Matokeo ya mikopo ya elimu ya juu 2023/2024 na changamoto zake

Sep 27, 2023
7
23
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao hawajapata aidha pesa za vitabu (books and stationary), wala pesa za mafunzo kwa vitendo (training practice), miongoni mwa Wanafunzi niliowasiliana nao anakuja kusoma UDSM, kwa kozi anayotaka kusoma sociology Ada ni 1,300,000 , Bodi ya mikopo imempatia 230,000 sawa na 17% kwa msingi huo huyu mwanafunzi anapaswa kulipa 1,070,000.

Swali, je ni wazazi au walezi wangapi Tanzania wataweza kulipia kiasi hiki cha ada? Wanafunzi wangapi wa Elimu ya juu watashindwa kuendelea na masomo kwa kigezo cha Ada?

Nashauri mosi, TAHLISO wazungumzie hii changamoto maana wao ndio wenye Wajibu wa kupigania haki za Wanafunzi, pili Bodi ya Mikopo itoe taarifa sahihi ya mikopo na tatu Wizara ya Elimu na Serikali vitatue changamoto hii mapema iwezekanavyo.
 
Sema nin, kama hakuna pesa nyingi ni bora tuendelee kugawana hio hio kidogo dogo kuliko kuwapa watu 20,000/- asilimia 100 halafu 30,000/- wabaki empty,

Na uzuri kwa gvt universities shida huwa haiwi ada bali meals and accomodations,
Mana boom akipangilia vyema na saizi mmeongezewa hivo lazima ulipe hio 1M kwa mwaka then utashukuru wakati wa mshahara
 
Sema huku mitandaoni unajichoresha ...

Halafu pia tambua kama iliyobaki ni million kadhaa utalipa nusu kwa semester ya kwanza then ya pili.

Naongelea kwa experience kama Bum lipo basi jibane kisela maana kama kweli hamna pesa lazima uwe mchumi ili ulipie...Mambo kama haya ni ya kisomi na kufuata taratibu unaweza ku-appeal na viongozi wa hapo chuo pia wanaweza kuwasaidia labda kuhakikisha mnapata Bum mapema then mlipie ada kimtindo.

Kama ndugu au familia pigeni donation ya kupata pesa ya awamu ya kwanza kqma Bum unalo then utajibana kimtindo kuendelea.
 
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao hawajapata aidha pesa za vitabu (books and stationary), wala pesa za mafunzo kwa vitendo (training practice), miongoni mwa wanafunzi niliowasiliana nao anakuja kusoma UDSM, kwa kozi anayotaka kusoma sociology Ada ni 1,300,000 , Bodi ya mikopo imempatia 230,000 sawa na 17% kwa msingi huo huyu mwanafunzi anapaswa kulipa 1,070,000

Swali je ni wazazi au walezi wangapi Tanzania wataweza kulipia kiasi hiki cha ada? Wanafunzi wangapi wa Elimu ya juu watashindwa kuendelea na masomo kwa kigezo cha Ada?

Nashauri mosi, TAHLISO wazungumzie hii changamoto mana wao ndio wenye Wajibu wa kupigania haki za Wanafunzi, pili bodi ya mikopo itoe taarifa sahihi ya mikopo na tatu wizara ya Elimu na serikali vitatue changamoto hii mapema iwezekanavyo.
Mkopo siyo haki ya mwanafunzi na wala mtu huwezi kushtaki serikali kuhusiana na masuala ya elimu, kupata mkopo au elimu bora yenye unafuu ni upendeleo wa serikali kwa watu wake na siyo haki ya mwanafunzi kudai hayo, soma katiba ya jamhuri vizuri, ndiyo maana tunahitaji katiba mpya
 
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao hawajapata aidha pesa za vitabu (books and stationary), wala pesa za mafunzo kwa vitendo (training practice), miongoni mwa wanafunzi niliowasiliana nao anakuja kusoma UDSM, kwa kozi anayotaka kusoma sociology Ada ni 1,300,000 , Bodi ya mikopo imempatia 230,000 sawa na 17% kwa msingi huo huyu mwanafunzi anapaswa kulipa 1,070,000

Swali je ni wazazi au walezi wangapi Tanzania wataweza kulipia kiasi hiki cha ada? Wanafunzi wangapi wa Elimu ya juu watashindwa kuendelea na masomo kwa kigezo cha Ada?

Nashauri mosi, TAHLISO wazungumzie hii changamoto mana wao ndio wenye Wajibu wa kupigania haki za Wanafunzi, pili bodi ya mikopo itoe taarifa sahihi ya mikopo na tatu wizara ya Elimu na serikali vitatue changamoto hii mapema iwezekanavyo.
Yaani mzazi aliyesomeshewa mtoto Bure toka msingi hadi form six ashindwe kulipa milion Moja? Na yule aliyelipa mamilion private ashindwe kulipa milion Moja ,kweli! Tuwe serious kidogo.
 
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao hawajapata aidha pesa za vitabu (books and stationary), wala pesa za mafunzo kwa vitendo (training practice), miongoni mwa Wanafunzi niliowasiliana nao anakuja kusoma UDSM, kwa kozi anayotaka kusoma sociology Ada ni 1,300,000 , Bodi ya mikopo imempatia 230,000 sawa na 17% kwa msingi huo huyu mwanafunzi anapaswa kulipa 1,070,000.

Swali, je ni wazazi au walezi wangapi Tanzania wataweza kulipia kiasi hiki cha ada? Wanafunzi wangapi wa Elimu ya juu watashindwa kuendelea na masomo kwa kigezo cha Ada?

Nashauri mosi, TAHLISO wazungumzie hii changamoto maana wao ndio wenye Wajibu wa kupigania haki za Wanafunzi, pili Bodi ya Mikopo itoe taarifa sahihi ya mikopo na tatu Wizara ya Elimu na Serikali vitatue changamoto hii mapema iwezekanavyo.
Tuko pamoja sana mpambanaji wetu
 
Ukweli lazima usemwe
Idadi ya watu wanaoomba mkopo ni wengi kuliko bajeti ya bodi
Na lazima tukubaliane, tusisahau bodi imeongeza zaidi ya laki 4 kwenye MA. Mm nawapongeza kwa hlo
Hilo la ada, shukuru umepewa laki 2 kati ya milioni 1 na ushee kuliko kukosa kabsa!
Lakini, baada ya hii allocation, bodi Huwa inaenda inaongeza
Tujifunze kushukuru na kuridhika kwa kile tunachopata
(Based on true story, nimejilipia ada kwa miaka miwili ya masomo kabla ya bodi kuongeza)
 
Kuna muda mtu unashukuru kwa yote lakini realistically Kuna watu uwezo wa kulipa ada wenyewe hawana.
Familia na fursa pia zatofautiana
 
Ni sawa mkuu
Ndio maana hata bodi kuwa wanakuja kuongeza baada ya batch hzo tatu kuisha
Kikubwa Dua TU
 
Kama watu wachache wanaweza kufisadi trilioni 30, serikali kamwe haiwezi kukosa pesa za kusomesha vijana elimu ya chuo kikuu.
Hili wanafanya makusudi kuua ndoto za mafanikio ya vijana wa kitanzania walio wengi ili wao sababu wanazo pesa nyingi za kifisadi watoto wao waendelee kubaki kwenye tabaka la watawala kwa kuwasomesha elimu bora zaidi.​
 
Back
Top Bottom