Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

1455258867020.jpg
1455258882566.jpg
1455258899403.jpg
1455258916524.jpg
hakika wanawake hivi huwa wanatia wazimu mie..!
 
Haha bestie weaving nimeacha siku hizi ni nywele zangu tu siongezi kitu,per week 5000 tu kuosha,kwahio ni 20000 kwa mwezi,240,000 kwa mwaka teh #whatwouldmagufulido#
Hahha hapo safie best.. kwa bajet hiyo kuna wanyonge lazima wajisogeze!!!

Ule mwendo wa peruvian ulikua noma :) :)
 
Kunyoa raha...tena kichwa inakua safi all the time.. Kama mleta mada unapenda wenye ma weaving na wig bado wapo lkn. Ila binafsi kusuka kero. Mara nywele ziwashe Ka chiz...mara mba ...Mara zipunyuke... Waiiiii .. Sa apo utasema una nywele au kero tu...raha ya nywele ziwe zako halali sio za kushonea....ni mtazamo wangu tuu
Na kwa miji yenye joto kama Dar hiyo miwig inavyotoa harufu sasa,unakuta mtu automatically hazingatii usafi ndo mpo kwenye public bus wig linavyotoa harufu mbaya utatamani kushuka.
 
Hahha hapo safie best.. kwa bajet hiyo kuna wanyonge lazima wajisogeze!!!

Ule mwendo wa peruvian ulikua noma :) :)
Hahahaa hapana majukumu hayajapungua,ni substitution tu,ukiona hivyo ujue kuna sehemu ntakula kichwa,mjini cha bure salam tu bestie...
 
Habari za muda huu wadau? Tangu kuanzia mwishoni mwa mwaka jana nimeona wamama na wadada wanakimbilia kunyoa nywele tofauti na tulikotoka. Wenyewe wanasema wanataka nywele ziote vizuri ila kuna wengine kila wiki mbili wananyoa tena.

Utaratibu huu unashika kasi ni fashion au ni kurudisha ule mtindo wa zamani au ni uchumi?

kilasiku mnawasema humu wako feki mara manywele yao yananuka sijui yanachachamaa. wameamua kubadilika wamesikiliza ushauri wenu. badala uanze kuhoji wakati unajua sababu ni maneno yenu ungeandika uzi wa kuwapongeza kwa hayo mabadiliko.
 
Nywele zimesukwa mwezi mzima, na joto la Dar mathalani...khaa!!
 
Ni kweli mkuu, jana tu nimekutana na mdada kanyoa nikamuuliza mbona umenyoa na ulikua na nywele ndefu nzuri? akajibu nataka ziote upya, ila ukweli kupendeza kuliko alivyokuwa anafuga nywele mpaka nafikiria kumchukulia hatua
 
Kunyoa raha...tena kichwa inakua safi all the time.. Kama mleta mada unapenda wenye ma weaving na wig bado wapo lkn. Ila binafsi kusuka kero. Mara nywele ziwashe Ka chiz...mara mba ...Mara zipunyuke... Waiiiii .. Sa apo utasema una nywele au kero tu...raha ya nywele ziwe zako halali sio za kushonea....ni mtazamo wangu tuu

Wala tatizo sio mba wala kuwasha,tatizo uchumi.

Mtazamo wangu tu.
 
Habari za muda huu wadau? Tangu kuanzia mwishoni mwa mwaka jana nimeona wamama na wadada wanakimbilia kunyoa nywele tofauti na tulikotoka. Wenyewe wanasema wanataka nywele ziote vizuri ila kuna wengine kila wiki mbili wananyoa tena.

Utaratibu huu unashika kasi ni fashion au ni kurudisha ule mtindo wa zamani au ni uchumi?
"...wananyoa kwasababu, Mabwana zao tumechoka mizinga ya Saluni, hivyo ana nyoa pesa ikipatikana ana suka tena... simple tu"
 
Huoni uchumi umeyumba au wewe uko dunia gani, wanaume wenyewe wachache unafikiri watafanyaje!
 
Back
Top Bottom