na waendapo vyuoni ni kwenda kuwapiga msasa wa kisiasa tu. Kinachofanyika sasa vyuoni ni kama cheer ambayo ni kufuata mkumbo tu na kulazimisha wasiotaka lazima wafanye vinginevyo watadhurika, huku ni kuwanyima wengine uhuru wao wa kujiamulia wanavyotaka. Haki ya uhuru ni uamuzi wa dhamira safi baada ya upembuzi yakinifu.

Serikali ina mengi ya kufanya si wanafunzi tu, elimu, mawasiliano, afya, na huduma nyingine za jamii. Hata Chama kingine kikitawala hakitamaliza matatizo hayo kwa siku moja.

...Mawazo na mitazamo iliyopotoka kama hii ndiyo inayotuletea matatizo mengi sasa. Bahati mbaya, hata wengi wa viongozi, kuanzia kata hadi taifa wana hali hii.

...Nani alikuambia kuwa katika mataifa unayoyaita makubwa unaweza kuishi na kujikimu kwa shilingi 5,000/= pekee.

...Unafiki huu wa kutotambua au kukubali hali halisi ya maisha ndio unaopelekea wafanyakazi na watumishi mbalimbali kupewa ujira mdogo na hatimae wao kuujazia kwa kupokea rushwa na kuiba katika sehemu zao za kazi.

...Lazima tufike sehemu tuache unafiki na dhuluma na tuwapatie watu haki yao ya msingi. Hii itatokana na kufanya kazi inayotakiwa na kutambua mapungufu hatimae kuyarekebisha.
 
mkuu naunga mkono hoja!unamlipa polisi 150000/- halafu unaamini inamtosha kuweza kula,kusomesha,kujenga nyumba na kununua gari.kwa upande mwingine unatoa matokeo ya utafiti yanayoonyesha polisi ndio sekta inayoongoza kwa rushwa!hatimaye unatumia mahela mengi through takukuru ukijaribu bila mafanikio kudhibiti rushwa.huu ni umbumbu wa hali ya juu.natamani watu wasiishie kugoma tu bali wabebe bakora za kuwachapa hawa watawala wetu.
 
...Ukweli ni kwamba hamna waliojaribu kuthibiti rushwa. Maneno ni mengi sana na vitendo ni kama hakuna.
 
Suala hapa si mradi kudai pesa, ila fikiria kwa kina kwanza ni kweli uwezekano wa kupata pesa hizo upo kwa wakati unapoandamana kwenda kudai? Kwa akili yangu ningepeleka ajenda kwenye bodi ya mikopo wafikirie kuanza mchakacho huo na wataona nini kinawezekana, kwa sababu kwa asilimia mia moja mwanachuo hawezi pata pesa hizo sasa hivi. Kuna taratibu kadhaa za kufanya na zinachukua muda kuhusisha vyanzo vya kupata pesa hizo na utathmini wa wahusika.
Mwanachuo asifikirie matatizo yake tu bali awe na jicho la kuangalia jamii nzima ya watanzania na matatizo yao. Ndio maana nasema kwa sasa nakubaliana na madai ya mikopo pesa ziwafikie walengwa kwa wakati lakini hili la 10000 kwa siku ni ndoto labda baadaye.
Wanachuo nendeni kutembelea hospitali, shule za kata, mashamba ya wakulima yanayokosa mbolea nk. nadhani hapo mtanielewa nini kipaumbele kilichopo ili kuwekeza vyanzo vya mapato, na nini mtachangia kubana matumizi ili kunusuru matatizo mengine makubwa zaidi mathalani kama ya wagonjwa kulala sakafuni.

Mtoto kila mara anaona kama baba yake anamnyima pesa za matumizi, lakini laiti angejua babake alivyo na majukumu mengi ya kuhangaikia familia asingethubutu kufanya hivyo, na wengi wanaelewa wanapokua na kuanza kuwa na majukumu lakini ni too late kwani maafa wameshasababisha kwa uelewa wao mdogo.

