Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,980
- 95,490
Ntakudisqualify ukipokea hilo bundle, me nilijua anakuletea labda " difender ", tupunguze ukali wa jua tehBando sina, hebu tuma haraka.
Ntakudisqualify ukipokea hilo bundle, me nilijua anakuletea labda " difender ", tupunguze ukali wa jua tehBando sina, hebu tuma haraka.
Amejikuna mkono unapofika, difenda rondo ndio anaweza akiacha ule ubahiri wake.Ntakudisqualify ukipokea hilo bundle, me nilijua anakuletea labda " difender ", tupunguze ukali wa jua teh
Hahaha wee tukomae tu huku huku, kwa RRONDO akituonea huruma sana ni mihogo pilipili bila hata maji ya kandoro, itukabe na kutuwasha tukome uroho akhuuuAmejikuna mkono unapofika, difenda rondo ndio anaweza akiacha ule ubahiri wake.
Story of my lifeWenye vichwa vyao wanapendeza sana ni style nzuri I wish,tatizo kichwa ka ngumi wacha niwaachie wenyewe
Kumbe mi ni mtu mzuri,nasifia tu.We lazima usifie aisee!
Wenye vichwa vyao wanapendeza sana ni style nzuri I wish,tatizo kichwa ka ngumi wacha niwaachie wenyewe
Si umepunguziwa gharama! Lazima usifie.Kumbe mi ni mtu mzuri,nasifia tu.
Khaa.....!!Joto nduguzanguni jotoo
Khee.....!!Khaa.....!!
Khaa.....!!
Sasa kama umenichunia mi nifanyeje? Nimejipendekeza mpaka nimechoka.We mzee mbona adimu hivyo?
Nawe umenyoa kipara??Khee.....!!
Mjuu wako hataki ninyoeNawe umenyoa kipara??
Kama vipi namiliki mkasi mantashau...
Babu ntakunyoa mwenyewe. Sitaki uniaibishe ukweni.Mjuu wako hataki ninyoe
Ha haaa sasa babu wataka niachwe weweBabu ntakunyoa mwenyewe. Sitaki uniaibishe ukweni.
Usijali, utarudi kwangu.Ha haaa sasa babu wataka niachwe wewe
Hebu shindwa na unyong'onyeeUsijali, utarudi kwangu.