Msaada: Mwenye nyimbo za kwenye msiba wa Baba wa taifa JK Nyerere

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Jamani nakumbuka ile mwaka 1999 ndo nilikua Standard 7 wakati msiba wa baba taifa umetokea,
Napenda sana kwa yule atakaekua na nyimbo za maombolezo za Capt.Komba kama vile waliimba Tunashuhudia kuagana na ndugu yetu,mwenzeeeetu,ndugu yeeetu mwl nyerere..... Taifaaaaa lahuzunikana ,africaaaaa yahuzunika....
Kwa mwenye nazo pls naomba aniwekee hapa.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.."Mwenzeeeetu,ndugu yeeetu mwalimu NYEREREEEEEEE.
...Tulikuwa wote siku zote za mapambanoooo,mwenzeeeetu,ndugu yeeeeetu,mwalimu NYEREREEEEE.
CD IMEVUNJIKA MKUUU
 
Sasa twende wapi tukapate ushauri?- mwenzetuuuuu... Ndg yetuuuuu... mwl? Mwl Nyerereeee..
 
Nadhani TBC wanatakiwa kuwapelekea wananchi kwa kuweka kipindi maalumu badala ya wananchi kuwafuata TBC, imagine kama huyu ndugu aliyeomba wimbo huo yupo Muyama Kasulu Kigoma pembezoni kabisa mwa nchi
Umenikumbusha maeneo yangu ya kujidai, mitaa ya Kalege, kasumo, mwanga n.k

Mr Smile
 
Mkuu Ushirombo kuzipata hizo nyimbo in Ngumu,labda uende TBC kama walivyosema Wadau humu ndani. Pata huu angalau ukuliwaze wakati ukiendelea kufanya Mchakato wa kwenda huko TBC,angalau ukuliwaze kidogo;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • kwaheri_kambarage_hi_14040.3gp
    3 MB · Views: 53
Jamani nakumbuka ile mwaka 1999 ndo nilikua Standard 7 wakati msiba wa baba taifa umetokea,
Napenda sana kwa yule atakaekua na nyimbo za maombolezo za Capt.Komba kama vile waliimba Tunashuhudia kuagana na ndugu yetu,mwenzeeeetu,ndugu yeeetu mwl nyerere..... Taifaaaaa lahuzunikana ,africaaaaa yahuzunika....
Kwa mwenye nazo pls naomba aniwekee hapa.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
VP hujazipata tu mkuu,mwenye nazo atupie humu basi
 
Baadhi yetu tunazo lakini hazipo katika mfumo wa digital na hivyo inatuwia vigumu kuzisambaza. Nina mikanda ya matukio karibu yote yaliyorekodiwa kwenye video cassette ambao ni mfumo wa analogue. Kila ninapoziangalia napata faraja kuhusu tukio hilo muhimu katika historian ya nchi yeyu.
 
Back
Top Bottom