Mtajiuliza maswali mengi hamtapata majibu
mtaishia maumivu.
Nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. Mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia.
Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za Komba. Alikuwa ameshatoa album.
Je, hiyo album aliitunga muda gani na alijuaje atakufa?
Kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu, je, album itachukua mda gani?
Naomba Komba unifafanulie,hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album. (taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..Mwalimu Nyerere).
Mkapa kwa kushirikiana na CIA waliandaa kifo cha Mwalimu toka 1997... TOT ilipewa kazi ya kuandaa nyimbo long time! uwanja wa Taifa ulianza kukarabatiwa muda mrefu, rubani alikuwa kwenye mazoezi ya kushusha mwili kwa mbwembwe... USA walilipua ubalozi wao wa Nairobi na Dar kisha wakajenga base ya east n central africa Dar!... someni economist ya 1997 Tanzania after Nyerere... Inauma sana lakini ukweli ndo huo kuwa BWM aliuza nchi... JK ni boya tu linaloongozwa kwa remote...
Hii inanifanya nianze kufikiri kwamba wahusika ni wengi sana. Alijuaje kwamba atakufa? Kama alijua nani alimwambia? Masaa na kutunga albamu iliyorindima nyimbo kali? Katika lugha yetu tuna msemo usemao, "Kicheko kiko tumboni." Naweza kusema kwamba kilio kipo tumboni. Wata wanaonekana wanalia lakini kumbe wanafurahi ndani ya mioyo yao. Siku yaja.
Mkapa kwa kushirikiana na CIA waliandaa kifo cha Mwalimu toka 1997... TOT ilipewa kazi ya kuandaa nyimbo long time! uwanja wa Taifa ulianza kukarabatiwa muda mrefu, rubani alikuwa kwenye mazoezi ya kushusha mwili kwa mbwembwe... USA walilipua ubalozi wao wa Nairobi na Dar kisha wakajenga base ya east n central africa Dar!... someni economist ya 1997 Tanzania after Nyerere... Inauma sana lakini ukweli ndo huo kuwa BWM aliuza nchi... JK ni boya tu linaloongozwa kwa remote...
Dunia ya leo ni vigumu sana kupata ukweli wa mambo yanayoendelea. Just propaganda na confusion everywhere. Mpaka tutakapofika mbinguni yote yatajiweka wazi inshaallah.
duuhBaada tu ya nyerere kupanda ndege kwenda St.Thomas,huku nyuma Komba alinong'onezwa na mzee mkapa kwamba atunge nyimbo za maombolezo kwa sababu ya kwamba mkapa aliamini kuwa mwalimu asingerudi akiwa hai.