Biashara ya mtaji wa 1,500,000

Next Elon Musk

Senior Member
Dec 2, 2019
111
80
Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini ingizii pesa sasa nikawa nimepata mteja nafikiria kuuza pesa nifanye mtaji wa biashara kama 1.5 m.

Sasa nafikiria je, ni sawa niuze nifanye biashara na biashara ipi hasa pia iwe haitumii muda wangu sana au nipambane nitafute soko la graphics na how? At least niweze ku earn 300,000 kwa mwezi?
 
Mdogo wangu hunijui sikujui ushauri wangu USIUZE

Je unaweza kufanya nini? Na hiyo IT yako? Maana IT ni pana sana
Pili upo mkoa gani?
Tuanzie hapa?
Afu twende taratibu
 
Bznes isio taka ukaribu sana n mwenye bznes. Ngoja n mm nisubilie hapa
 
Back
Top Bottom