Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu wanafuga ndevu na wanavaa kanzu kudhiriisha culture ya uislamu.

Mimi binafsi nakataa, kwa sababu miaka hile ndevu zilifugwa kwa sababu kulikuwa hakuna teknolojia za vifaa vya kunyoa kama sasa, yani umaridadi wa sasa wa kunyoa kwa mitindo mbalimbali ulikuwa haupo, watu walikuwa wananyoa kwa kukata tu hili ziwe fupi. Hivyo watu walifuga nywele na ndevu sana kwa sababu option zilikuwa kufuga au kunyoa, ndio maana uwezi kukuta hata kwenye movie au picha za yesu mtu kanyoa panki, wote wamefuga ndevu na nywele ndefu. Na kwa sababu za miaka hile kazi kuu zilikuwa za kuchafuka, kuwinda, kuvua, na kazi ngumu ngumu za porini, watu hawakuona haja ya kunyoa, kwa sababu hakukuwa na civilization kama ya sasa.

Ukija kwenye vazi, walikuwa wanavaa magauni kwa sababu zama za kale kulikuwa hakuna ubunifu wa mavazi, na asilimia kubwa walivaa magauni ya mtindo wa kanzu. Hizi design za suruali na kaptula zimekuja hivi karibuni. Ukitizama hata huko Roma na Ulaya walikuwa wanavaa magauni

Kwa maana hiyo hii karne ni ngumu kuendelea kufuga ndevu kama zamani au kuvaa magauni kwa sababu ni karne tofauti na karne hii mitindo ya mavazi ni mingi.

Kusema tu eti kwa nini mitume na manabii walivaa kanzu ni kwamba kulikuwa hakuna mtindo wa mavazi, na kwa sababu ya uislamu.

Na ndevu zilifugwa kwa sababu kulikuwa hakuna mtindo au saloon za kunyoa kama sasa na si kwa sababu ya Uislamu
 
Watu wa zamani hawakua manyumbu kama unavyofikiria, walikua very smart.

Mfano wa technojia kubwa ni ile iliyotumika kutengeneza Pyramids kule Misri, Ugunduzi wa Saa, Compass, Tairi, nk. Watu walifanya mpaka upasuaji sembuse kunyoa videvu.

Kwa kipindi hiko ndevu ni ishara ya kuonesha uanaume ( masculinity ). Ndo mana watu walikua wanafuga ndevu. Sio karne hii ya watu soft soft, feminists na ushoga ushoga.

Respect the OGs
 
Vipo vingi tu.

Mfano,

1.kwa sababu ya hali ya jangwa eneo la mashariki ya kati,ilipelekea ibada kufanyika pasi na kukaa kwenye viti maana miti hakuna,Leo muislamu wa Iringa kwenye mbao na miti ya kutosha nae anaiga desturi ya waarabu na Wayahudi ya kuswali na kukaa chini kwenye mkeka,wakati miti ya kutengeneza viti ipo kibao.

2. Muislamu wa tandahimba kujifanya anashinda ndani ya msikiti badala akafanye kazi,eti kukaa msikitini kutwa kucha ni thawabu. Wenzao Arabuni kwa sababu ya joto kuwa Kali(jangwa) wakajikuta wanapojenga misikiti na masinagogi wanashinda humo ndani kupoza joto. Huku kwetu utamaduni wa kiislamu na ni thawabu kulala kwenye nyumba ya ibada!!

3. Mtu akizikwa kaburi kumwagiwa maji.

Nchi za kiarabu na mashariki ya kati kwa ujumla,kwa sababu ya kuwa jangwa,mtu akizikwa ilikuwa lazima kaburi limwagiwe maji na kuweka jiwe (Shahid) ili tuta liendelee kuwepo maana usipofanya hivyo baada ya masaa kadhaa upepo unakuja na kufuta kabisa hilo eneo kiasi kwamba mtu usijue kama hapa palikuwa na kaburi. Sisi wamakonde wa kidongo chekundu kule Newala tumeiga eti mtu akizikwa tunamwagia maji kaburi,maji ya baraka sijui mnaita.

3. Tende zinaota na kumea kwenye hali ya jangwa na ni chakula Chao kikubwa sana( kama utamaduni) ila sisi waumini wa mwananyamala tunafanya kama chakula cha kutoka kwa Mungu( tunakipa thamani kuliko korosho na mabibo ya kule mtwara) . Subiri wiki ijayo mfungo uanze uone zinavyopanda thamani na kuenziwa.

4. Eti muislamu wa makete nae anavaa kiremba kikubwa kichwani kisa utamaduni wa kiislamu,wakati enzi hizo ilikuwa unavaa kiremba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi na joto Kali na pia Leo kwa sababu Dunia imeendelea,vilemba na makanzu vimeboreshwa kiasi kwamba si TU swala la kujikinga na jua Kali,bali pia ni kuongeza mvuto kwa mvaaji(. Mfano tajiri wa Manchester city na PSG huvaa kanzu na kilemba kama utamaduni kuonyesha yeye ni mwarabu,ila Ulaya hakuna sababu ya kuvaa kilemba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi.

