Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Poa poa wakuu, ngoja niwasiliane na vijana wakazi watangaze Campus - Bamp! Bamp! Bamp! kiingilio Buku kumi tu, ukija na mwandani wako buku kumi na tano!! Baada ya hapo Welcome First Year!! Na baadae Bwasheee naye apandishe kidogo msosi, si hela ipo bwana!! Anyway, kila kheri!!
 
daah ni ful bata....kwa kujipongeza na anza na kilimanjaro Moto
 
Kwa jinsi mlivyonitesa nyie HESLB na silipi ng'o. Ila aksante MUNGU umenikumbuka mja wako
 
Back
Top Bottom