Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

tukishatofautiana sasa unanibatiza Mungiki.........................ipo kazi hapa...................upofu wako ndio umekupeleka huko...........lengo hapa ni kupashana habari siyo kutukanana..................na bahati mbaya wala huonyeshi hata kama unaelewa mada iliyopo mbele yako inakuhitaji utoe mchango upi.........................tunaweza kutofautiana ni jambo la kawaida lakini matusi haya.......................hayana tija hata chembe.........
Mie na wewe ni watu tofauti kwahiyo ni lazima tutofautiane, na sijakubatiza mungiki bali wewe ni mungiki bila chembe ya shaka ndo maana unaweza kuibua hoja za kipuuzi eti kikwete hataki EAC kwa vile waislamu watamezwa na wakristo, kwani SADC tunayoitaka na EAC wapi kuna wakristo wengi? Halafu kwa kawaida kipofu hudhani kila mtu ni kipofu ndomaana hata wewe mungiki kipofu unaniona mie ni kipofu. Pia siwezi kuchangia mada iliyo mbele yangu maana siyo mahali pake kwasababu hii ni mada ya kimataifa lakini imeletwa kwenye jukwaa la ndani na mtu ambaye sio mtanzania. Kuhusu matusi sijakutukana kabisa bali nimetumia maneno mpumbavu na mungiki kuonesha sifa yako, "mpumbavu ni mtu ambaye hajui pia hajui kuwa hajui" na hiyo ndo sifa yako. Mungiki sio tusi na wewe unajua kabisa kuwa wewe ni mungiki na post zinaonesha hivyo.
 
Back
Top Bottom