We must sacrifice otherwise we fail
 
sidhani kama uko serious.umejiuliza mbunge anapewa fedha ya mafuta kiasi gani kwa siku?je mtumishi wa bodi ya mikopo anapoenda semina?au labda tume ya kuchunguza matatizo ya migomo vyuoni.ina maana hawa wote 4500/- haiwatoshi kwa siku?
Jiulize kati ya kijana mwanafunzi na mbunge john komba nani anatakiwa kula sana.

TUSIWE WABINAFSI JAMANI KAMA KUFUNGA MKANDA IWE KWA WOTE SIO WANACHUO,WAHADHIRI,MADAKTARI,WALIMU na WAKULIMA PEKEE.

tunajifahamu sisi ni taifa changa na maskini. Tufanye migomo kuishinikiza serikali kutofanya matumizi makubwa yasiyo na msingi. Tusifanye migomo ya kung'ang'ania na sisi watupe kwa sababu wao nao wanatumia. Huo unaitwa ubinafsi, na ni tabia walionayo viongozi tunaowalaumu kila siku.
Watanzania wanapata tabu, lets think bout them first. Tugome kwa ajili yao, hiyo ndo priority ya wasomi wenye busara.
Tunatengeneza kila namna tuseme 5000 haitoshi, ni sawa. Ila wanachuo wengi wanavyoitumia - ni wachache wangestahili kubeba yale mabango. Nothing but the truth!
 
Suala hapa si mradi kudai pesa, ila fikiria kwa kina kwanza ni kweli uwezekano wa kupata pesa hizo upo kwa wakati unapoandamana kwenda kudai? Kwa akili yangu ningepeleka ajenda kwenye bodi ya mikopo wafikirie kuanza mchakacho huo na wataona nini kinawezekana, kwa sababu kwa asilimia mia moja mwanachuo hawezi pata pesa hizo sasa hivi. Kuna taratibu kadhaa za kufanya na zinachukua muda kuhusisha vyanzo vya kupata pesa hizo na utathmini wa wahusika.
Mwanachuo asifikirie matatizo yake tu bali awe na jicho la kuangalia jamii nzima ya watanzania na matatizo yao. Ndio maana nasema kwa sasa nakubaliana na madai ya mikopo pesa ziwafikie walengwa kwa wakati lakini hili la 10000 kwa siku ni ndoto labda baadaye.
Wanachuo nendeni kutembelea hospitali, shule za kata, mashamba ya wakulima yanayokosa mbolea nk. nadhani hapo mtanielewa nini kipaumbele kilichopo ili kuwekeza vyanzo vya mapato, na nini mtachangia kubana matumizi ili kunusuru matatizo mengine makubwa zaidi mathalani kama ya wagonjwa kulala sakafuni.

Mtoto kila mara anaona kama baba yake anamnyima pesa za matumizi, lakini laiti angejua babake alivyo na majukumu mengi ya kuhangaikia familia asingethubutu kufanya hivyo, na wengi wanaelewa wanapokua na kuanza kuwa na majukumu lakini ni too late kwani maafa wameshasababisha kwa uelewa wao mdogo.

We must sacrifice otherwise we fail

haya madai ya kiwango cha 10000/- hayajaanza leo lakini ni tabia ya serikali kufumbia macho mapendekezo ya wadau.hii ishu ya kusema serikali haina fedha inatoka wapi?hizi kodi kwenye nyanya,sukari,mchele,bia na sigara+PAYE huwa zinaenda wapi?
Hospitali hakuna dawa,miradi yote ya maendeleo na hata chaguzi zetu ni kwa hisani ya watu wa US,CANADA,JAPAN,CHINA,SWEEDEN n.k.

Sasa kodi inayokusanywa inafanyia nini?hata kuwekeza kwenye elimu ni kigugumizi!!
Aaaaghhrrrr nyambaf!
 
