Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Kipindi cha mwanzo wa mwaka huu kuna mjumbe alileta uzi hapa kwamba Asha Baraka, yule mkurugenzi wa African Stars-Twanga Pepeta anaendesha kampeni za kulitaka jimbo la Kigoma Kusini maeneo ya Nguruka kupitia Fisiemu.Wengi humu walipinga na leo nimeamini.Sasa kama huyu dada sijui Husna asiyejulikana popote eti kamshinda kafulila,Asha Baraka angeshindwa?. Poor Kigoma kusini/Uvinza kwa kumwaga shujaa Tumbiri.
Huyo kafulila alistahili hilo
maana nimpumbavu
kujiunga na kikundi cha Majizi kina lowassa nimoja ya kosa kubwa
 
Back
Top Bottom