Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Kukopa harusi kulipa matanga...Kumbuka kulipa deni mwaka mmoja baada ya kuhitimu hata kama hutakuwa na kazi ukishindwa kuna penalti na ya 5%
 
Hongereni.

Kumbukeni kutumia hela kwa malengo kusudiwa, kisha msikose kuzilipa ili wengine nao waweze kukopa.
Hili ndilo la muhimu.
Wakumbuke pia wakati wa kuja kulipa huo mkopo makato yake yanaumaa... 8% si mchezo!!
 
nimelamba Milioni 3,867,000...vp wakubwa nyie mmelamba ngapi?
mkuu hongera sana mimi nimelamba milion 3955000 ingawa nimechaguliwa non priority course...sasa nifafanulie hivi hiyo pesa inamaanisha ni kwa mwaka mmoja au miaka yote nitakapokuwa chuoni
 
mkuu hongera sana mimi nimelamba milion 3955000 ingawa nimechaguliwa non priority course...sasa nifafanulie hivi hiyo pesa inamaanisha ni kwa mwaka mmoja au miaka yote nitakapokuwa chuoni

Hiyo ni kwa mwaka mzima kaka
 
Thax god coz n miongoni mwa nilionekana kwa board ya loans,,, haya kwa wale waliopata zote kama mm 2pongezane...... Bifu ctaki wana jf..................
 
Back
Top Bottom