Kiwango cha posho ya Tsh 5000 kwa siku kwa mwanachuo kwa mazingira ya sasa kwa Tanzania, ni kiwango kinachoweza msaidia kama anaakili ya kupanga vizuri bajeti yake. Kama wanachuo wanataka kuishi kwenye hoteli za gharama au kifahari ni jukumu lao na wazazi wao kuongeza pesa za kujikimu kifahari. Kiwango cha Sh laki moja na nusu kwa mwezi kama yuko makini na kufikiria zaidi future yake anaweza panga vizuri bajeti na akaishi bila tatizo kubwa. ............

Serikali ina mengi ya kufanya si wanafunzi tu, elimu, mawasiliano, afya, na huduma nyingine za jamii. Hata Chama kingine kikitawala hakitamaliza matatizo hayo kwa siku moja.

You sound like someone who has been to school but was never educated! What do you mean by "chama kingine kikitawala hakitamaliza matatizo hayo kwa siku" What has that to do with wanafunzi wa UDSM? To cut the story short..toa mchanganuo wako kuonyesha jinsi gani kiwango cha elfu tano kinavyoweza kutumika kwa mipango yako mizuri. Nakukumbusha tu ktk mahesabu yako zingatia context ya wanafunzi wa USDM.

Pili kwa kukuelimisha tu ni kwamba swala la kuzugumzia mambo ya watu wengine (unless wamekutuma) ni tabia isiyo na tija!! Nafikiri ni vizuri utoe mchanganuo wako ku-support maelezo yako. Lakini umeenda mbali pia na kusema serikali ina mambo mengi sana ya kufanya si wanafunzi tu. Kwa kauli hiyo tu inaonyesha maelezo yote uliyoyatoa hapo mwanzo si yako bali ni akili ya kushikiwa tu. Otherwise ungekua unajua kwamba kama ni swala la kulalamikiwa serikali tu basi TRL wamefanya hivyo mara nyingi zadi kuliko wanafunzi wa UDSM au hata wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki. Sasa hayo mambo mengi yaliyoitinga serikali ni yapi? je ni kulipa mishahara ya walimu? mikataba au.... tuelimishe
 
WACHINA..jpg

Kazi kama hizi nchi nyingine unaona wanachuo wanachangamkia kupata mahitaji ya kujikimu, lakini wanachuo wa Tanzania anafikiria tu kazi nzuri za ofisini. Kuna kazi nyingi ambazo vyuoni ungekuwepo utaratibu mzuri zingefanywa na wanafunzi badala ya kila kazi kuajiri watu. Kwa maana hiyo ratiba za vyuoni zingeratibiwa vizuri wanafunzi wangeweza punguza gharama za mishahara wanazolipwa wafanyakazi na hivyo baadhi ya kazi zikafanywa na wanafunzi na malipo nafuu ili kuokoa bajeti ya chuo. Vyuo vingi mataifa makubwa hufanya hivyo.

Mwanachuo ukianzisha genge fulani la kuuza nyanya baada ya chuo na siku za weekend kuna shida gani? Wa kitivo cha sayansi ya computer kwa nini wasiwe na kazi za kusaidia kuondoa minyoo kwenye komputer nyingi za watu na hivyo kupa pesa kidogo za kununulia mihogo ya breakfast? Wanachuo msipende tu breakfast ya mikate na omlet, kuleni mihogo inadumu zaidi uwapo darasani.

Wakati naenda chuo moja ya taifa kubwa ilibidi nitafute international supermarket kupata mihogo na unga wa ugali, nilipobahatika nikaukata, maana nikishakula mlo mmoja wa ugali napiga kitabu na huo huo unatosha kupiga box siku imepita, na ujue hapo hela nimesave.
Wabongo tujifunze kubanga bajeti na raha tukishamaliza vyuo, vinginevyo tunalalamikia vitu ambavyo ni nje ya uwezo wa serikali, kwani serikali ina mengi wajamani.

Vyuo vyetu virekebishe mitahala yake, mie naona hakuna sababu ya mtu anayeenda kusoma telecom eti utamkuta anasoma woodwork, brickwork. nk.

