Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,460
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.

Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu micro-hydro-power, biogas,wind-power, solar-power, and zero emission.

Professor Joseph Andrew Kuzilwa, ni msomi na profesa mstaafu wa uchumi, umefundisha kwa mafanikio Mzumbe University kwa miaka 44, kwanini unakubali OUT kutumika kutakatisha elimu?

Faculty of Law of the Open University of Tanzania, inaongozwa na Dr. Rindstone B. Ezekiel (Dean of Faculty). Faculty yake, kuna options mbili za Entry qualifications (sifa za kujiunga)

Option (I); Two principal passes in: History, Geography, Kiswahili, English, French, Arabic, Fine Arts, Economics, Commerce, Accountancy Physics, Chemistry, Biology or Advanced Mathematics.

Option (II); Equivalent Qualifications: Awe na Diploma ya daraja la pili (second class diploma) katika masomo kadhaa (yametajwa). Lakini hakuna diploma ya centre for foreign relations.

OUT wanasema; and any other relevant Diploma recognized by OUT Senate with an average of ‘B’ or GPA of 3.0 with not less than four passes at “O” Level, or NVA LEVEL 3 with not less than four passes at O’ Level;

Programme Coordinator, Dr. Saphy Bullu, Nape anakidhi vigezo? Inawezekana hujawahi kumuona chuoni, Serial No ni 996. Registration No ni U22-412-0193, Index No ni S0144/0089/1996

Mwanafunzi Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) kupata udahili ni lazima awe na credits (C) mbili za kidato cha nne. Vyuo vikuu vingine vimeelekeza, masomo hayo ni History na English.

Pili, lazima mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria - Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) katika matokeo yake ya kidato cha sita awe amepata principal pass (D) mbili.

Endapo mwanafunzi atajiunga na mfumo wa ufaulu mfanano (Equivalent Qualifications) mwanafunzi anatakiwa kuwa na umiliki wa DIPLOMA yenye ufaulu wa GPA ya kuanzia 3.0 hadi 3.5 kwa vyuo vingine.

Na imeelekezwa, DIPLOMA hiyo iwe imepatikana katika kipindi cha miaka miwili tangu amalize DIPLOMA hadi kuomba kujiunga na shahada ya kwanza ya sheria (Bachelor of Laws (LL.B.)

Mtu huyu anayejiita Nape Moses Nnauye sifa hizo tatu tajwa hapo juu amekosa. Ni vigezo gani vya siri ambavyo anavyo vinamfanya kuwa mwanafunzi wa Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.)

Kwanini? Matokeo yake ya kidato cha nne (form four) hayajabeba credits (c) hata moja. Alipata division 4 ya alama 29. Hapo katikati amepambana kurejea mitihani yake lakini amegonga mwamba.

Nape Nnauye, alijiunga na Butimba Teacher Training College (BUTIMBA TTC) na kufanya mitihani yake ya kidato cha sita (form six), huko pia alikosa principal pass (D) katika matokeo yake.

Kuna changamoto muda aliotafuta hizo credits na kufanya mtihani wa kidato cha sita. OUT, chunguzeni. Matokeo ya Nape Nnauye O-level yaliyoka lini na akajisaji kama private candidate wa A-level lini?

OUT mnataka kumtetea Nape Nnauye kwamba, alijisajili kama private candidate wakati huo amekosa sifa za kufanya mitihani? Hilo linawezekana? Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) tutahitaji majibu.

Turudi kwenye hoja kuntu. Je, hizo credits alizipata? Alikosa. Amewezaje sasa kudahiliwa kusomea Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) katika chuo kikuu huria Tanzania (OUT)?

Kama Nape amekwenda OUT kwa kigezo cha DIPLOMA ambayo Nape Nnauye anasema anaimiliki kutoka chuo cha Kivukoni, kigezo kinakataa. Kutoka mwaka 2003 hadi 2023 ni miaka 20 imepita.

Kama vyeti vya Nape Nnauye vina mashaka, apewe huduma sawa na wenye vyeti feki walivyoshughulikiwa na utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Asihurumiwe.

Prof. Elifas Bisanda, ni Mwenyekiti Baraza la Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro, kwa alama hizo Nape Nnauye hatoshi kudahiliwa OUT, mpelekeni Morogoro Vocational Teachers Training College.