5. Ukiingia kwa muislamu kindakindaki,ndani kwake hakuna masofa Wala viti. Kisa? Uislamu sijui bla bla..

Hoja ni kwamba uarabuni hakuna miti walishindwa kutengeneza viti na masofa ndiyo maana wanakaa chini kwenye mikeka. Wewe mbongo umebeba dini mpaka vitu visivyokuhusu.

Hapo hatujaongelea ishu ya kuvaa kanzu na makobazi.

Me naona waafrika ndiyo tumekuwa watu wa hovyo zaidi hapa Duniani kwa kuiga dini na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati pasi na kujua vitu vingine sisi havituhusu. Yaani tumebeba Kila kitu.

Leo korosho ya mtwara tunaidharau Huku tunaithamini tende ya uarabuni,Nina uhakika uarabuni kungekuwa Njombe/Iringa,Leo parachichi la pake Njombe tungeliona kama tunda takatifu!!

Africa.
 
Kwani hizo ndevu na kanzu zimewasaidia nini toafaut na ambao hawavai au kufuka ndefu.Mambo mengine waafrika tunatia aibu yaani tamaduni za kigeni zinatutesa hadi kutofautiana wenyewe Kwa wenyewe.
 
Tueleze hapa kwenye walawi walikua walinyoa kutumia nini? Mnajaza server kwa kuandika pumba humu ndani.

Walawi 19:27 BHN​

Nywele zenu msizikate pembeni wala kunyoa ndevu zenu.
Shida ni umejaa ujinga kwa kukariri maandiko...

Kwa hiyo hata kipindi cha uncivilization au primitiveness waafrika nao hawakunyoa nywele kwa sababu ya hayo maandiko?... Culture ya kutonyoa ilikuwa kwenye jamii nyingi, kwa sababu kubaki na nywele ilionekana ni jambo asilia (Natural). Na watu hawakuwa na ufahamu wa unyoaji nywele wa mara kwa mara mpaka civilization ilipokuja ndipo watu wakastarabika... Ndipo utanashati na unyoaji nywele ukaanza sehemu mbalimbali mpaka sasa
 
Vipo vingi tu.

Mfano,

1.kwa sababu ya hali ya jangwa eneo la mashariki ha kati,ilipelekea ibada kufanyika pasi na kukaa kwenye viti maana miti hakuna,Leo muislamu wa Iringa kwenye mbao na miti ya kutosha nae anaga desturi ya waarabuna Wayahudi ya kuswali na kukaa chini kwenye mkeka,wakati miti ya kutengeneza viti ipo kibao.

2. Muislamu wa tandahimba kujifanya anashindwa ndani ya msikiti badala akafanye kazi,eti kukaa msikitini kutwa kucha ni thawabu. Wenzao Arabuni kwa sababu ya joto kuwa Kali(jangwa) wakajikuta wanapojenga misikiti na masinagogi wanashinda humo ndani kupoza joto. Huku kwetu utamaduni wa kiislamu na ni thawabu!!

3. Mtu akizikwa kaburi kumwagiwa maji.

Nchi za kiarabu na mashariki ya kati kwa sababu ya kuwa jangwa,mtu akizikwa ilikuwa lazima kaburi lomwagiwe maji na kuweka jiwe (Shahid) ili tuta liendelee kuwepo maana usipofanya hivyo baada ya masaa kadhaa upepo unakuja na kufuta kabisa hilo eneo kiasi kwamba mtu usijue kama hapa palikuwa na kaburi. Sisi wamakonde wa kidongo chekundu kule Newala tumeiga eti mtu akizikwa tunamwagia maji kaburi,maji ya baraka sijui mnaita.

3. Tende zinaota na kumea kwenye hali ya jangwa na ni vhakula Chao kikubwa sana( kama utamaduni) ila sisi wa mwananyamala yunafanya kama chakula cha kutoka kwa Mungu( tunakipa thamani kuliko korosho na mabibo ya kule mtwara) . Subiri wiki ijayo mfungo uanze uone zinavyopanda thamani na kuenziwa.

4. Eti muislamu wa makete nae anavaa kiremba kikubwa kichwani kisa utamaduni wa kiislamu,wakati enzi hizo ilikuwa unavaa kiremba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi na joto Kali.

5. Ukiingia kwa muislamu kindakindaki,ndani kwake hakuna masofa Wala viti. Kisa? Uislamu sijui bla bla..

Hoja ni kwamba uarabuni hakuna miti walishindwa kutengeneza viti na masofa ndiyo maana wanakaa chini kwenye mikeka. Wewe mbongo umebeba dini mpaka vitu visivyokuhusu.

Hapo hatujaongelea ishu ya kuvaa kanzu na makobazi.

Me naona waafrika ndiyo tumekuwa watu wa hovyo zaidi hapa Duniani kwa kuiga dini na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati pasi na kujua vitu vingine sisi havituhusu. Yaani tumebeba Kila kitu.

Leo korosho ya mtwara tunaidharau Huku tunaithamini tende ya uarabuni,Nina uhakika uarabuni kungekuwa Njombe/Iringa,Leo parachichi tungeliona kama tunda takatifu!!

Africa.
Asante braza
 
Back
Top Bottom