wakuu tunasikia kelele mtaa kongo ni kama zinasogea huku lakini tupo imara
iwepo sheria mtu akitupia ***** apigwe ban hapohapoyani imekuwa balaa.
Haya ndio matokeo ya manyanyaso na dhulma zinazofanywa na polisi kwa Watanzania katika sehemu mbali mbali nchini. Sasa Watanzania wamechoka na hali kama haikurekebishwa haraka basi vifo vya polisi na majeruhi yatazidi kuongezeka nchini kupitia mikononi mwa Watanzania.
na mamods sijui wapo wapi wanatuchoshaje?
hata jukwaa halina mvuto tena
Mbona huko Dar kasheshe hivi?
Wamefanikiwa kuwatawanya?????
Mkuu kweli kariakoo pamechafuka.