Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Habari,
Wale wajasiliamali na wengine wenye idea za biashara, tusaidiane hapa! Nina kiasi cha fedha taslimu elfu 50 za Kitanzania... ambayo ni mtaji wangu..
Je nifanye kitu gani au biashara gani itakayoniingizia faida japo kwa kiasi chake?! Maeneo niliyopo ni ya watu wengi especially wanafunzi.
Tusaidiane mawazo, Me na imani tunaweza na hata mbuyu ulianza kama mchicha!