Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

Du! huyu jamaa anahitaji kupepewa ili akili zake za udadisi wa kimantiki zimrejee japo kwa dakika chache wakati anadadavua mada hii....Aliyekuambia uhuru ni kufuta mipaka ni kilaza. Ardhi ndiyo msingi wa uhai wetu na kinachohitajika ni kuhakikisha kuwa kila mtanzania anamilikishwa sehemu ya ardhi ili aitumie kwa ajili ya mustakabali wake ili kuondokana na dhana ya rais kuwa mmiliki wa ardhi yote kwa niaba yetu. Kwa hiyo usitegemee kupendwa km unawatilia ngumu raia wa nchi nyingine uhuru na fursa za kumiliki ardhi yetu kwa kisingizio cha shirikisho la afrika mashariki, wakati tukijua kuwa katika nchi hizo nyingine hakuna kipande cha ardhi kilicho wazi km ilivyo Tanzania.

hiyo ardhi kama kweli ni utajiri wetu mbona umasikini unaongezeka? kama ingelikuwa inasaidia mbona sera ya ccm ni kuwakaribisha wawekezaji..........................kwanini unataka kumbagua mwekezaji mdogo?

hivi kwa nini nchi hii inazidi kuwa masikini........................hata sisi raia wa TZ kwani ardhi waweza kupewa bure...................tafakari ndugu yangu.............wacha kabisa kuzama katika taswira yangu binafsi...................angalia masula kitaifa......................lakini nina habari njema kwako.....................ccm inakiri kuwa shirikisho la EAC halikwepeki.....................sasa watakaposaini sijui utakuwa mgeni wa nani??????????????
 
Tutaendelea na visingizio vya kuvamiwa kwa ardhi yetu kama kichaka cha kuficha udhaifu wa watawala wetu.

BIG POINT....................................tuhubiri watu wafanye kazi waache kuchagua kazi za kufanya.....................tuache uzururaji.....................hizi hoja za ardhi ambayo hata hatuilimi ipasavyo hazitupeleki popote.....................kama ardhi ni utajiri wa nchi hii mbona umasikini unazidi kutukaba koo.............ni lipi jipya tutalifanya zaidi ya kuimba kilimo kwanza kumbe nacho msingi wake mkuu ni kutegemea wageni kukinusuru..................................watu wanaongea kwa jazba lakin nchi yetu hata hawaifahamu kabisa...........
 
Maraisi wote wa EAC walituma wawakilishi tu kwenye miaka 50 ya uhuru ambayo JK aliikuza sana kulikoni stahili yake.................kwa khali ya umasikini tulionao swali la msingi hizo hela za sherehe zingeliweza kupunguza makali ya uhafifu wa huduma nyingi kwenye jamii yetu....................................

kwa mtanzania wa kawaida anayeishi kwa mlo mmoja kwa kutwa...................................alishindwa kuelewa hivi hawa wanapongezana kwa kunifukarisha au kwa wao kunufaika na uhuru tajwa pekee yao............................mahudhurio ya sherehe tajwa mikoani ni kipimo kuwa raia hatuoni manufaa ya uhuru kwetu........................Dar mahudhurio yalishamiri kwa sababu wengi wao ni wazururaji na hawana shughuli ya kufanya...........................na baadhi yao walitarajia hata kupata peremende lakini baada ya hafla kuisha wakubwa walitokomea Ikulu pekee yao kwenda kupongezana na kuwaacha wenye viherehere (kama Jk ambavyo amekuwa akitukandia)........................wakizubaa kutafuta usafiri wa kurudi makwao.................huku wengi wao wakikanyaga kwa mguu.............................

pengine kubwa kuliko yote ni nini nafasi ya miaka 50 ya uhuru katika muungano wa EAC....................ikumbukwe mwaka 1961 Nyerere alidiriki kudai ya kuwa alikuwa yuko tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika kama itasaidia kuunda shirikisho la EAC.............

warithi wa Nyerere ambao hata yeye mwenyewe alikuwa gwiji wa kuwavika vilemba vya ukoka...................pale aliposema ya kuwa kiongozi aweza kutoka popote pale bali kiongozi wa kutumainiwa atatoka ndani ya ccm............................ninafikiri huko aliko atakuwa amepigwa butwaa..............................kumwona JK vile anavyoidhoofisha EAC...........

