Komba, ulijuaje Nyerere atakufa hadi utunge nyimbo za maombolezo yake??

Lakini alipofariki Samoroa na hata Sokoine, Komba alitoa wimbo muda mfupi baada ya taarifa.
 
Ugonjwa na hali ya aliyokuwa nayo Nyerere huko Hospitali Uingereza hakuna ambae hakujuwa kuwa hiyo ndiyo ilikuwa safari.
Unaropoka utafikiri unajua kazi kujititia huko nyuma kama ulikuwepo


swissme:
 
JK aliishi kwa mashine kwa mda mrefu karibia mwezi kabla hawajamtangaza kama braindead.
 
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo

Yy hata manne hayakufika. Na ni album iliyosambazwa kuanzia siku hyo tehhh
 
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo

Mbona kifo cha Omari Ali Juma makamu wa Rais alishindwa kutunga nyimbo kama za Nyerere? Aliishia tu kuimba Omari Omari uko wapi?
 
Hao mbwamwitu walimuua mwalimu mapema ..komba hana akili ya kutunga nyimbo anachojua ni kwenda msituni
 
Halafu wakati Ben anatangaza kifo cha Nyerere cjui wanabendi wa TOT walikuwa kambini maana inaonyesha walifika eneo la mazoezi kwa muda mfupi sana au kipindi hcho kulikuwa hakuna foleni
 
Kitabibu Mwalimu alikufa kabla ya october 14, lakini hata hivyo bado haileti connection ya kwamba Komba alipata wapi? Habari hata akaandaa nyimbo zote zile,

Kusema kwamba Benjameni Mkapa aliweza kuwadokeza watu wake wakaribu hata Komba, akazipata taarifa na kujiandaa nyimbo zile dhana hiyo bado nayo inabaki kuwa tata kwa maana Mkapa ingawa alijua kila kitu kilichokuwa kikiendelea St Thomas asingeweza kusema kwa mtu, kwa maana naye alikuwa katika hali ya kijichunga sana ili waliokuwa tayari wakimdhania tofauti juu ya uhai wa Mwalimu wasipate nafasi yakuendelea kumuhisi tofauti zaidi

Yawezekana labda Komba alijiridhisha kwa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza kwa wakati huo Bw Abdulkadir Shareef alipoongea na shirika la utangazaji la Uingereza BBC na kuweka wazi kuwa hali ya Mwalimu ni mbaya na uwezekano wa kupata nafuu si mkubwa sana, lakini hata hivyo dhana hii nayo inabaki kuwa ngumu kupambanuka hasa unapohusisha upeo wa mtu kama huyu Bw Komba.

Nitamrejea Mwana JF mmoja hapo juu aliposema kuwa kwa nchi za wenzetu nami naongeza; hususani kama Marekani na Urusi Bw Komba a.k.a Mzee wa Msituni hapa alikuwa na kesi yakujibu.
 
yes nilishawekewe ulishakula maharage yaliyovaa tai wewe nakumbuka tuliyagomea wakapeleka kwa mkemia mkuu jibu ni kuwa ni salama kwa afya. Boarding huwa wanaweka mafuta taa kwajili ya kusaidia kupunguza matamanio ya mwili. Hehe nikikumbuka kwa njeka na mkwakwani hehe kwa wale wenzangu nilosoma nao shule moja watajua naizungumzia shule gani

Sasa kwanini unajifanya mkubwa kuliko wrote humu jamvini?
 
Back
Top Bottom