Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

upende usipende.........................shirikisho la eac linakuja sasa huyo jk sijui atakusaidaje kama hata sasa hana majibu ya ukosefu wa ajira..............................raisi ambaye amekiri kuwa hajui kwanini tz ni masikini...........................hivi atakutetea kivipi na umasikini ndiyo unazidi kushamiri.................................chungulia majibu ya umasikini huu nje ya mipaka ya tz au utabakia na mawazo yako mgando uliyonayo

ndiyo madhara ya wageni kujipenyeza na kujifanya watanzania! Wewe siyo mtanzania kabisa! Umekomaa,unafaida flani ya ndugu zako waje wavamie ardhi yetu eeh!
 
what u think if president of somalia visit here every now n then......all eyes on Jk ....
 
nilizaliwa mtupu na nitarudi ardhini mtupu............................na wajukuu wangu vivyo hivyo............................hivi kwa nini mnawashupalia sana wakenya na huku wakija wzungu na wachina ardhi mnawagawia kama njugu?

lengo la EAC ni kuwa na shirikisho moja la kisiasa...............................sasa kama hatuwezi situjitoe tu.......................mkenya kama ni tatizo labda kwa vile hatawahonga warasimu serikalini kama wale wazungu na wachina wanavyowahonga..................hakuna masilahi ya taifa kwa kujikita kwenye mipaka iliyowekwa na mkoloni.......................UNITED STATES OF AFRICA..............is the only way katika kumaliza umasikini hapa nchini............................mwisho Ardhi tuliikuta na mali ya Mwenyezi Mungu na tuaiacha kwa sababu siyo yetu sasa ngebe hizi zatoka wapi?????????????????????

Ndugu yangu RUTA, don't you forget kuvunjika kwa East Africa mwaka 1977 na jirani zetu walivyo rejoice kuhusu hilo. Nachotaka kusema hapa ni kwamba Wakenya hawajabadirika chochote kuhusu mstakabali wa nchi yetu, tusijidanganye hapa, wa Kenya hawatakaa hata siku moja wakaitakia mema nchi yetu, mimi niliwahi kushuhudia mwenyewe kampeini walizo kuwa wanaendesha nchi za nje wakizungumzia mabaya kuhusu TANZANIA; it was a well organised crusade na kwa bahati mbaya hawakujuwa kwamba kuna watanzania waliokuwa wanaona na kusikia upotoshaji wao huo mkubwa. Watajifanya marafiki huku wakiwa na an hidden agenda ya kupora aridhi yetu na kugeuza wazawa manamba, hawana heshima hata kidogo kwa binadamu wenzao hata wenyewe kwa wenyewe, ndugu Ruta nimewahi kushudia kwa macho yangu huko ugenini - yaani mwanafunzi wa kabila la Kikuyu alikuwa hazungumzi kabisa na Mkalijeni au Mjaruo, leo hii utegemee atamheshimu mswahili kweli! - hawa ni watu wa aina gani?

Haya mambo ya fast track to sijuhi federation sijuhi nini, ni gimmick za Wakenya kuwahadaa waswahili na watu wengine tuwaone ni watu wanao taka ushirikiano-waongo tu, maneno yote na lawama eti Tanzania inasuasua katika jambo hili na mambo ya kuigiza tu, Kenya ndiyo inawashawishi wengine eti wajifanye wanataka kuitenga TANZANIA, shida yao kubwa ni ARIDHI repeat ARIDHI. JK, we don't need them, hawawezi kuwa wanatuendesha kama gari bovu.

Mwisho nataka kurudia niliyo kuwa nasema mara nyingi humu kwamba JK ni MEGASMART UPSTAIRS, tatizo la aridhi kwa majirani zetu linajurikana actually robo ya aridhi nadhani inamilikiwa na ukoo wa aliyewahi kuwa kiongozi mkuu Kenya, kwa hiyo mbinu zao za kutaka kuingia TANZANIA kiulaini kupitia the so-called EA sijuhi federation and what have you, hilo Jakaya alisha lliona kwenye darubini yake muda mrefu tu ndiyo maana anawaweka watu weledi ku-deal na wajanja hawa; wazungu usema once bitten...
 
..wawekezaji wakubwa toka Kenya wana access na ardhi yetu kama walivyo wawekezaji toka mataifa mengine.

..binafsi napenda kuelimishwa kwanini utaratibu ulioko sasa hivi unaonekana siyo mzuri kwa majirani zetu.