ilipokuja shirikisho la kisiasa JK alidai wananchi wauulizwe.........................yeye kama kawaida yake aliunda tume ya kukusanya maoni ambayo matunda yake hakuna anayeyafahamu...........................inapokuja muungano feki wa tanganyika na zenji............................huko hataki kusikia wananchi wanashirikishwa katika kutoa maoni yao kama hata wanauhitaji muungano wenyewe...................................hudai suala la muungano halijadiliwi........................lakini lile la EAC lazima lijadiliwe........................double standards? you can say that again.................

viongozi wote ndani ya EAC wanajua JK is not part of the solution...............................but he is a problem
................................na ndiyo maana hata kwenye miaka 50 ya uhuru wamemkwepa kwa kumtumia wasaidizi wao tu.............................kwa matumaini ya kuwa after JK...................................some sensible tanzanian will take over the reins of power...........................na kuufanya uhuru wetu kuwa na maana hata kwao wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi..........................kwa mazingira ya sasa JK ni "Dr. NO" katika masuala ya shirikisho la EAC..............................................ikija masuala ya ardhi JK anatetea mipaka iliyowekwa na mkoloni...........................bila ya kujua hiyo mipaka iliwekwa ili kutudhoofisha..................lakini yeye kwa sababu ya uroho wa madaraka anaona aitetee kulinda kitumbua chake ambacho kitafikia ukomo wake hivi karibuni.............by grace of the living GOD..........

Ulikuwa ni mmoja wa watu ambao nilikuwa nathamini sana michango yao, but kwa hii thead umenisikitisha sana. Ninamashaka sana hata na utaifa wako.
 
hatutaki kuungana kwa ardhi kama umetumwa na mabwana zako wa kenya, uganda, rwanda na Burundi kudhoofisha hoja yetu ya ardhi potea. Kwa suala la ardhi Jk yuko sahihi na tunamuunga mkono watanzania karibu wote wanaolitakia afya njema taifa letu

utakaa hapo hapo wenzio mwakani serikali hii ya JK itasaini makubaliano ya kuanzishwa kwa shirikisho la EAC.....................na sababu ni soko la ajira ndilo litawasukuma kufanya hivyo.........................................unaposikia akina Lowassa wanazunguzmia maamuzi magumu usifikiri ni ya ufisadi bali kukiri ya kuwa bila shirikisho la EAC TZ is doomed....................watakaposaini wewe kibaraka wa fuata mkia sijui utajificha wapi.......................nikujuavyo utaanza kushangilia kwa sababu wewe ni bora liende...............
 
Ulikuwa ni mmoja wa watu ambao nilikuwa nathamini sana michango yao, but kwa hii thead umenisikitisha sana. Ninamashaka sana hata na utaifa wako.
mimi sijali kuthaminiwa ninachojali ni kuwa matatizo yetu kamwe hatutaweza kuyatatua wenyewe......................tunahitaji kutambua ya kuwa soko la ajira linadai tuwe ndani ya shirikisho la EAC.....................tukubali kutofautiana lakini kudai tunapotofautiana kuna walakini wa utaifa......................is a piece of nonsense.........................Nyerere aliamini juu ya EAC lakini hamkumwona ana walakani wa utaifa wake na ndiyo maana kwa maia takribani 25 alikuwa Raisi wetu sasa yawaje tunaoafiki na misimamo yao tuonekane hatuna uzalendo tena wa kutetea tubaki masikini kama tulivyo? Nchi haiwezi kusonga mbele kwa mawazo ya aina moja tufike mahali tukubaliane kuwa na utofauti wa mawazo na fikra bila ya kudai wenye mawazo endelevu ndiyo siyo wazalendo na wale wenye mawazo mgando ndiyo wazalendo............maana uzalendo ni kutetea ufukara kwa nguvu zote.......................imefika mahali ninaamini ya kuwa ccm sera yake siyo utajirisho ila ni ufakarisho ili waendelee kubaki madarakani wanahitaji tuwe nyuma kimaendeleo na hivyo ktumia muda mwingi kutetea kwa propaganda kali utaifa ambao msingi wake ni "the scramble for Africa in Berlin"...................hali ya ukosefu wa jira ndiyo inanisukuma kuona miaka 50 ya uhuru wa huo utaifa uchwara tuliyoshinikizwa na mwingereza ni sehemu ya tatizo na wala siyo sehemu ya majawabu...................nipe majibu ya ukosefu wa ajira nje ya shirikisho la EAC................na unieleze kwa nini hadi leo hayajamaliza tatizo tajwa.............
 
