Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siyo Chachu na Kitovu cha Mabadiliko tena, Imebaki Historia tu

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,892
3,196
Habari wana JF,

Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya 2005 kurudi nyuma!

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) al-maarufu kama Mlimani, ilikuwa ni kitovu na chachu ya Mabadiliko kwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla.

Kwa wale ambao tumepita pale, kuna sehemu inaitwa "Nyerere Square". Hii ndiyo ground ambayo tulizoea kushuhudia umahili wa wanachuo katika kujenga hoja ambazo baadaye zilileta mabadiliko makubwa kabisa hapa nchini.

Inasemekana hata mabadiliko kwa nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara, yaliletwa na viongozi wao baada ya uzoefu ambao waliupata hapa Mlimani specifically "NYERERE SQUARE". Mfano John Garang wa Sudan (leo South Sudan), Yowel Kaguta Museven wa Uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, n.k.

Wanachuo wa Mlimani ya Kipindi hicho, wasingekubali kabisa mijadala mikubwa ya Kitaifa kupita hivi hivi bila kuweka neno!

Anyway, naomba kwa leo niishie tu hapo kwamba wanachuo wa UDSM wa siku hizi wako very "DILUTE".

Hivyo, ninawaasa wahadhili na Maprofesa wa Mlimani kusaidia kurudisha HADHI ya UDSM kwa kuwajengea vijana ujasiri wa kujenga hoja kwa maslahi mapana ya Taifa lao.

Maana Taifa haliwezi kujengwa na vijana waoga waoga, wasio na uwezo wa kujenga hoja na ile type ya Yes Sir/Madam!

Amkeni,

Nawatakia tafakari njema.
 
Magufuli aliharibu mfumo wa uhuru wa habari, CCM nzima Sasa imekopi. Sio hao tu hata migomo siku hizi haipo tena. Polisi wamesahau jinsi ya kutawanya maandamano.

Viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo,wanaratibiwa na UVCCM. Kuwa Bavicha tu unaenguliwa.
 
Magufuli aliharibu mfumo wa uhuru wa habari,ccm nzima Sasa imekopi,sio hao tu hata migomo siku hizi haipo tena.Polisi wamesahau jinsi ya kutawanya maandamano.
Viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo,wanaratibiwa na UVCCM.Kuwa Bavicha tu unaenguliwa.

polisi wamesahau kutawanya watu.
 
UDSM, kilikua ndio kinawasha tochi kuonyesha njia katika vyuo vikuu below sahara Desert 🏜, Leo hii ni vichekesho vitupu na ndio maana royal families watoto/wajukuu wanasoma uct, wits, UK,usa etc etc
 
Julius Malema akiongea na jumuiya ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Oxford maarufu kama Oxford Union na kusifia vijana wa Vyuo Vikuu South Afrika wakishiriki kudai mabadiliko badala ya kuwa chawa :

Vijana wasomi ambao watadai raia wote kuwapata huduma ya matibabu / afya bure, umeme na maji yasiyokatika kama ilivyo kwa wabunge na wanasiasa bila ubaguzi

Vijana ambao watapigania wazazi wao kupata mishahara ya kujikimu na pensheni wakistaafu inayolingana na hali ya maisha kama ilivyo kwa vigogo wabunge na wastaafu wengine vigogo

Vijana watakaopigania kuwepo na mazingira rafiki ya kujiajiri badala la kubezwa kuwa ni wavivu...

Vijana ambao watapinga bila kuchoka mifumo yote kandamizi ya watawala inayojali mbwa wao ndani ya mageti ya vitongoji vya mabwanyeye wakilishwa milo mitatu na bima ya afya, lakini walalahoi wanaokaa uswahilini wanahangaika kupata mlo mmoja wa siku.

