Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
- Thread starter
- #101
Du! huyu jamaa anahitaji kupepewa ili akili zake za udadisi wa kimantiki zimrejee japo kwa dakika chache wakati anadadavua mada hii....Aliyekuambia uhuru ni kufuta mipaka ni kilaza. Ardhi ndiyo msingi wa uhai wetu na kinachohitajika ni kuhakikisha kuwa kila mtanzania anamilikishwa sehemu ya ardhi ili aitumie kwa ajili ya mustakabali wake ili kuondokana na dhana ya rais kuwa mmiliki wa ardhi yote kwa niaba yetu. Kwa hiyo usitegemee kupendwa km unawatilia ngumu raia wa nchi nyingine uhuru na fursa za kumiliki ardhi yetu kwa kisingizio cha shirikisho la afrika mashariki, wakati tukijua kuwa katika nchi hizo nyingine hakuna kipande cha ardhi kilicho wazi km ilivyo Tanzania.
hiyo ardhi kama kweli ni utajiri wetu mbona umasikini unaongezeka? kama ingelikuwa inasaidia mbona sera ya ccm ni kuwakaribisha wawekezaji..........................kwanini unataka kumbagua mwekezaji mdogo?
hivi kwa nini nchi hii inazidi kuwa masikini........................hata sisi raia wa TZ kwani ardhi waweza kupewa bure...................tafakari ndugu yangu.............wacha kabisa kuzama katika taswira yangu binafsi...................angalia masula kitaifa......................lakini nina habari njema kwako.....................ccm inakiri kuwa shirikisho la EAC halikwepeki.....................sasa watakaposaini sijui utakuwa mgeni wa nani??????????????