Hakuna wa kuniajiri mie ninaishi Marekani nina guarantee ya maisha yangu na wanangu pia nina miradi yangu ya kulima mashamba mkoani Rukwa na Morogoro labda wakuajiri wewe, ile wanangu kuzaliwa hapa na kuwa na social security numbe wnaweza kufanikiwa katika maisha sihitaji kuwaibia watanzania ili wafanikiwe kazi ni kwao sky is the limit

huu ubinafsi ndiyo laana yetu...........kujifikiria mwenyewe pekee yako..........."Not In My Back Yard, Why should I care?"..........lakini sisi TZ ukosefu wa ajira sasa ni suala la usalama wa taifa..............................ni bomu ambalo litapasuka hivi karibuni na hizo mali unazozilringia zitateketezwa na vijana wenye hasira..................angalia Kenya 2007/08........................na hapa ndiko tunakoelekea..................tunahitaji kufanya maamuzi magumu......................ingawaje sina uhakika kama viongozi wengi wa kitaifa wanatushauri vizuri.......................most of them are very cheap politicians.......................gazing the next election and not tending the next generation..........
 
pole sana mbona hujibu hoja........................................uraia wangu hauwezi kujibu kwanini JK anadharaulika na wenzie ndani ya EAC.............????????????????????????????

wazazi wangu wote ni watanzania wa kuzaliwa na mababu zangu vivyo hivyo...........................kwa hiy0o jibu khoja kama waweza............................badala ya kuanzisha mijadala ambayo ipo nje ya mada............................

kiri kuwa JK ni kilaza..............................hata Nyerere alithamini sana EAC hata alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa tanganyika ili mradi tu kama itasaidia kuanzishwa kwa shirikisho la EAC............................au sasa na Nyerere utamwona siyo raia kwa kuona mbali...................................maana sifa ya kuwa mbongo ni kuwa kihiyo kama watendanji serikalini wanaopigana vikumbo kununua vyeti vya udaktari wakifiri kwa kufanya hivyo hatutahoji madhaifu yao.....................

Kijana uende taratibu. Naona hapa una agenda yako ya siri au umetumwa kumwaga huu upupu hapa. usifikiri kwa kutumia masaburi tumia kichwa. Kama mmoja alivyosema hapa mapema inabidi tuwashukuru wale wawakilishi wetu waliokataa ku-sign makubaliano ya kijinga yanayohusu ardhi. Na ni kweli kama tungewakilishwa na hao vilaza wengine wanaowaza kwa kutumia masaburi tungejimaliza.

Wametajwa baadhi yao na wengine hawajatajwa. Ukweli upo kwamba wakati tunatafuta jinsi ya kurudisha ardhi yetu inayomilikiwa na wanaojiita wawekezaji kutoka magharibi au mashariki na yote yaliyojiri katika kugawa ardhi yetu hovyo hovyo kwa sababu ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo majirani zetu wanapochukulia hapo kwamba tanganyika imejaa mijitu mijinga mijinga na wanaweza kufanya lolote.

Kwa hiyo kitendo ya akina mzee 6 kukataa kusaidi makubaliano yale wameshtuka kwa kuwa ni kitu ambacho hawakutegemea kwa vile walijua watanganyika ni mapunguani. Hakuna asiyejua kuwa majirani zetu hawana ardhi ya kutosha na haya makubaliano yalikuwa kama mtego kwa watanganyika. Hongera sana mzee 6 na timu yako. Hapa mmefikiri kwa kutumia vichwa.

