Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 714
- 1,528
Habari Wana JamiiForums.
Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).
Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba Mkopo kwa ajili ya kusoma Elimu ya Juu utapewa au Mpaka Ulipe kwanza deni la Mkopo ambao uliutumia kwa Elimu ya Stashahada?
Naomba mnisaidie Kwa hili wakuu!! Maana najaribu kuwasiliana nao Simu hawapokei, mda mwingine namba haipatikani. Nisije nikajichanganya kwenye hili.
Natanguliza shukurani.