Vijana ambao watakuwa mstari wa mbele kudai ubaguzi wa elimu ambapo shule za kata hazina waalimu walioiva wala vifaa vya maabara kujifunza sawasawa huku viongozi na watawala wanapeleka watoto wao katika shule maalum ambazo zitawapa watoto wa mabwanyenye haki zaidi ya kuajiriwa, kuajiri kutokana na elimu yao bora zaidi na sisi watoto wa kata kuwa vibarua, bodaboda na wachuuzi wanaopata kipato kisichokidhi mahitaji

Tunasema hivyo siyo kwa kuwa tunawachukia mabwanyenye matajiri watawala bali ni kuwa vijana tunadai haki sawa za kimsingi za elimu bora, huduma za haki ya mshahara unaokidhi kwa wote wawe wahadhiri wa vyuo vikuu, waalimu, mlinzi korokoroni, kibarua kiwandani wote wawe na maisha bora

Julius Malema full address and Q&A at Oxford Student's Union

View: https://m.youtube.com/watch?v=VZkUeZI8VtY
Julius Malema is the leader of the Economic Freedom Fighters, a South African political party, which he founded in July 2013. He previously served as President of the African National Congress Youth League from 2008 to 2012. Malema was a member of the ANC until his expulsion from the party in April 2012.

ABOUT THE OXFORD UNION SOCIETY: The Oxford Union is the world's most prestigious debating society, with an unparalleled reputation for bringing international guests and speakers to Oxford. Since 1823, the Union has been promoting debate and discussion not just in Oxford University, but across the globe.

The Oxford Union is deeply grateful and encouraged by the messages of support in response to our determination to uphold free speech. During our 200 year history, many have tried to shut us down. As the effects of self-imposed censorship on university campuses, social media and the arts show no signs of dissipating, the importance of upholding free speech remains as critical today as it did when we were founded in 1823. Your support is critical in enabling The Oxford Union to continue its mission without interruption and without interference. You can support the Oxford Union here: https://oxford-union.org
 
Habari wana JF,

Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya 2005 kurudi nyuma!

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) al-maarufu kama Mlimani, ilikuwa ni kitovu na chachu ya Mabadiliko kwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla.

Kwa wale ambao tumepita pale, kuna sehemu inaitwa "Nyerere Square". Hii ndiyo ground ambayo tulizoea kushuhudia umahili wa wanachuo katika kujenga hoja ambazo baadaye zilileta mabadiliko makubwa kabisa hapa nchini.

Inasemekana hata mabadiliko kwa nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara, yaliletwa na viongozi wao baada ya uzoefu ambao waliupata hapa Mlimani specifically "NYERERE SQUARE". Mfano John Garang wa Sudan (leo South Sudan), Yowel Kaguta Museven wa Uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, n.k.

Wanachuo wa Mlimani ya Kipindi hicho, wasingekubali kabisa mijadala mikubwa ya Kitaifa kupita hivi hivi bila kuweka neno!

Anyway, naomba kwa leo niishie tu hapo kwamba wanachuo wa UDSM wa siku hizi wako very "DILUTE".

Hivyo, ninawaasa wahadhili na Maprofesa wa Mlimani kusaidia kurudisha HADHI ya UDSM kwa kuwajengea vijana ujasiri wa kujenga hoja kwa maslahi mapana ya Taifa lao.

Maana Taifa haliwezi kujengwa na vijana waoga waoga, wasio na uwezo wa kujenga hoja na ile type ya Yes Sir/Madam!

Amkeni,

Nawatakia tafakari njema.
Kizazi cha miaka hii ya 2000+ kina laana.
 
Mabadiliko na Maendeleo hayaletwi kwa mdomo mtupu. Tufanyeni kazi.

Teknolojia, ujuzi(skills) na viwanda ndio chanzo kikubwa cha maendeleo ya mataifa makubwa duniani.
 
Mabadiliko na Maendeleo hayaletwi kwa mdomo mtupu. Tufanyeni kazi.

Elimu yenyewe imesukwa kutoa vibarua na bodaboda siyo elimu ya uvumbuvi, ubunifu na uwezo wa kupambana na mazingira.

Ikiwa hadi leo mfano mmoja ktj mingi mamia ya wahandisi, wataalamu wa miamba, madini hawawezi kuchimba makaa ya mawe kwa kiwango kikubwa umeme upatikane au kugeuza jiwe la madini ya chuma kuwa sindano, injini ya boti ya uvuvi n.k Elimu yetu ni bure tu.

Vyuo vyetu vinatakiwa kubadilika kuongoza kutoa elimu ya kuweza kutengeneza vitu halisi na huduma halisi ili viunganike na wafanyabiashara, philanthropists, wenye viwanda kuja vyuo vikuu kufadhili au kuomba wataalamu wa vyuo vikuu kuwachongea spea, kuunda injini, modeli ya trekta, kuchakata kemikali ziwe dawa za binadamu n.k kwa wingi hapa hapa Tanzania.

