Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

4f76203381631ab95f759ddb9657b9f0.jpg
Hiyo stayle imenivutia,ngoja nami nikajaribu
 
Wanavutwa sana nywele kwenye 6*6 kusema uchungu wanashindwa kwa sababu huambatana na utamu, mwisho wa siku ni maumivu ya kichwa... Ndiyo maana wanapunguza na wengine kunyoa danga kabisa... Ili ushike kichwa na siyo, kuvuta nywele..
 
Napenda mwanamke akiwa kanyoa na sio minywele yenye harufu mbaya kama .........
Kunyoa ni poa sana sio kupaka midawa inachafua shuka
 
Back
Top Bottom