Kibona
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,023
- 652
Ungekuwa mtanzania wa kuzaliwa usingekuwa na mawazo ya kinyang,au kiasi hiki. Aliyesema ni mtusi au mganda kakosea wewe ni mkenya. Hata post zako humu jamvini zinaonesha wewe ni mkenya.poe sana mimi ni mtanzania wa kuzaliwa tena Dar..............................jina langu umelijuaje................................this is only a penname..........