..pia ningependa kuelimishwa huo utaratibu wanaoupendekeza wao utakuwa na faida gani kwa Mtanzania wa kawaida wa sasa hivi na vizazi vijavyo.
 
utakaa hapo hapo wenzio mwakani serikali hii ya JK itasaini makubaliano ya kuanzishwa kwa shirikisho la EAC.....................na sababu ni soko la ajira ndilo litawasukuma kufanya hivyo.........................................unaposikia akina Lowassa wanazunguzmia maamuzi magumu usifikiri ni ya ufisadi bali kukiri ya kuwa bila shirikisho la EAC TZ is doomed....................watakaposaini wewe kibaraka wa fuata mkia sijui utajificha wapi.......................nikujuavyo utaanza kushangilia kwa sababu wewe ni bora liende...............
Kiongozi nimefuatilia huu mnyororo wako lakini nina maswali mengi sana ya kukuuliza.
1.Naanza na hapo juu kwenye nyekundu, Ni ajira zipi ambazo Tanzania inategemea kupata toka EAC?
2.Kwanini unafikiri ni Bora turuhusu Ardhi yetu iingie kwenye Protokali ya EAC?
3.EAC Bila kuingiza Ardhi ya Tanzania kwenye Protokali itakuwa na matatizo yepi?
4.Je huoni kuwa Ardhi ya Wa-Tanzania ni mali yao? Na wanayo haki ya Kuamua vyovyote wanavyotaka juu ya hiyo?
Nawasilisha.
 
Duhh! umeniacha hoi, mtoa mada unauliza swali halafu unajibu mwenyewe, hii heavy.

Ff naomba mjibu huyo mnyarwanda'asione tunabishana hapa jamvini akafikiri hatupendani kama wao'isue ya ardhi italindwa na watanzania wote bila kujali itikadi ya siasa'na kama haamini hilo watuchokoze ndio wataona umoja wetu ukoje
 
Yaani hii thread yako imenikera mpaka basi/lori. Halafu nashangaa umeishupalia kama nini. Hatutaki kuungana nao na hasa kwenye ardhi na rasilimali asilia zetu, full stop. Nakama hapa Tz pamekushinda nenda kwenu na angalia wasije kukuita cockroach (mende) na kukupiga bisibisi kama mlivyofanyiana '94.
 
Mipaka ya nchi au maeneo imekuwepo hata kabla ya mkoloni, watu wa sehemu husika walilinda na kutetea mipaka yao kwa nguvu zote.Hivi tujiulize ni Mtanganyika gani atakaye kwenda kwa hawa majirani zetu na akapewa aridhi??Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi hutaweza kupewa hata kipande cha futi moja. Macho yote ya majirani zetu ni hii raslimali yetu na vizazi vyetu. Sishangai kwa baadhi ya wanaojiita Watanganyika; kutaka turuhusu majirani zetu kumiliki ardhi ya Tanganyika, hii ni kwasababu wana asili ya hizo nchi, sasa wanaona ni nafasi njema kwao kuwaleta jamaa zao waliobaki huko.Kwa hili ninaungana na Watanganyika wenzangu kutetea ardhi yetu; tukiruhusu kuna siku tutakuwa manamba."MUNGU IBARIKI TANGANYIKA na ENDELEA KUTUPA UJASILI WA KUILINDA ARDHI YETU"
 
Maraisi wote wa EAC walituma wawakilishi tu kwenye miaka 50 ya uhuru ambayo JK aliikuza sana kulikoni stahili yake.................kwa khali ya umasikini tulionao swali la msingi hizo hela za sherehe zingeliweza kupunguza makali ya uhafifu wa huduma nyingi kwenye jamii yetu....................................

kwa mtanzania wa kawaida anayeishi kwa mlo mmoja kwa kutwa...................................alishindwa kuelewa hivi hawa wanapongezana kwa kunifukarisha au kwa wao kunufaika na uhuru tajwa pekee yao............................mahudhurio ya sherehe tajwa mikoani ni kipimo kuwa raia hatuoni manufaa ya uhuru kwetu........................Dar mahudhurio yalishamiri kwa sababu wengi wao ni wazururaji na hawana shughuli ya kufanya...........................na baadhi yao walitarajia hata kupata peremende lakini baada ya hafla kuisha wakubwa walitokomea Ikulu pekee yao kwenda kupongezana na kuwaacha wenye viherehere (kama Jk ambavyo amekuwa akitukandia)........................wakizubaa kutafuta usafiri wa kurudi makwao.................huku wengi wao wakikanyaga kwa mguu.............................

pengine kubwa kuliko yote ni nini nafasi ya miaka 50 ya uhuru katika muungano wa EAC....................ikumbukwe mwaka 1961 Nyerere alidiriki kudai ya kuwa alikuwa yuko tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika kama itasaidia kuunda shirikisho la EAC.............

