JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,013
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni
Buyungu - Ndg. Bilago Samson (CHADEMA)
Muhambwe: Eng. Atashasta Nditye (CCM)
Kasulu Mjini: Daniel Nsazugwako (CCM)
Kasulu Vijijini: Holle Vuma (CCM)
Manyovu - Albert Obama Ntabaliba (CCM)
Kigoma Mjini - Zitto Z Kabwe (ACT-Wazalendo)
Kigoma Kaskazini - Peter Serukamba (CCM)
Kigoma Kusini/Uvinza - Husna Mwilima (CCM)
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
========

ACT wazalendo wanaongoza kwa kuwa na viti vingi zaidi vya udiwani jimbo la Kigoma ambavyo hata madiwani waliobakia wakitangazwa hawataathiri uongozi wao.
Kasulu Mjini: Udiwani jumla kata zipo 15, CCM wamechukua kata 13, NCCR wamechukua 1 na ACT 1
Kasulu Vijijini:Udiwani CCM imechukua kata 15, NCCR 4, ACT 1 na CHADEMA 1