VYUO VIKUU KUWA DARAJA LA KUUGANISHA NADHARI NA KUZALISHA KITU HALISI MSHIKO.

History

Kharkiv Tractor Plant was founded in 1930. The first tractor left the assembly line on October 1, 1931, and this day is considered to be the birthday of the plant. To work on a huge, rapidly growing enterprise, more and more specialists of different fields were required, which led to the formation of a separate residential area in Kharkiv, which became a full namesake of the plant and was named KhTZ. Over the years, the plant has produced more than 3 million tractors and other specialized heavy equipment, which has always been reliable, functional and the highest quality of production. The products produced by KhTZ industrial enterprise have been in great demand for decades not only in the territory of the former Soviet Union, but also in many countries of Europe, Asia and even Africa. To date, Kharkiv Tractor Plant produces dozens of models of modern tractors and of special equipment, which has not lost its relevance and still remains widely in demand among a large number of consumers, due to its reliability, efficiency and affordable competitive price.

All of KhTZ’s modern products are certified and meet the quality standards set. Today the plant produces machines designed to perform a variety of functions in many industries, agricultural and communal services, construction. Almost all tractors and heavy special-purpose machinery are multifunctional and have high modularization opportunities with numerous rigs of various purposes. The ability to order each model in several assembly options allows customers to purchase equipment that best meets all future operating conditions.

KhTZ technologists, designers, industrial designers and many other specialists work hard every day in order to create a new line of high-tech, comfortable and productive machines, manufactured using innovative technologies and materials. In addition to traditional general-purpose tractors, the enterprise started production of special equipment intended for oil workers and geologists. The plant produced machines for mechanized welding. Light armored multipurpose tracked tractor became the base for reliable all-terrain vehicles, capable of operating in conditions most extreme and unfavorable for humans. KhTZ produced, universal machines operating on the basis of tractors for the railway industry. All models of tractors for the agricultural producers and public utilities have been renewed and received new life. But whatever equipment the Kharkiv tractor plant produces today, the main criteria that remain unchanged since the beginning of the enterprise's work are the high quality, durability, safety and reliability of each manufactured machine.

A wide range of equipment, differing from each other by many indicators, including performance and capacity, allows any consumer to choose the equipment that is best suited for his needs. For large farms, whose work is associated with the cultivation of vast tracts, the plant offers a powerful modern multifunctional tractor KhTZ-242K.20 (21) with wide possibilities for modularization. Together with a reliable tractor, a farmer will always be able to purchase a convenient large-capacity self-unloading trailer TM-47. The crawler tractor of high passability KhTZ -181 (190 hp), the wheeled equipment KhTZ -150К-09.172 (180 hp) with enhanced double wheels, will help the farmer to improve the crops due to the reduced pressure on the ground provided by the structures of the machines.

Specialized rigs for cutting the frozen soil, installed on the basis of KhTZ -150К-09.172 and KhTZ -242К.20 (21) tractors, will help mechanizing and effectively performing many construction tasks, and will also find use in the wintertime tree replanting. Railway industry and manufacturing enterprises that have access roads on the territory, will find the module КРТ-1, working on the basis of KhTZ -242К.20 (21) and KhTZ -150К-09.172 tractors irreplaceable. These machines successfully perform all the functions of much more expensive locomotives, while the KhTZ technique is often much cheaper in maintenance. The plant has produced the universal track machine UPM-1 for maintaining and repairing the railroad track, it operates on a specially equipped tractor KhTZ-17221.

A wide choice of the offered equipment allows meeting the demand for the different tractors and specialized machinery. Farmers, large construction and agricultural organizations can always purchase high-quality and reliable machines produced at the Kharkiv plant, at a quite low, competitive price and thus provide their farms with highly modern machinery of domestic production.

For 85 years of work, KhTZ has produced more than 2.5 million tractors of various models and modifications

Institute of Innovative Entrepreneurship​

According to the decision of the Academic Council the Institute of Innovative Entrepreneurship was established in 2012 at the Kiev National Economic University.

The purpose of the Institute is to conduct research with social value and contribute to solving urgent problems of economic development of Ukraine.
Activity globalization that is a defining feature of the modern world, destroys geographical boundaries and barriers between markets that previously hindered business development.

Innovations are the main driving force to increase its value and efficiency. As a new method of application of knowledge, tangible and intangible assets, innovations are required in any economic situation.

Even economic recession should be used as a reason to view areas of investment into innovation, as one of the consequences of the crisis is the necessity to look for new opportunities for growth.

The state, scientific, educational and research organizations can play an important role in creating conditions conducive to innovation. Many modern innovation centers in the world appeared due to targeted state programs of innovative industries.

However, the most important role in stimulating innovation activity belongs to businesses. The analysis of the economies of various countries shows that the most important factors of innovation are favorable business environment and fair competition.

Even in a difficult economic situation in recent years, the development of innovative products and services is a strategic priority for most companies, and for many of those innovations are a major growth factor.

Ukraine has significant potential in the field of innovation. However, how it will be implemented depends on many conditions, including the operation of the infrastructure. An important factor in this process in a modern knowledge economy is increasing the authority of the national scientific and applied research and bringing it nearer to the business needs.

Implementation of academic and research programs and projects based on the potential of recognized educational institutions has been one of the ways to build a modern innovation infrastructure.

Creation of the Institute of Innovative Entrepreneurship at Kyiv National Economic University named after Vadym Hetman is one of the steps towards creating an innovative economy.

The Institute aims at development of new projects, offering new ideas and finding new ways to solve the tasks, implementation of original research and educational programs.

We believe that Ukraine will be able to build an innovative economy and ensure sustainable development based on systematic use of its innovation potential. Only on such a basis may increase the growth rate of gross national product, ensuring a high level of competitiveness and opposition to global challenges and financial crisis.
Last redaction: 16.02.22

THE MAIN OBJECTIVES OF THE INSTITUTE ARE:

  • to undertake research in the field of innovative entrepreneurship, economics and management, to ensure the effectiveness and efficiency of business;
  • to promote the establishment and development of the national innovation system by developing innovative environmental research, analytical evaluation of domestic business;
  • to monitor innovative activity at the macro- and micro-level, to participate in the effective mechanism of state support of innovative entrepreneurship;
  • international scientific and educational cooperation with partner universities, research centers, financial investment and innovation institutions, government agencies, foundations and other humanitarian agencies;
  • consulting and analytical activities involving a wide range of stakeholders and partners.

MAIN RESEARCH AREAS:

  • entrepreneurship and corporate social responsibility;
  • investigation of the growth factors of the national economy;
  • intra-enterprise;
  • financial aspects of the business;
  • the evolution of business in Ukraine;
  • Business culture and behavioral aspects of entrepreneurship;
  • study of life cycles of companies in Ukraine
Source : Institute of Innovative Entrepreneurship
 
Habari wana JF,

Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya 2005 kurudi nyuma!

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) al-maarufu kama Mlimani, ilikuwa ni kitovu na chachu ya Mabadiliko kwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla.

Kwa wale ambao tumepita pale, kuna sehemu inaitwa "Nyerere Square". Hii ndiyo ground ambayo tulizoea kushuhudia umahili wa wanachuo katika kujenga hoja ambazo baadaye zilileta mabadiliko makubwa kabisa hapa nchini.

Inasemekana hata mabadiliko kwa nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara, yaliletwa na viongozi wao baada ya uzoefu ambao waliupata hapa Mlimani specifically "NYERERE SQUARE". Mfano John Garang wa Sudan (leo South Sudan), Yowel Kaguta Museven wa Uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, n.k.

Wanachuo wa Mlimani ya Kipindi hicho, wasingekubali kabisa mijadala mikubwa ya Kitaifa kupita hivi hivi bila kuweka neno!

Anyway, naomba kwa leo niishie tu hapo kwamba wanachuo wa UDSM wa siku hizi wako very "DILUTE".

Hivyo, ninawaasa wahadhili na Maprofesa wa Mlimani kusaidia kurudisha HADHI ya UDSM kwa kuwajengea vijana ujasiri wa kujenga hoja kwa maslahi mapana ya Taifa lao.

Maana Taifa haliwezi kujengwa na vijana waoga waoga, wasio na uwezo wa kujenga hoja na ile type ya Yes Sir/Madam!

Amkeni,

Nawatakia tafakari njema.
Kuna mtu aliandika humu kuwa hicho chuo ndicho kimezalisha majizi yote ya nchi hii🤣
 
Back
Top Bottom