Kinachotakiwa sasa ni kuangalia upya mikataba yote inayohusu ardhi iliyosainiwa na hawa viongozi wa magamba na kuangalia uwezekano wa kuirekebisha kwa manufaa ya nchi na kuwachukulia hatua kali za kisheria wote waliohusika na mikataba yote mibovu iliyosainiwa nchini humu. Najua hili kwa serikali hii ya magamba haliwezekani lakini inshallah iko siku.
 
mimi sijali kuthaminiwa ninachojali ni kuwa matatizo yetu kamwe hatutaweza kuyatatua wenyewe......................tunahitaji kutambua ya kuwa soko la ajira linadai tuwe ndani ya shirikisho la EAC.....................tukubali kutofautiana lakini kudai tunapotofautiana kuna walakini wa utaifa......................is a piece of nonsense.........................Nyerere aliamini juu ya EAC lakini hamkumwona ana walakani wa utaifa wake na ndiyo maana kwa maia takribani 25 alikuwa Raisi wetu sasa yawaje tunaoafiki na misimamo yao tuonekane hatuna uzalendo tena wa kutetea tubaki masikini kama tulivyo? Nchi haiwezi kusonga mbele kwa mawazo ya aina moja tufike mahali tukubaliane kuwa na utofauti wa mawazo na fikra bila ya kudai wenye mawazo endelevu ndiyo siyo wazalendo na wale wenye mawazo mgando ndiyo wazalendo............maana uzalendo ni kutetea ufukara kwa nguvu zote.......................imefika mahali ninaamini ya kuwa ccm sera yake siyo utajirisho ila ni ufakarisho ili waendelee kubaki madarakani wanahitaji tuwe nyuma kimaendeleo na hivyo ktumia muda mwingi kutetea kwa propaganda kali utaifa ambao msingi wake ni "the scramble for Africa in Berlin"...................hali ya ukosefu wa jira ndiyo inanisukuma kuona miaka 50 ya uhuru wa huo utaifa uchwara tuliyoshinikizwa na mwingereza ni sehemu ya tatizo na wala siyo sehemu ya majawabu...................nipe majibu ya ukosefu wa ajira nje ya shirikisho la EAC................na unieleze kwa nini hadi leo hayajamaliza tatizo tajwa.............

Inaelekea kwako wewe kijana shirikisho la Afrika Mashariki haliwezekani kuwepo bila kuruhusu kutoa ardhi ya tanganyika kwa watu wa Kenya, Burundi, Rwanda, Uganda.... Kumbuka kwamba shirikisho la Afrika Mashariki lilikuwepo tena lilikuwa na nguvu za kiuchumi lakini kila nchi ilikuwa na ardhi yake na mambo yalikwenda vizuri tu. Hili la sasa hivi la kuingiza ushirikiano katika ardhi linakujaje?? Ardhi ni suala nyeti sana katika nchi na ndiyo maana tunalalamika jinsi viongozi wa magamba wanavyogawa hovyo ardhi yetu kwa wanaoitwa wawekezaji na tunadai mikataba ivunjwe. Kama walivyosema wengine inaelekea wewe si mtanganyika halisi na hoja yako haina nguvu kwa mtu ambaye ni mtanganyika wa damu. Ishia
 
pole sana mbona hujibu hoja........................................uraia wangu hauwezi kujibu kwanini JK anadharaulika na wenzie ndani ya ECAC.............????????????????????????????

wazazi wangu wote ni watanzania wa kuzaliwa na mababu zangu vivyo hivyo...........................kwa hiy0o jibu khoja kama waweza............................badala ya kuanzisha mijadala ambayo ipo nje ya mada............................

kiri kuwa JK ni kilaza..............................hata Nyerere alithamini sana EAC hata alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa tanganyika ili mradi tu kama itasaidia kuanzishwa kwa shirikisho la EAC............................au sasa na Nyerere utamwona siyo raia kwa kuona mbali...................................maana sifa ya kuwa mbongo ni kuwa kihiyo kama watendanji serikalini wanaopigana vikumbo kununua vyeti vya udaktari wakifiri kwa kufanya hivyo hatutahoji madhaifu yao.....................

Mbona mkuu unang'ang'ania tu msimamo wa Mwalimu Nyerere juu ya EAC kabla kuvunjika??? Je ni vipi msimamo wake baada ya kuvunjika mwaka 77? Je Mwalimu hakuunga mkono uvunjifu huo ulosababishwa na ukengeufu na ubinfsi wa wakenya? Ni vipi basi watu haohao wenye tamaa na walojaa ubinafsi unashabikia tuingie kichwakichwa kusign nao mikataba bila ya uchambuzi yakinifu?

Kinachokufanya wewe uamini kuwa JK hakubaliki kwa marais wenzake wa EAC ni nini? Au ni huko kususia sherehe za uhuru? Huwezi kudhania ni kutokana na chuki na hasira zao juu ya Tz kugoma kuign mkataba wa kushare ardhi?