Prof. Elifas Bisanda, kwa kuwa ni mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania, Bwana Nape Nnauye apelekwe Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania, akatulie hapo.

Kwanini tunasema hivi? Hatusemi Nape Nnauye hatakiwi kusoma Chuo Kikuu Huria (OUT), HAPANA. Hoja ni kwamba, anatakiwa kuwa na ufaulu na vyeti vinavyoeleweka. Elimu yetu isifanywe bidhaa chafu.

Tunakubali, unaweza kufeli darasani, na hakuna tatizo na siyo hoja hapa, waziri kugushi nyaraka na vyuo vikuu kuingia katika mtego huo ndiyo maslahu ya umma yanapoguswa. Tunataka uthibitisho.

Kwa kuzingatia elimu ya Nape Nnauye. Hatuwezi kuwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ambaye vyeti vimeunganishwa na superglue. Elimu yake ni ya hapa na pale. Hatulitendei haki Taifa letu tukufu.

NB; Tunafuatilia kwa ukaribu zaidi, kubainu kama Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wametoa mkopo wa elimu ya Juu kwa Ndugu Nape Moses Nnauye. Tutawajulisha. Ahsante.

Mawasiliano ya The Open University of Tanzania HQ is found at Kinondoni DSM.... P.O. BOX 23409,KINONDONI +255 22 2668992 +255 22 2668756 vc@out.ac.tz au Twitter (X) @OUTtanzania

🏃🏿‍♂️🤺⛹🏾‍♂️🤾🏽‍♀️🏃🏽‍♀️⛹🏾‍♀️👩🏼‍🦯
 
Hili suala lisajiliwe mahakamani ili kuset precedence huku vijna wenye sifa sitahiki wakisumbuliwa kudahiliwa na kupewa mikopo kana kwamba wanaipata kama fadhila wakati watazirejesha pindi wapatapo kazi.
*The controversial education qualification should be challenged in a court of law such that the judgment is embraced as a benchmark to be adhered to by whoever anticipates to upgrade his/her professionalism.
 
Niliwahi kusikia kwamba, ukiwa Kijana ukawa na roho mbaya, ukiwa Mzee utakuwa mchawi. Nafikiri mtoa post anaelekea huko.
 
OUT wanasema; and any other relevant Diploma recognized by OUT Senate with an average of ‘B’ or GPA of 3.0 with not less than four passes at “O” Level, or NVA LEVEL 3 with not less than four passes at O’ Level

Pili, lazima mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria - Undergraduate Programme of Bachelor of Laws (LL.B.) katika matokeo yake ya kidato cha sita awe amepata principal pass (D) mbili.
wa DIPLOMA yenye ufaulu wa GPA ya kuanzia 3.0 hadi 3.5 kwa vyuo vingine.
Mkuu umechanganya sana mambo,ungetuletea na mwaka wa kudahiliwa kwa mheshimiwa nape ,maana kipindi cha nyuma kudahiliwa kuingia chuo kikuu ilikuwa ni ufaulu wa kuanzia E Mbili,hii ni kabla ya utawala wa magufuli,lakini pia GPA ya 3+ imeanza kipindi cha magufuli,kabla ya hapo mtu angedahiliwa chuo kikuu kwa GPA ya kuanzia 2.5.

Sasa unataka kunambia mheshimiwa nape kasajiliwa kusoma digrii yake baada ya mh magufuli kuingia madarakani?
 
‍🦯
HONGERA SANA KWA UFAFANUZI HAKIKA UMELISAIDI TAIFA KUMJUA NAPE NI WAZIRI WA AINA GANI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umechanganya sana mambo,ungetuletea na mwaka wa kudahiliwa kwa mheshimiwa nape ,maana kipindi cha nyuma kudahiliwa kuingia chuo kikuu ilikuwa ni ufaulu wa kuanzia E Mbili,hii ni kabla ya utawala wa magufuli,lakini pia GPA ya 3+ imeanza kipindi cha magufuli,kabla ya hapo mtu angedahiliwa chuo kikuu kwa GPA ya kuanzia 2.5.

Sasa unataka kunambia mheshimiwa nape kasajiliwa kusoma digrii yake baada ya mh magufuli kuingia madarakani?
Nape Yuko mwaka wa kwNza mkuu
 
Back
Top Bottom