Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Weka mipango imara yaani panga baada ya miaka mitatu nataka kufanikisha kitu fulani au kuwa na kipato mara nane ya mtaji wa sasa
 
Nenda kijijini nunua mayai ya kienyeji kama mia hvi,nunua na majike ya kuku kama matano,wawekee hayo wayaatamie,baada ya miaka miwil umaskini utakua historia kwako.
 
Wewe umewahi jaribu kwa hilo bumu lako?
 
mimi nina mchango mdogo tu
Watu waliosoma biashara wasisahau kukumbusha wajasiriamali wadogo angalau 4Ps , products,price,promotion and place
Ubora na uhitaji wa bidhaa zako (quality and need to be satisfied)
Bei ya bidhaa kama inaendana na uwezo wa wa watu , hua hapa ndo watu wengi wanakosea sana wanataka faida kubwa
Faida ya bei kubwa sana,utapata faida nyingi kwa kuuza vitu vichache
Hasara yake, utauza vichache mno maana budget za watu ni ndogo kwa hiyo wanunuzi utawapata wachache ,
Hapa ndo watu wanashindwa kujufanya makadirio yao na kuangalia mbele zaidi.
Na hua nimeona wafanyabiashara wengi wakicheza na wateja kama paka na panya ,so bad nani aweze kumshinda mwenzake ,tatizo wengi tunafanya biashara bila kujua malengo yetu ya faida .so bad hii
E.g.
Unauza blouse 2 kwa 6000 na mwingine atauza 3 kwa 4000,bidhaa ile ile
huyo wa anaeuza 4000, ataenda kuleta mzigo mwingine ww hujamaliza hata wa kwanza
watu wajifunze kujua wapi wata break-even especially unapouza uniform products
Kwenye biashara yako kumbuka inventory turn over ndo ita determine faida yako
Siku hizi watu wanafuga sana ,kwa nini watu wenye mitaji midogo wasiende vijijini wakalete pumba za mahindi , mashudu ya alizeti watauzia viwanda vya vyakula vya mifugo inalipa
Arusha najua watu wanaofanya hizo biashara ila ni wavivu tu, wakishusha mzigo wanapewa cash yao on the spot
Kwa nini usifanye
 
ndugu yangu hapo kwenye pumba naomba unijuze kidogo kuhusu uhitaji wake huko moshi na arusha ...coz hapa dar ni ngumu coz wenye viwanda vya chakula cha mifugo wanafuata wenyewe tandale...
so naomba unijuze huko price, supply and demand ipoje kule
 
Nenda kijijini nunua mayai ya kienyeji kama mia hvi,nunua na majike ya kuku kama matano,wawekee hayo wayaatamie,baada ya miaka miwil umaskini utakua historia kwako.

sidhani kama kila kuku unaweza kumuwekea mayai halafu akaatamia bila yeye kutaga mayi yake.
 
mnaweka bei ya ushindani lkn no.za cm hamuweki

sikuwa na maana hiyo ila nilitaka tu jamaa ajaribu kubalance bei na amuhurumie kidogo huyu kijana mwenzetu anayeanza msingi.atakayehitaji anifuate pm tuarrange malipo, size rangi mengineyo.
 
Hebu niazime hiyo hela niweke kitu cha full tank jioni nakurudishia na riba badala 200,000/= nakupa 300,000/=
 
Ndugu zangu jf nahitaji ushauli nina kiasi cha laki sita nahitaji kuanza biashara ya nguo mtumba je nianze na nguo za kike au kiume au nguo za watoto .ahsante ushauri wenu tafadhari naishi mtukula kagera
 
mtafute jamaa anaetengeneza mkaa wa kisasa ambapo atakufundisha kwa gharama ya elf 50 then 450 thousands mtaji tosha, daily utapata elfu 50, arti energy
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom