Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

JamiiForums

Official JF Response
Nov 9, 2006
6,200
4,984
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa
Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni

Buyungu - Ndg. Bilago Samson (CHADEMA)
Muhambwe: Eng. Atashasta Nditye (CCM)
Kasulu Mjini: Daniel Nsazugwako (CCM)
Kasulu Vijijini: Holle Vuma (CCM)
Manyovu - Albert Obama Ntabaliba (CCM)
Kigoma Mjini - Zitto Z Kabwe (ACT-Wazalendo)
Kigoma Kaskazini - Peter Serukamba (CCM)
Kigoma
Kusini/Uvinza - Husna Mwilima (CCM)


ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
========

ACT wazalendo wanaongoza kwa kuwa na viti vingi zaidi vya udiwani jimbo la Kigoma ambavyo hata madiwani waliobakia wakitangazwa hawataathiri uongozi wao.

Kasulu Mjini: Udiwani jumla kata zipo 15, CCM wamechukua kata 13, NCCR wamechukua 1 na ACT 1

Kasulu Vijijini:Udiwani CCM imechukua kata 15, NCCR 4, ACT 1 na CHADEMA 1



 
Kule Kasulu mjini UKAWA hakuna. CHADEMA na CUF wameweka wagombea kupambana na Machali (ACT) japo Machali bado anaonekana kupendwa kwa sababu "kawapelekea" umeme wa Generator
 
Nipo Kasulu mjini, kituo cha kupigia kura cha Juhudi. Nimekuja kupiga kura yangu ya siri! Watu waliojitokeza mwanzo kujiandikisha walikuwa wengi. Ila leo hata nusu ya waliojiandikisha, hawafiki!
 
Jimbo la Kigoma mjini halitabiriki kwa kweli maana yeyote yule kati ya Zitto wa ACT, Kabouru wa CCM au Rumenyela wa CDM anaweza akaibuka kidedea japokuwa jimbo lina wagombea 16
 
Kazi nzito Kigoma Mjini nipo kituo cha Zimamoto mwamko ni mkubwaaaa sana
 
Nguruka hapa! Mwamko upo juu sana,vijana Usiku kucha wameangalia hali ya Usalama! No goli la mkono! Dalili zinaonyesha Kafulila ataongoza na NCCR watashinda kata mbili za hapa i.e Nguruka na Itebula,even Mtegowanoti na Mganza bado NCCR wana hali nzuri!
 
Kasulu mjini hapa nipo kituo cha katikati ya Mji stend ya tax,

Vijana ni wengi sanaaaaa tuna Nyonga leo
 
Jimbo la Kigoma mjini halitabiriki kwa kweli maana yeyote yule kati ya Zitto wa ACT, Kabouru wa CCM au Rumenyela wa CDM anaweza akaibuka kidedea japokuwa jimbo lina wagombea 16

Take it from me, hilo Jimbo CCM wamelipoteza, Dk Kabouru ni unpopular, wananchi hawamwini, wanamtuhumu kwa dharau na kauli za kashfa dhidi ya wenyeji ambao ndio wapiga kura wengi.

Pamoja na hayo yote, hilo Jimbo ni gumu sana kwa CCM mwaka huu, ndio maana Peter Serukamba akaamua kukimbilia Kigoma Kaskazini.

Vv
 
Kasulu mjini hapa nipo kituo cha katikati ya Mji stend ya tax,

Vijana ni wengi sanaaaaa tuna Nyonga leo

kimgina nami nimeisha nyonga apa stand kuu kasulu. sichezei mbali naenda kwenye baa ya albino nipate moja barid badae msengereni majimaji kuchek mechi huku nachabo stand ili tusiibiwe
 
[QUOTEa=Akida MALCOLM X;14457216]Nguruka hapa! Mwamko upo juu sana,vijana Usiku kucha wameangalia hali ya Usalama! No goli la mkono! Dalili zinaonyesha Kafulila ataongoza na NCCR watashinda kata mbili za hapa i.e Nguruka na Itebula,even Mtegowanoti na Mganza bado NCCR wana hali nzuri![/QUOTE]

vp upande wa urais? maana vijijin mnaweza kutuangusha mganza mtego ilala chagu mdyabibi malagaras lugogon A NA B VP UPEPO KWA LOWASA
 
hali ya hewa kgm mjini sio nzur but tutakomaa tu mpaka kieleweke. nkimaliza hapa muungano primary naenda ujiji kutafuta news
 
Nimeshapiga kura yangu jimbo la kgm kaskazini kituo cha zahanati kilichopo mwandiga.
Hali ni shwari japo kulitokea kurupushani kdg lkn kwa ujumla hali ni shwari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom