johnymtembezi
Member
- Dec 2, 2014
- 26
- 5
Haha kila mtu na kipaji chake bob
teh teh ndo ukweli mkuu kifo cha Omary Juma kilikuwa cha ghafla na komba alishindwa kutunga album aliishia kutaja majina kama waliavyo watu msibani
Hakuna ubunifu hapa. Nyerere alikufa kabla ya Oktoba 14, 1999, lakini kwa jinsi nchi ilivyokuwa uchi kwa umaskini ilibidi kujiandaa. Hili hutokea pote duniani hata kwenye familia zetu.nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia. Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za komba. Alikuwa ameshatoa album. je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie. Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).
kwani hata ikulu ilianza kufanyiwa matengenezo kuweza kupokea wageni wa msiba
Akitangulia yeye itakuaje!!. Au keshajitungia na za kwake!!!!
natafuta sana zile nyimbo alizoimba mwaka 1999 kwenye kifo cha baba taifa
Na wale watoto waliokuwa wanaimba wakilia'mwalimu umeondoka...' Walifanya shooting muda gani?
Kuna uvumi kipindi hicho kwamba Mwalimu alikufa ,wakakaa kimya,tukatangaziwa baadae hali ya baba wa Taifa ni mbaya,huku wakijipanga,
then mzee mzima BWM ndio akapata muda muafaka wa kutoa ' breaking news' kwamba Mwl hayuko tena!!!
haya sasa je na yeye alijitungia za kwake au ndiyo kenda kimya kimya.
Ok , hebu weka ushahidi basi .Mtu mkubwa akifariki hatangazwi papo kwa papo anaweza chukua hata wiki!kwaajili ya maandalizi
Nyerere was murdered