Kwa maoni na mtazamo wangu mimi sioni umuhimu wa kuungana kisiasa na hizo nchi ambazo most of them are very political instability na hazina democracy. Ushirikiano wa kibiashara wa kufanya hili eneo la EA kuwa free trade zone, pamoja na ajira na elimu unatosha sana, no more than that kwa kweli ni kujitafutia matatizo hasa kwa type ya watu wenyewe tunaotaka kuungana nao.
 
JK hakubarliki hata nyumbani Tanganyika, mpaka leo hakuna matokea rasmi toka tume ya uchaguzi, hushangai kipindi cha kwanza aliingia madarakani kwa asilimi 80 na zaidi kipindi cha pili zimepungua sana? hii ni dalili tosha kuwa hakubaliki kote
 
Inaelekea kwako wewe kijana shirikisho la Afrika Mashariki haliwezekani kuwepo bila kuruhusu kutoa ardhi ya tanganyika kwa watu wa Kenya, Burundi, Rwanda, Uganda.... Kumbuka kwamba shirikisho la Afrika Mashariki lilikuwepo tena lilikuwa na nguvu za kiuchumi lakini kila nchi ilikuwa na ardhi yake na mambo yalikwenda vizuri tu. Hili la sasa hivi la kuingiza ushirikiano katika ardhi linakujaje?? Ardhi ni suala nyeti sana katika nchi na ndiyo maana tunalalamika jinsi viongozi wa magamba wanavyogawa hovyo ardhi yetu kwa wanaoitwa wawekezaji na tunadai mikataba ivunjwe. Kama walivyosema wengine inaelekea wewe si mtanganyika halisi na hoja yako haina nguvu kwa mtu ambaye ni mtanganyika wa damu. Ishia

Wewe ni kati ya wale kwa uzalendo wetu wa kuchongwa unaona heri ubakie masikini,lakini usishirikiane na jirani yako ambaye kwa ushirikiano mnaweza kupata maendeleo makubwa zaidi.
 
Kijana uende taratibu. Naona hapa una agenda yako ya siri au umetumwa kumwaga huu upupu hapa. usifikiri kwa kutumia masaburi tumia kichwa. Kama mmoja alivyosema hapa mapema inabidi tuwashukuru wale wawakilishi wetu waliokataa ku-sign makubaliano ya kijinga yanayohusu ardhi. Na ni kweli kama tungewakilishwa na hao vilaza wengine wanaowaza kwa kutumia masaburi tungejimaliza.

Wametajwa baadhi yao na wengine hawajatajwa. Ukweli upo kwamba wakati tunatafuta jinsi ya kurudisha ardhi yetu inayomilikiwa na wanaojiita wawekezaji kutoka magharibi au mashariki na yote yaliyojiri katika kugawa ardhi yetu hovyo hovyo kwa sababu ya kuwa na viongozi vilaza ndiyo majirani zetu wanapochukulia hapo kwamba tanganyika imejaa mijitu mijinga mijinga na wanaweza kufanya lolote.

Kwa hiyo kitendo ya akina mzee 6 kukataa kusaidi makubaliano yale wameshtuka kwa kuwa ni kitu ambacho hawakutegemea kwa vile walijua watanganyika ni mapunguani. Hakuna asiyejua kuwa majirani zetu hawana ardhi ya kutosha na haya makubaliano yalikuwa kama mtego kwa watanganyika. Hongera sana mzee 6 na timu yako. Hapa mmefikiri kwa kutumia vichwa.

Kinachotakiwa sasa ni kuangalia upya mikataba yote inayohusu ardhi iliyosainiwa na hawa viongozi wa magamba na kuangalia uwezekano wa kuirekebisha kwa manufaa ya nchi na kuwachukulia hatua kali za kisheria wote waliohusika na mikataba yote mibovu iliyosainiwa nchini humu. Najua hili kwa serikali hii ya magamba haliwezekani lakini inshallah iko siku.

usichoelewa ni kuwa mwakani watasaini tu hawana jinsi...............................hawana majibu ya ukosefu wa ajira.....................na shirikisho la EAC ndiyo ufumbuzi wa pekee yake kulikuza soko la ajira isiyo rasmi.........................
 
Wewe ni kati ya wale kwa uzalendo wetu wa kuchongwa unaona heri ubakie masikini,lakini usishirikiane na jirani yako ambaye kwa ushirikiano mnaweza kupata maendeleo makubwa zaidi.

