Komba, ulijuaje Nyerere atakufa hadi utunge nyimbo za maombolezo yake??

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. Mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia.

Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za Komba. Alikuwa ameshatoa album.

Je, hiyo album aliitunga muda gani na alijuaje atakufa?

Kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu, je, album itachukua mda gani?

Naomba Komba unifafanulie,hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album. (taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..Mwalimu Nyerere).
 
Hii inanifanya nianze kufikiri kwamba wahusika ni wengi sana. Alijuaje kwamba atakufa? Kama alijua nani alimwambia? Masaa na kutunga albamu iliyorindima nyimbo kali? Katika lugha yetu tuna msemo usemao, "Kicheko kiko tumboni." Naweza kusema kwamba kilio kipo tumboni. Wata wanaonekana wanalia lakini kumbe wanafurahi ndani ya mioyo yao. Siku yaja.
 
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo
 
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo

Na wale watoto waliokuwa wanaimba wakilia'mwalimu umeondoka...' Walifanya shooting muda gani?
Kuna uvumi kipindi hicho kwamba Mwalimu alikufa ,wakakaa kimya,tukatangaziwa baadae hali ya baba wa Taifa ni mbaya,huku wakijipanga,
then mzee mzima BWM ndio akapata muda muafaka wa kutoa ' breaking news' kwamba Mwl hayuko tena!!!
 
Na wale watoto waliokuwa wanaimba wakilia'mwalimu umeondoka...' Walifanya shooting muda gani?
Kuna uvumi kipindi hicho kwamba Mwalimu alikufa ,wakakaa kimya,tukatangaziwa baadae hali ya baba wa Taifa ni mbaya,huku wakijipanga,
then mzee mzima BWM ndio akapata muda muafaka wa kutoa ' breaking news' kwamba Mwl hauko tena!!!

MKAPA ALIMUAMBIA KOMBA ATUNGE NYIMBO NA KUFANYA SHOOTING KABISA MAANA ALIJUA ALICHOMFANYA BABA WA TAIFA.NA ALIMHAKIKISHIA KUWA ALBAM ATAIUZA SANA.NDO MAANA BAADA YA KIFO CHA jkn ilichukua muda wa saa 1 tu nyimbo zikaanza kuimbwa.

KUITETEA CCM LAZIMA UWE NA AKILI YA MAITI
 
wakuu zile nyimbe ni kama pambio tu,hata hivo ukiangalia amebadili tu nyimbo za pambio,kwahiyo ilikuwa copy & paste ila changes zilikuwa kidogo
 
Hivi wewe hufi?
kufa tutakufa ila ni binadam gani mwenye uwezo wa kutabiri kifo cha mtu na kuanza kumtungia nyimbo?ccm ni watu hatari katika taifa hili mdogo wangu.wametuulia bb yetu wa taifa hawa makila,wametuulia watu wengi sana wazalendo,kama hawa walio vitandani leo kwa kulishwa sumu.
 
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo

Tunazungumzia nyimbo zakutosha kutengeneza albamu ambapo katika kundi la kwaya lazima kila member aukariri vizuri ndipo waurekodi studio
 
hiulo swali nakumbuka tuliulizana sana kipindi kile cha msiba lkn hatukupata majibu ya uhakika.naona kama vile sasa hivi ndo majibu yanaanza kujileta taratibu
 
Back
Top Bottom