Kwa vile hakuna maboksi , hawa wanafunzi wangekubaliana na serikali wapate part time ktk shule za kata ama shule za msingi wafundishe walipwe kwa masaa.Tena serikali itajikuta imeondoa hata tatizo la walimu kwa asilimia kubwa.
 
Kiwango cha posho ya Tsh 5000 kwa siku kwa mwanachuo kwa mazingira ya sasa kwa Tanzania, ni kiwango kinachoweza msaidia kama anaakili ya kupanga vizuri bajeti yake. Kama wanachuo wanataka kuishi kwenye hoteli za gharama au kifahari ni jukumu lao na wazazi wao kuongeza pesa za kujikimu kifahari. Kiwango cha Sh laki moja na nusu kwa mwezi kama yuko makini na kufikiria zaidi future yake anaweza panga vizuri bajeti na akaishi bila tatizo kubwa. Ila kama anataka awe anakwenda kula Hamburgers McDonalds ni juu yake na familia yako kuongeza matumizi.

Tumepitia vyuo vya Tanzania na tumepitia vyuo vya mataifa makubwa, kwa ulinganifu katika masuala ya posho naweza sema kumbe Tanzania ni bora mwanafunzi anaweza pata posho hiyo kuliko vyuo vya nchi tajiri. Watu hatukulala usingizi ni darasa na kazi. Uwapo kazini wakati wa mapumziko ndo unafanya homework, hakuna kulaza damu.

Tusiwe watu wa kulaumu serikali katika kila kitu, tulaumu yale ya msingi lakini katika hili mimi binafsi nasema hapana.

Watanzania tuko wavivu mno wa kujituma na kufikiri. Mazingira yako huru mno kujishughulisha Tanzania kuliko mataifa yaliyoendelea.

Utakuta walimu wanakimbilia kufundisha shule za mijini, kumbe shule za vijijini zina nafasi zaidi kwa kujiongezea pato kwa kujishughulisha na kilimo au kufungua biashara ndogo ndogo kusaidia wanavijiji kupata bidhaa ambazo wanapata taabu kuzifuata mbali. Mshahara wake ungezalisha zaidi kuliko mijini anamalizia kwenye starehe na gharama kubwa ya maisha.

Athari wanazopata wanachuo katika migomo yao ni kubwa kwao wanafunzi kuliko viongozi wanaowanyooshea vidole wakati wanaishi maisha ya starehe, na waendapo vyuoni ni kwenda kuwapiga msasa wa kisiasa tu. Kinachofanyika sasa vyuoni ni kama cheer ambayo ni kufuata mkumbo tu na kulazimisha wasiotaka lazima wafanye vinginevyo watadhurika, huku ni kuwanyima wengine uhuru wao wa kujiamulia wanavyotaka. Haki ya uhuru ni uamuzi wa dhamira safi baada ya upembuzi yakinifu.

Serikali ina mengi ya kufanya si wanafunzi tu, elimu, mawasiliano, afya, na huduma nyingine za jamii. Hata Chama kingine kikitawala hakitamaliza matatizo hayo kwa siku moja.

Mtazamo wako unaonekana upo finyu sana kila mahali unapogusa. Mimi sishangai kwani wanachama wengi wa CCM hawajasoma na hawategemei elimu kama part of solutions of Tanzania. Kwa hiyo ni vigumu kudialog na mtanzania wa namna hii chochote kile we try to bring up. I don't think kama ataelewa. Kifupi ni hiki, go find out how many young people in terms of Tanzania population are employed and how many are graduating each year then come back to us and report. Kitu kingene kama unajua kwanini Tanzania inawekwa kwenye kundi la nchi maskini duniani, may be hivi vigezo vitakusaidia. Swali langu kubwa and may be litakuwa gumu kwako ni hili, unaona ni vizuri serikali ilipe Dowans, mawaziri, manaibu waziri na wabunge hiyo mishahara na posho but university students they don't deserve better loans and care they need. Tanzania failure in education system is part of Tanzania poverty. I am sorry to say we have poor in Tanzania who are completely brainwashed...
 