Nimefarijika sana kumbe JF still has some remnants of GREAT THINKERS......................who dare to think beyond official propaganda............................wengi humu ni bendera fuata upepo na uwezo wao wa kutafakari mambo mazito unatia shaka......................hawana majibu ya soko la ajira tutlituaje?

vijana hawana ajira Kenya na Uganda wapo tayari kuwekeza sana hapa nchini lakini ubinfsi wetu ndicho kikwazo.....................tunaringia ardhi ambaye mmiliki wake hata hatumjui..........................tungelikuwa kweli tunayo ardhi yawaje kila siku bomoabomoa bila fidia inawakumba wanyonge ambao baadhi yetu wanadai JK ndiye kimbilio lao?

yaani nimechoshwa na ukosefu wa fikra endelevu ndani ya hili jamvi.......................mawazo mgando ndiyo yametufikisha hapa..............na tumekwama................tujiulize...................what next?
 
JK hakubarliki hata nyumbani Tanganyika, mpaka leo hakuna matokea rasmi toka tume ya uchaguzi, hushangai kipindi cha kwanza aliingia madarakani kwa asilimi 80 na zaidi kipindi cha pili zimepungua sana? hii ni dalili tosha kuwa hakubaliki kote

Ni kweli tunajua hata uchaguzi hakushinda ila alimwibia Dr. Slaa kura na kujitangaza uraisi kupitia tume aliyojichagulia yeye mwenyewe bila ya kutushirikisha.........
 
Mbona mkuu unang'ang'ania tu msimamo wa Mwalimu Nyerere juu ya EAC kabla kuvunjika??? Je ni vipi msimamo wake baada ya kuvunjika mwaka 77? Je Mwalimu hakuunga mkono uvunjifu huo ulosababishwa na ukengeufu na ubinfsi wa wakenya? Ni vipi basi watu haohao wenye tamaa na walojaa ubinafsi unashabikia tuingie kichwakichwa kusign nao mikataba bila ya uchambuzi yakinifu?

Kinachokufanya wewe uamini kuwa JK hakubaliki kwa marais wenzake wa EAC ni nini? Au ni huko kususia sherehe za uhuru? Huwezi kudhania ni kutokana na chuki na hasira zao juu ya Tz kugoma kuign mkataba wa kushare ardhi?

Kwa maoni na mtazamo wangu mimi sioni umuhimu wa kuungana kisiasa na hizo nchi ambazo most of them are very political instability na hazina democracy. Ushirikiano wa kibiashara wa kufanya hili eneo la EA kuwa free trade zone, pamoja na ajira na elimu unatosha sana, no more than that kwa kweli ni kujitafutia matatizo hasa kwa type ya watu wenyewe tunaotaka kuungana nao.
Pamoja tumetofautiana..........................lakini nimependezwa na hoja zako ya kuwa tujibizane bila ya kukoseana adabu.......wako watu humu ndani mkitofautiana basi wewe siyo raia au huna uzalendo.....................nchi haiwezi kuendelea kwa utani utani wa namna hiyo...............tumelelewa kwenye mazingira tofauti na tunaishi katika mazingira tofauti lazima tutofautiane..................

kukujibu swali lako ni kuwa Nyerere alichukizwa na kukosekana na "regulations" za kuhakikisha ya kuwa EAC inajengwa kwa misingi ya usawa na kuheshimiana.........................Kenya walikuwa wanafaidi zaidi bila ya kutoa fidia kwa wale ambao waliokuwa wanapunjwa kutokana na mapungufu tajwa.........................pili, Iddi Amin alikuwa ni tatizo kwetu kwa maana zaidi ya kiusalama............

lakini majibu ambayo Nyerere alikuja nayo yalikuwa na walakini kwa sababu hakutushirikisha.............jibu la upendeleo kwa Kenya ni kuwepo kwa sera, sheria na mahakama za kuhahakikisha.....................haki inatendeka..............matatizo hayakimbiwi bali hutafutiwa dawa................................na ndiyo maana wasomi wengi walishinikiza shirikisho lirudi lakini likwepe matatizo ya awali....................
 
