mbogamtosi
Member
- Sep 3, 2012
- 20
- 2
- mbogamtosi :baby:
Mkuu ni kweli ipo siri, nadhani polisi hasa wa kada ya chini wana agenda yao dhidi ya wakuu wao na serikali pia, kwa kuua raia waio na hatia, wanataka serikali ichukiwe na jeshi la polisi lichukiwe na wananchi , kitu ambacho wameshafanikiwa sana katika agenda hiyo. Imefika wakati sasa viongozi wa pilisi na serikali kukaa kuangali hayo badala ya kuendelea kutupa sababu zisizo na mshiko. Fuatilia matukio ya polisi kujiua, kuwaua wenzao na haya yote utaona kuna kitu, kuna agenda ya kufanyia kazi. Nabaki na imani na JWTZ lakini si Polisi katika kulinda wananchi.Inanikumbusha pia enzi za Soweto, askari wa makaburu ndio waliokuwa wakisababisha fujo na mauaji na si wananchi, hii ndiyo inatokea sasa hapa kwetu. Tusiishie kusema MUNGU IBARIKI TANZANIA, tujiulize aibariki katika lipi.
Nimekusoma lakini mkuu Neiwa ukiangalia hata azingila alipo zungukwa na polisi huku akipigwa na baaade mwili wake ukiwa umesambalatishwa unaonyesha ni maeneo hayo hayo.... bado nakubaliana na wewe kuwa ungependa kupata uthibitisho kutoka wa walio shuhudia...Mkuu Crashwise umeelewa swali langu? Tokana na maelezo ya Tumaini Makene kuwa marehebu alipigwa sana kabla ya kuuwawa; ningependa kujua kuwa alipokuwa anapigwa sana walimchukua kando au mbele ya macho ya wananchi? Hio picha moja wapo inaoneshwa akizungukwa na polisi sio chini ya sita, iwezekana ndio walimkamata, hivo sitaki nifanye kwa assumptions bali kwa kuhakiki kupitia walioshuhudia...
picha za gazet la mwananchi zinawaumbua polisi. tatizo la viongozi wetu hawapitii mitandao ya kijamii
Tunamuachia Mungu.
Police wengi wanavuta bangi, unategemea nini kuhusu usalama wa raia? Jeshi la police limejaa wavuta bangi!
Ni polisi wachache sana wanaofanya kazi kwa kufuata maadili ya kazi yao, wengi utawaona walivyo na hasira na raia hata kama mtu hana kosa/hatia yeyote.
Pamoja na hayo, kulikuwa na fujo gani hadi kuamua kutumia nguvu kiasi hicho? Tufike mahali tuanze kuhoji matumizi ya siraha kama mabomu ni nani anagharamia? Tufahamu nani ni nani, amefikaje hapo alipo?
Maundumula tume ipi ambayo imeshawahi kuundwa hata tanzania na ikaja na jibu la uhakika
Unategemea nini mwenye tume akiwa ashatoka na majibu yake ambayo anayasema hadharani
Chagonja alisema waliofanya fujo songea ni wahuni na tume iliundwa ambayo mpaka leo hata majibu hakuna.
Huwa naona ni ulaji mwingine tuu unafanyika kwa hao wanaoteuliwa kwenye hizo tume
m
MTAZAMO Mkuu, ninaelewa uchungu wako na uchungu wa WaTZ wengine ambao kwa njia moja au nyengine ni wahanga wa serikali katika sekta zote: vifo vya ajali za barabarani, vifo vya ajali za meli, vifo vya kuuliwa na vibaka, vifo vya magonjwa yatibikayo, kifo kibaya cha kuwanyima watoto elimu...na hivi vifo vya polisi ambao wanaua live!Mimi nimeshachoka kulalamika! nimeshaandika mengi humu inatosha! ningeshauri badala ya kauli za kulaani Polisi tujadili tuchukue hatua gani! naomba mijadala hapa JF iwe ni jinsi ya kuchukua hatua na si kulalamika.
Nimekusoma lakini mkuu Neiwa ukiangalia hata azingila alipo zungukwa na polisi huku akipigwa na baaade mwili wake ukiwa umesambalatishwa unaonyesha ni maeneo hayo hayo.... bado nakubaliana na wewe kuwa ungependa kupata uthibitisho kutoka wa walio shuhudia...