Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maganga Mkweli, Sep 19, 2012.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,039
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  NAOMBA CLICK HIZI LINK TAFADHALI NAJITAHIDI KU UPLOAD KADIRI NTAKAVYOWEZA ILA USHAURI MNGESUBIRI BAADAE MAANA WEBSITE YA LOAN BOARD IKO CHINI MAANA WATUMIAJI WAMEZIDI KIPIMO KWA SASA..

  UPDATE
  NAONA ZILE LINK ZA MWANZO WAMETOA UNAWEZA PATA MATEKEO ZAIDI KWA KUFUATA UTARATIBU HAPO CHINI
  Nimejitahidi kuupload link karibia zote kama utakuwa na PC itakuwa vyema sana najua watu mnatumia simu itawasumbua hii kuscroll
  nafikiri hii ni njia bora kuliko kupitia website ya loan board kwa sasa maana watumiaji ni wengi sana mpaka watakapopungua..

  JAMBO JINGINE LA MSINGI NA MUHIMU HASA KWA WALE AMBAO WAMEPATA ADMISSION KWENYE VYUO MBALIMBALI NA MAJINA YAO WAMEYAKOSA KWENYE LIST HII YA BODI NAOMBA WAWE WATULIVU KWA SASA WASIPANIC SANA KUNA NAMNA NYINGI TU ZA KUSOLVE HAYA MATATIZO KWANI SIO MWISHO WA SAFARI KUNA APPEAL HUWA ZINAFANYIKA NA HII MARA NYINGI MKIWA CHUO KUNA UTARATIBU HUO KUNA KUCHANGANYWA MKOPO KUPELEKWA CHUO KINGINE NA WEWE KUPANGIWA CHUO KINGINE KUNA BATCH NYINGINE ZINACHELEWA MPAKA WIKI HATA YA SITA YA MASOMO..

  KUNA MDAU gkiwango AMEANZISHA HII THREAD HOPE NI VERY USEFUL KWA WALE NAOSUMBUKA KUFUNGUA HIZI LINK
  UNAPATA DIRECT PDF FORMAT
  http://www.jamiiforums.com/jukwaa-l...pa-unaweza-download-ili-uwe-na-copy-yako.html
   
 2. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Yako wapi ?
   
 3. G

  GENERARY Senior Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwe na subira kama mkulima aingojavyo mvua
   
 4. Gerald shayo

  Gerald shayo Senior Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kukurupa mkuu 2na rushana roho mara hatimae wameyatoa mara aliyeyaona atuambie
   
 5. s

  songoros JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  wewe kweli ni kazuramimba!!!
   
 6. B

  Best Mzava JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mtaniua kwa presha,me lizani umeattach
   
 7. Eriglo

  Eriglo Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamna chochote.
   
 8. JJB

  JJB JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  b serious
   
 9. s

  shamsa5 Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama umekosa vya kuongea nenda ukalale
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,091
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  mtalia mwaka huuu atakaekosa anitonye inbox tupige deal
   
 11. Gerald shayo

  Gerald shayo Senior Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi cna kejel lakn we 4 ua common sense we unaona kuandika thread kama hii ni sawa au ndo unajickia ku2kana 2
   
 12. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unajua watu wengine humu ndani wanaamka na hangover za makande sasa kichwa cha habari na thread aliiyoiandika havina uhusiano kajipange
   
 13. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kuna watu wengine wamejambwa
   
 14. B

  Benard Ngomela Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :redface::sleepy::eek2:jamaa ni kuku wa Kienyeji kweli
   
 15. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ARINGE !!!!!! HUYU NI MSHENZI FULANI TUU,ANAPANDISHA PRESHA ZA WATU TUU.PUMBAFFFFFFFFFFFF,fyyyyyyyyyyyyyyyy
   
 16. S

  Safhat JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una hamu ya matusi nn ww.
  WARNÌNG:Uswahilin utafungwa,uarabuni utanyongwa!jiangalie sn acha kukurupuka! weewwwee..
   
 17. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  presha inapanda presha inashuka,,,,,,,,,////////
   
 18. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  utaniwia radhi!!hatutafuti GPA kwa ajili ya kupost mada....!unachambia mabuaaaa ndo maana unawashwa makalio..****.,
   
 19. B

  Best Mzava JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha,JF nifull raha 2 mpaka nasahau kama kunaishu za mkopo.
   
 20. J

  JDWMSM New Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  As if umeyaona. bora ungenamaza tu kuliko kuwafanya watu wafe kihoro. hivi wewe ni binadamu kweli?
   
 21. d

  da transgressor New Member

  #21
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oya mbona hamsomeki
   
 22. M

  Mpendawali Senior Member

  #22
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oya mbona mi cielewi hapa...wanenambia tuition fee 1,200,000 afu Total loan 3,995,200!!thn coz yangu ada n 1.5M...et ntakuwa nmepata % ngap..?msaa wadau
   
 23. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #23
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 359
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  'za kuvukia barabara'
   
 24. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #24
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we data izo umeziona wapi? Hebu nijuze
   
 25. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #25
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,827
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  hapo kazi ipo, kijana labda huyu ni wale wa HLSSF
   
 26. G

  Gregory93 Member

  #26
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ujnga kwa alye andka
   
 27. M

  Mpendawali Senior Member

  #27
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman mci2kane...mzigo upo bt bt bado kutolewa...thn njie wa non priority mxihofu xana coz washkaj zangu kibao wamepata % xafi 2...kama unataka kujua hatima yako we n PM ful name yako thn mi nakuchekia coz npo hukuhuku jikon...thn xkulazmish uamin
   
 28. f

  fahad1208 Senior Member

  #28
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jna lang ni Chaupele Mnyama Chavichavi.
   
 29. H

  Hoosayn JM Member

  #29
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tarajio likichelewa moyo huumia lol...iwen wavumilivu update ztakuja tuu
   
 30. Ipycalypse

  Ipycalypse JF-Expert Member

  #30
  Sep 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 1,664
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Tembeleeni www.heslb.go.tz

  Mimi nimepata ingawa ni non priority Ha aha aha ahga aya Mungu mkubwa
   

Share This Page