warithi wa Nyerere ambao hata yeye mwenyewe alikuwa gwiji wa kuwavika vilemba vya ukoka...................pale aliposema ya kuwa kiongozi aweza kutoka popote pale bali kiongozi wa kutumainiwa atatoka ndani ya ccm............................ninafikiri huko aliko atakuwa amepigwa butwaa..............................kumwona JK vile anavyoidhoofisha EAC...........

ilipokuja shirikisho la kisiasa JK alidai wananchi wauulizwe.........................yeye kama kawaida yake aliunda tume ya kukusanya maoni ambayo matunda yake hakuna anayeyafahamu...........................inapokuja muungano feki wa tanganyika na zenji............................huko hataki kusikia wananchi wanashirikishwa katika kutoa maoni yao kama hata wanauhitaji muungano wenyewe...................................hudai suala la muungano halijadiliwi........................lakini lile la EAC lazima lijadiliwe........................double standards? you can say that again.................

viongozi wote ndani ya EAC wanajua JK is not part of the solution...............................but he is a problem
................................na ndiyo maana hata kwenye miaka 50 ya uhuru wamemkwepa kwa kumtumia wasaidizi wao tu.............................kwa matumaini ya kuwa after JK...................................some sensible tanzanian will take over the reins of power...........................na kuufanya uhuru wetu kuwa na maana hata kwao wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi..........................kwa mazingira ya sasa JK ni "Dr. NO" katika masuala ya shirikisho la EAC..............................................ikija masuala ya ardhi JK anatetea mipaka iliyowekwa na mkoloni...........................bila ya kujua hiyo mipaka iliwekwa ili kutudhoofisha..................lakini yeye kwa sababu ya uroho wa madaraka anaona aitetee kulinda kitumbua chake ambacho kitafikia ukomo wake hivi karibuni.............by grace of the living GOD..........


kutokana na jina lako wewe ni banyamulenge, unataka ardhi yetu ichukuliwe why????? KEEP IT UP HE THE PRESIDENT, TRUE FRIENDS ARE SADC, OTHER EAC MEMBERS ARE JUST OPPORTUNIST
 
Hata kama ningekuwa na sipendi utawala wa Jakaya kwa hili la kuchukiwa kwa sababu ya kuwanyima Ardhi wakenya,waganda,warundi na wanyarwanda nkama kungelikuwa na haraiki ya kumbeba ningeshiriki.The only Place Mtanzania hajauzwa ni kwenye ardhi.Na hilo analijua kuwa wafanye makosa yote ndani ya Nchii lakini kosa la Ardhi MMMMMMMMMMMWweeeehhe Watanzania hawata wasamee kamwe.Hivyo potezee !!!!!!!!!
 
AGRISOL wamepewa tena 10,000 hactors huko MPANDA! kwa kipindi cha miaka 99! tena kwa kodi ya shilingi 700 kwa mwaka, 200 kwa mamlaka ya ardhi 500 kwa halmashauri.......

sisi huku KIBAIGWA tunakodi eka moja shilingi 15,000 kwa msimu, kwa ajili ya kulima alizeti!
 
Kila siku nauonaga huu uzi na leo nilpo ufungua umeniudhi sana aisee.
Yaani huyu ruta nani sijui alidhani kwakuwa JK ana matatizo yake so ameleta hili jambo kwa mgongo wa JK akitegemea kupata sapoti ya upupu wake wa kutaka aridhi yetu ije kuvamiwa kwa mgongo wa ea
 
TATIZO SIYO EAC, Tatizo ni JK kupeleka UONGO (kujipendekeza) kwa OBAMA.
Unakumbuka wakati fulani Kenya walifikia hatua ya kumlalamikia JK?
 
ujue nini kama haukubaliki nyumbani huwezi ukakubalika kwa watu kwanza wanamwona kama punguani alafu mwanaume kujipendekeza kwa mwanaume mwenzio kisa net kondom na kuunga mkono ushoga ni upumbavu
 
we sio mkenya kweli?suluhu ya hii ardhi yetu tunayoiita 'lulu' sio kuwapa hao makaburu na sio pia kuiweka iwe chini ya EAC, ila ni kuwatumia wana taaluma wetu vyema waweze kutumia hiyo 'lulu' kukuza uchumi. Kwa suala la muungano kwakweli naona tunanyanyasika sana kama watanganyika, labda kuna siri nyuma ya pazia juu ya kunufaika kwa watanganyika kwenye muungano.
 
Back
Top Bottom