Point ya kufikiria ni mambo gani yanayochangia umaskini Tanzania. Kuna mengi na kwa kutaja machache ni kwamba, serikali inapokazia kilimo kwanza bila vitendea kazi vya kuondokana na jembe la mkono ni wazo fikra finyu sana. Elimu ya kilimo na Soko la bidhaa za kilimo si la uhakika. Hapo tunatakiwa turudi nyuma ambapo nyerere alikazia uanzishwaji wa viwanda nchini, mojawapo ni viwanda vya kusindika nyama kanda mbalimbali nchini ambavyo vimeishia kuwa machinjo tu. Kukiwa na soko zuri na la uhakila la mazao ya kilimo hatuhitaji kutoka jasho kupaza vipasa sauti kuwahimiza wakulima. Ajira za vijana na wahitimu hazitaongezeka kamwe kama mfumo wa uchumi wa uanzishwaji wa viwanda katika sekta binafsi hautiliwi mkazo. Ajira serikalini inalimit, na wahitimu wote hawaweza ajiriwa serikalini ila sekta binafsi. Wasomi tunatakiwa kubuni miradi ya kuanzishwaji viwanda ili kutoa ajira kwa vijana. Kama mnakumbuka Nyerere alikazi vikundi vya jumuiya ya vijana kujiari kwa kuanzisha miradi mbalimbali. Vijana wawe na upeo wa mafunzo ya teknolojia ya ufundi mbalimbali na kilimo ili kuibua vipaji vyao ili waweze kujiunga na kufungua makampuni ili kujenga uchumi unaojitegemea. Uanzishwaji wa viwanda mbalimbali si kila mara kuwa na mtaji mkubwa, mtaji mkubwa ni bongo la mtu. Nakumbuka nilipotembelea makumbusho ya Thomas Edson ailiyevumbua bulb nilishangaa hakuwa na Degree za master au Phd, ni elimu ya kawaida tu ila kuwa na utundu fulani ndio mafanikio ya maisha.
Nilipokuwa bado chuoni mara ya kwanza nilifikiri kama wengi wanavyochangia hapa, lakini baada ya kupata ajira na kuonja maisha na mambo ya miundo ya utendaji ilivyo niliachana na nadharia ya kufikirika tu kama vijana wengi wanavyofanya.
Wengi hapa wana nadharia ya kufikirika zaidi kuliko kutekelezeka.
 
Kumbe watu wengi ni wajinga sana hata wakasoma. Hiyo sh 500 kwa siku haihusishi stationery. Pesa ya stationary tunapewa laki 2 kwa mwaka. Hapa kuna watu wanasema nauli. Jamani nauli haimo ktk mambo ambayo bodi inalipa wanafunzi. Sasa nyie mukidai nauli 250 ya kwenda mabibo inabidi na sisi tuombe laki moja ya kwenda mwanza,zanzibar nk.

Ni kweli pesa ya boom haitoshi kln wana udsm wamekuwa wajinga ktk madai yao. Vipi wanawapiga malectures bakora kwa kua wao wanaandamana? Vipi wanavunja ma freezer ya watu kwa kua wao wananjaa? Vipi wanalazimisha watu kutoka rooms waandamane ktk mgomo ambao daruso wanaukana? Vipi wanafunga njia gate maji? Vipi hawataki kusikia mawazo ya wengine? Ndio maana tukasema daini utanganyika wenu sisi hatutaki muungano na watu wajinga kiasi hiki.
 
Au nyie hamkujaza ile fomu ya bodi ya mikopo? Naona kuna wengine eti wanadai pesa ya vocha. Maskin hawajui hata mkataba wao na bodi ni upi. Poleni na serikali ikiwa ni kusomesha wasomi hawa basi ni bora kukosa. Hawana faida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom