Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Kweli tena, we toa tu bila kujiongeza ila ukiishiwa hilo zigo lako mwenyewe(ila bahati yako pacha wangu anajali utu zaidi pesa baadae)
Hivi imemficha wapi mdogo wangu?
Ndo mana nmetulia kwake... yani ungempa genes zako tusingefika this far :) :)
Yupo anakula mema ya nchi, humu mabazazi walizid kumsumbua
 
Hahahaaaaa!! Kwanini unaziogopa genes zangu?
Huyo pacha wangu bahati nzuri ni mifuko tofauti lasivyo ingekula kwako!
Mtunze sana doto wangu, lasivyo nitakihamishia usoni, she is too innocent for bazazis
 
Hehhe genez zako anaziweza Kaboom tu... mi innocent ka pacha wako utakua unanionea!!!
hilo ondoa shaka, shavu lishaanza kumtoka... uanze kutarajia uncle tu mwsho wa mwaka
 
Toooba! Sasa mtu na pacha wake tunajifungua mwaka huu , nani atamsaidia mwenzie!

We huna uinnocent wowote bwana usimzuge mdogo wangu, ila uwe makini tu lasivyo nitakumafia, ohoooo!
 
Hahha we hiyo yako najua ni kiki tu... muda si mrefu tutasikia ya wema lol!!!
 
comission yako special ipo. tena siyo mablanketi. what say you?
Hahahaaaa! Aisee binti yetu hatumuweki rehani, japo napenda pesa hadi naumwa ila kwahili aisee HAPANA, our doughter is soooo special, hakuna amount yoyote inayoweza kumnunua.
 
hehehe, haya. 'mamkwe'. unabando la kuanzia weekend?
 
Bando sina, hebu tuma haraka.

haina shida sasa hivi.
.
1620987_688701521226278_62794813_n.jpg
 
Back
Top Bottom