wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 769
Kufuatia LATRA kutangaza bei mpya za nauli za vyombo vya usafirishaji nchini, baadhi ya wananchi wamehoji iweje nauli kutoka Singida to Dodoma kwa basi la daraja la kati iwe shilingi 86,000? Huku umbali wake ni takribani kilometer 1,208 hivi.
Ukiendelea kuichambua takwimu hizo Kuna makosa mengi ambayo inaonesha LATRA hawakuipitia takwimu hizo baada ya kuandaliwa labda na wanafunzi wa Field works.
Ukiendelea kuichambua takwimu hizo Kuna makosa mengi ambayo inaonesha LATRA hawakuipitia takwimu hizo baada ya kuandaliwa labda na wanafunzi wa Field works.