Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 410
- 283
Weka mipango imara yaani panga baada ya miaka mitatu nataka kufanikisha kitu fulani au kuwa na kipato mara nane ya mtaji wa sasa
Nenda kijijini nunua mayai ya kienyeji kama mia hvi,nunua na majike ya kuku kama matano,wawekee hayo wayaatamie,baada ya miaka miwil umaskini utakua historia kwako.
mimi nina mchango mdogo tu
Watu waliosoma biashara wasisahau kukumbusha wajasiriamali wadogo angalau 4Ps , products,price,promotion and place
Ubora na uhitaji wa bidhaa zako (quality and need to be satisfied)
Bei ya bidhaa kama inaendana na uwezo wa wa watu , hua hapa ndo watu wengi wanakosea sana wanataka faida kubwa
Faida ya bei kubwa sana,utapata faida nyingi kwa kuuza vitu vichache
Hasara yake, utauza vichache mno maana budget za watu ni ndogo kwa hiyo wanunuzi utawapata wachache ,
Hapa ndo watu wanashindwa kujufanya makadirio yao na kuangalia mbele zaidi.
Na hua nimeona wafanyabiashara wengi wakicheza na wateja kama paka na panya ,so bad nani aweze kumshinda mwenzake ,tatizo wengi tunafanya biashara bila kujua malengo yetu ya faida .so bad hii
E.g.
Unauza blouse 2 kwa 6000 na mwingine atauza 3 kwa 4000,bidhaa ile ile
huyo wa anaeuza 4000, ataenda kuleta mzigo mwingine ww hujamaliza hata wa kwanza
watu wajifunze kujua wapi wata break-even especially unapouza uniform products
Kwenye biashara yako kumbuka inventory turn over ndo ita determine faida yako
Siku hizi watu wanafuga sana ,kwa nini watu wenye mitaji midogo wasiende vijijini wakalete pumba za mahindi , mashudu ya alizeti watauzia viwanda vya vyakula vya mifugo inalipa
Arusha najua watu wanaofanya hizo biashara ila ni wavivu tu, wakishusha mzigo wanapewa cash yao on the spot
Kwa nini usifanye
Wewe umewahi jaribu kwa hilo bumu lako?
Nenda kijijini nunua mayai ya kienyeji kama mia hvi,nunua na majike ya kuku kama matano,wawekee hayo wayaatamie,baada ya miaka miwil umaskini utakua historia kwako.
Njoo chukua viatu jumla nauza 16 Ww wauza 20 Mali toka nairobiView attachment 196918
mnaweka bei ya ushindani lkn no.za cm hamuweki
mnaweka bei ya ushindani lkn no.za cm hamuweki
Em nipm unipe more info kuhusu hii ki2
5bei yako ni ghali Mie ninavyo bei ya jumla 13500 rejareja 17000