Inaelekea kwako wewe kijana shirikisho la Afrika Mashariki haliwezekani kuwepo bila kuruhusu kutoa ardhi ya tanganyika kwa watu wa Kenya, Burundi, Rwanda, Uganda.... Kumbuka kwamba shirikisho la Afrika Mashariki lilikuwepo tena lilikuwa na nguvu za kiuchumi lakini kila nchi ilikuwa na ardhi yake na mambo yalikwenda vizuri tu. Hili la sasa hivi la kuingiza ushirikiano katika ardhi linakujaje?? Ardhi ni suala nyeti sana katika nchi na ndiyo maana tunalalamika jinsi viongozi wa magamba wanavyogawa hovyo ardhi yetu kwa wanaoitwa wawekezaji na tunadai mikataba ivunjwe. Kama walivyosema wengine inaelekea wewe si mtanganyika halisi na hoja yako haina nguvu kwa mtu ambaye ni mtanganyika wa damu. Ishia

I really can not argue with this fool..................waswahili husema usibishane na mpumbavu kwani jamii haitaona tofauti......................suala hapa siyo mimi au wewe suala hapa ni kizazi kijacho..............tatizo la ukosefu wa ajira lipo nje ya uwezo wetu wa hapa ndani...............tunahitaji kushirikiana na wenzetu wa EAC kuijenga siyo Tz pekee yake bali Afrika nzima.,...........huo ubinafsi ndiy umetufikisha hapa...................................poorer than ever before...............

labda wewe ni mwana magamba ambaye mmenufaika vilivyo na umasikini wa M-Tz sasa mnahofu shirikisho....................is a game changer.............
 
Nimefarijika sana kumbe JF still has some remnants of GREAT THINKERS......................who dare to think beyond official propaganda............................wengi humu ni bendera fuata upepo na uwezo wao wa kutafakari mambo mazito unatia shaka......................hawana majibu ya soko la ajira tutlituaje?

vijana hawana ajira Kenya na Uganda wapo tayari kuwekeza sana hapa nchini lakini ubinfsi wetu ndicho kikwazo.....................tunaringia ardhi ambaye mmiliki wake hata hatumjui..........................tungelikuwa kweli tunayo ardhi yawaje kila siku bomoabomoa bila fidia inawakumba wanyonge ambao baadhi yetu wanadai JK ndiye kimbilio lao?

yaani nimechoshwa na ukosefu wa fikra endelevu ndani ya hili jamvi.......................mawazo mgando ndiyo yametufikisha hapa..............na tumekwama................tujiulize...................what next?
Hao wakenya watawekeza wapi?
They are our major trading partners, in what sector?.... service.
Apart from the service sector, which largely depends on producion sector, what else are they going to do?, they can't even feed themselves, the natives are not good in agriculture, their industrial sector is too light.
What really are they going to do with our land?.... Our difference i GDP is mainly being owned by their oligarchy.
Think about the future, don't let your empty stomach ruin it.
 
kwa kweli pongezi kwa Sitta, yani hawa watu wa Kenya, Rwanda, Burundi na Uganda, maeneo yao yamejaa mno kiasi kwamba hata ardhi ya kuwapa ndugu zao angalau wajenge hamna, wanachotaka zaidi ni kupata ardhi huku kwetu ili kupunguza msongamano walionao. big up Sitta hamna kusign hicho kipengele cha ardhi, yaani wakipata tu ni kwamba sasa population nzima ya nchi zao zitahamia huku.
 
I really can not argue with this fool..................waswahili husema usibishane na mpumbavu kwani jamii haitaona tofauti......................suala hapa siyo mimi au wewe suala hapa ni kizazi kijacho..............tatizo la ukosefu wa ajira lipo nje ya uwezo wetu wa hapa ndani...............tunahitaji kushirikiana na wenzetu wa EAC kuijenga siyo Tz pekee yake bali Afrika nzima.,...........huo ubinafsi ndiy umetufikisha hapa...................................poorer than ever before...............

labda wewe ni mwana magamba ambaye mmenufaika vilivyo na umasikini wa M-Tz sasa mnahofu shirikisho....................is a game changer.............

Peleka ujinga wako huko huko kwa wajinga wenzio
 
kama hatuamini juu ya malengo ya EAC si tujitoe tu kulikoni kuwakwamisha wale wanaotaka kwenda mwendo mdundo.......

Wanaweza wakaendelea siyo lazima sisi tuwemo! kwani hawaoni matendo? Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno! sisi hatutaki shirikisho.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom